adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,727
- 8,093
Anzia kwenye mada ....Kitendo cha kukaa na mtu bila wazazi kutambua ndio matatizo yenyewe
Niggas at our best form,,Fafanua hili ""Mahari inazuiaje matatizo??"" AU ""Mahari ingezuiahe matatizo ya mwamba??""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
😹😹 Nataka mpk aseme ukweliSasa na wewe mkuu hueleweki 🤣🤣 Jamaa kasema anatoa 20k umezalau 🤣
Haya kasema anaacha 500k umesema uongo 🤣
😹😹😹 Nimekusaidia kuchekaKila nikiandika la kukujibu nafuta naandika Tena. Anyway ngoja tu nicheke 🤣🤣
Imagine 🤸Ya mkononi 20,000 😳
Haha😂😂😂😹😹🤣 Eti 20k mwezi mzima ila wanaume wanachekesha sana..!!
Sasa si bora uishi bila mume ujue moja..!!
Hii comment yako inatoa taswira ya kwamba wewe una mentality ya ubinafsi ndoa sio sehemu yakoYani nimeshangaa sana, inawezekanaje?
20,000 ni ya kununua kichupa changu kimoja tu cha Mascara 😅 inamaana ukiolewa na huyu mwanaume hata lotion huimudu na wapwa wakikuomba kabando ka 5,000 huwezi kuwatumia.
Bora ubaki single tu!
Kama na wewe unachangia mbona inatosha Kuna vitu si lazima mume wako hakufanyie especially mahitaji yako binafsi yeye anahusika na Mambo ya msingi ila Kama ndio kumtegemea kila kitu mume wako hiyo haiwezi kuwa ndoaMe za humu mnachekesha kweli, 500k kama upo Dar, Arusha au Dodoma haitoshi
Kama kweli unataka watoto wale vizuri kwa hayo majiji hiyo pesa ni ndogo sana,,
Kuna bills umeme na maji,
Kuna vyakula mboga na lishe za watoto sijui mnaelewa malezi ya watoto yalivyo??? Mtoto leo ukimpa hiki kesho hakitaki,
Kuna nauli
Bado huyo mke nae ni binadamu atahitaji apendeze ndo hiyo laki 1???????? Labda kama anasuka twende kilioni kila wiki, lakini misuko yetu ile ni kuanzia 40k mpaka 60 na hizi ataishi nazo kwa mwezi mmoja,
Vocha, perfume vichupi nk bado
King'amuzi je,
Kuna dharula za kwao au yeye mwenyewe,
Hapo sijaandikia vitu vingii mfano kama mna msaidizi, na mengineyo,,
500k inatosha kwa kujibana sana na chakula iwe mchicha dagaa maharage( nayo ni kipengele siku hizi) ila habari za nyama na samaki watoto watamla kwa picha,,
Kuna watoto jirani aliwaacha siku moja nikawapikia chai ya maziwa, mchana samaki,, kwanza kwenye chai tu walishangaa wakasema wao maziwa ni hadi siku ya sikukuu, samaki hawajui kumla, huwa wanamuona kwenye 📺 basi,,
Nimeshaolewa tayari miaka mingi tu, acheni kukimbilia kuoa na kuzalisha kama bado hamjajipata 😎Hii comment yako inatoa taswira ya kwamba wewe una mentality ya ubinafsi ndoa sio sehemu yako
Kama unasema unatafuta mwenza wa maisha alafu ukiingia kwenye ndoa unamtegemea kwa kila kitu basi utakuwa hujui maana nzima ya ndoaNaolewa ili nipate mpenzi wa maisha na mwenza wa kujenga naye familia.
Ila kama mume hataki nifanye kazi, anataka niwe mama wa nyumbani halafu anipe 20,000 ye matumizi kwa mwezi.
Hayo ni mateso na ni bora nisiolewe niendelee kujitafutia mwenyewe.
Kwahiyo unamtegemea mume wako kila kitu?Nimeshaolewa tayari miaka mingi tu, acheni kukimbilia kuoa na kuzalisha kama bado hamjajipata 😎
Wewe unataka uwachiwe matumizi ya kiasi gani kwa siku?Imagine 🤸
Mume wangu yupo kwa ajili yangu hivyo ndivyo ananiambia kila siku so relax bro hana njaa kama zakoKama na wewe unachangia mbona inatosha Kuna vitu si lazima mume wako hakufanyie especially mahitaji yako binafsi yeye anahusika na Mambo ya msingi ila Kama ndio kumtegemea kila kitu mume wako hiyo haiwezi kuwa ndoa
Kwahiyo kukushauri hivyo ndio kuwa na njaa? Sijajua mpo kwenye age ipi? Lakini kwenye maisha ya Sasa ni lazima mwanaume na mwanaume wote wawe feeder kwenye familia hivi umewahi kujiuliza kwa mfano sio kwa ubaya indapo mumewe akapata changamoto zozote za Kazi labda kufukuzwa je atayelisha familia kwa hiko kipindi ni Nani? huwezi kuwa kwenye ndoa hata chupi tu unamtegemea mume wako wewe utakuwa ni mizigo wa familia, Kuna wakati pia Mambo hayakai sawa kiuchumi wewe Kama ni mama unachsngia vipi kuweka Mambo sawaMume wangu yupo kwa ajili yangu hivyo ndivyo ananiambia kila siku so relax bro hana njaa kama zako
Braza chai umekunywa asubuhi yote gazette la nini sasa?Kwahiyo kukushauri hivyo ndio kuwa na njaa? Sijajua mpo kwenye age ipi? Lakini kwenye maisha ya Sasa ni lazima mwanaume na mwanaume wote wawe feeder kwenye familia hivi umewahi kujiuliza kwa mfano sio kwa ubaya indapo mumewe akapata changamoto zozote za Kazi labda kufukuzwa je atayelisha familia kwa hiko kipindi ni Nani? huwezi kuwa kwenye ndoa hata chupi tu unamtegemea mume wako wewe utakuwa ni mizigo wa familia, Kuna wakati pia Mambo hayakai sawa kiuchumi wewe Kama ni mama unachsngia vipi kuweka Mambo sawa
Mimi najaribu kukuweka sawa ili niondoe mentality ya overdependendent itakusaidia kwenye maisha siku utakuja kuyakumbuka maneno yanguBraza chai umekunywa asubuhi yote gazette la nini sasa?