Nataka nidundulize kuweka akiba kidogo kidogo pesa na baada ya miaka mitatu ndio niichukue. Ni service gani hapa bongo itanipa riba nzuri.

Mutual fund.
Kuna UTT na FAIDA FUND, hizi ni za serikali
Kuna M-Wekeza na myengine 5 za private.

Kazi ni kwako...

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom