Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,819
- 3,295
sina uzoefu na hizo nyingine, lakini kama unataka kusave benki zote ni nzuri, tofauti ni kwenye vigezo vipi vitakubana kiasi cha kufanya ufikie lengo pasi na kutoa fedha zako. riba wanatofautiana kidogo sanaHivi NBC na NMB vs CRDB ipi bora
Matumizi yako kwa mwezi yakoje.Huo ni moja ya ushauri ambao nahitaji kutoka kwenu kulingana na kipato changu tajwa hapo juu
Ni kweLi_ ila kama atakuwa na commitment hiyo itamsaidia otherwise n ngumu kwa sababu kwenye option za kuhifadhi fedha huku zikiwa zinaongezeka hata kidogo kuna uhuru wa kutoa pesa muda wowoTe labda fixed deposits kama vile za banks / bank ambapo unaingia mkataba haitoki mpaks muda mliokubaliana otherwise sidhanihuko vicoba, m wekeza atakula mkuu, si umeona alianza kucheza kikundi aaishia kusolve matatizo yake
Mbinu rahisi Tu, nenda kwa CAG unazoa zoa Tu chini bila kusaini sehemu yoyote, akina kukutaja kwenye repoti yake basi umeshaulaKazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu kuhifadhi kwa kucheza kikoba kupitia jina la mama mtoto wangu lakini tuliishia kukopa kwa ajili ya shida zilizotokea kwenye safari ya kusave pesa hivyo nikashindwa kurejesha mwishowe lengo halikufanikiwa
Je ni mbinu gani sahihi nikiitumia nitaweza kusave 25mil? Kiasi gani ni sahihi kuweka na kwa muda gani kulingana na kipato changu?
Karibu
Kama mbinu yako ni kufanya savings utakuwa umebugi kinoma.Kazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu kuhifadhi kwa kucheza kikoba kupitia jina la mama mtoto wangu lakini tuliishia kukopa kwa ajili ya shida zilizotokea kwenye safari ya kusave pesa hivyo nikashindwa kurejesha mwishowe lengo halikufanikiwa
Je ni mbinu gani sahihi nikiitumia nitaweza kusave 25mil? Kiasi gani ni sahihi kuweka na kwa muda gani kulingana na kipato changu?
Karibu
na ukiwa na option ya kutoa pesa tu lazima matatizo yaje na uifikirie hiyo hela tu. tofauti na bank, hata ukipata shida utatafuta njia nyingine bila kuiwazia ile hela maan unajua haitokiNi kweLi_ ila kama atakuwa na commitment hiyo itamsaidia otherwise n ngumu kwa sababu kwenye option za kuhifadhi fedha huku zikiwa zinaongezeka hata kidogo kuna uhuru wa kutoa pesa muda wowoTe labda fixed deposits kama vile za banks / bank ambapo unaingia mkataba haitoki mpaks muda mliokubaliana otherwise sidhani
Basi we ni tajiri unajichelewesha mwenyewe kama unao uwezo kupata kiasi chote hicho ambacho hauna matumizi nacho kwa mwezi mzima unahangaika nini sasa?Sina matumizi makubwa sana almost ninachokipata mwisho wa mwezi kinaweza seviwa chote au nikatoa kidogo mimi sio muajiriwa ni mfanya biashara hiyo take home nimemaanisha faida kwa mwezi ukitoa mtaji na cost za ku-run biashara kwa mwezi
Hivi nikiweka pesa UTT nikihitaji mkopo naweza pata juu ya kiasi nilichoweka mfano nimeweka milion 10 nikahitaji kukopa 1.5mil naweza pataBasi we ni tajiri unajichelewesha mwenyewe kama unao uwezo kupata kiasi chote hicho ambacho hauna matumizi nacho kwa mwezi mzima unahangaika nini sasa?
Peleke UTT kama unaona haifai huko (kwasababu ni rahisi pia kuchukua hela yako), fungua malengo akaunti (haina faida yoyote ukilinganisha na UTT) zaidi ya hizo option mbili sioni nyingine na nzuri zaidi ni kufungua akaunti UTT ambapo utapeleka pesa yako kila mwezi na utapata angalau ongezeko hata kama ni kidogo lakini tayari lengo lako ni kutunza fedha hivyo ongezeko halijalishi sana lakini angalau unao uhakika wa pesa yako kutunzwa na kuongezeka kila mwaka
Mwisho kabisa kuna hizi biashara "haramu" za kukopeshana mitaani kwa riba, kama unao watu unaowaamini au ni "sisk take" mzuri unaweza wekeza huko.Zipo na zinalipa japo ni haramu ukipigwa huna pa kwenda
Mumeweka malengo unrealistic kulingana na kipato ukiweka 500,000 kwa miaka mitatu haifiki 25mWakati naanza mwaka jana ilikuwa ni safari ya miaka 3 lakini ndani ya mwaka mmoja sikufika hata robo ya lengo maana nilijikuta pesa zote nimezitumia
Sasa na wewe unasemaje kwamba kipato kwa mwezi ni 500k - 800k? Kwa nini usiwe specific? Kama ni 600k basi iwe hiyo hiyo usituketee bambi ya kupanda na kushuka!Huo ni moja ya ushauri ambao nahitaji kutoka kwenu kulingana na kipato changu tajwa hapo juu
Hana famikiangani wakati amesema kabisa alijaribu kuweka kidogo wife wake akipata shida wakaishia kuitumia hiyo pesa!- Huna Familia? Kwa sababu kwa hayo malengo yako utasababisha familia kula chakula kidogo,Cha hali ya chini, hutaweza kuwanunulia nguo nzuri,na ww pia hutaweza kula Wala kuvaa
Sahihi mkuuna ukiwa na option ya kutoa pesa tu lazima matatizo yaje na uifikirie hiyo hela tu. tofauti na bank, hata ukipata shida utatafuta njia nyingine bila kuiwazia ile hela maan unajua haitoki
wana taratibu zao za kutumia akiba yako kama dhamana ya mkopo, binafsi sijawahi kulifuatiliaHivi nikiweka pesa UTT nikihitaji mkopo naweza pata juu ya kiasi nilichoweka mfano nimeweka milion 10 nikahitaji kukopa 1.5mil naweza pata
ππππKwa mshahara huo utasubiri sana, then hizo si usd 10k tu!?
Nidhamu yako katika pesa ikoje kwanzaKazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu kuhifadhi kwa kucheza kikoba kupitia jina la mama mtoto wangu lakini tuliishia kukopa kwa ajili ya shida zilizotokea kwenye safari ya kusave pesa hivyo nikashindwa kurejesha mwishowe lengo halikufanikiwa
Je ni mbinu gani sahihi nikiitumia nitaweza kusave 25mil? Kiasi gani ni sahihi kuweka na kwa muda gani kulingana na kipato changu?
Karibu