Ndio changamoto za sekta binafsiIssue hapo itakuwa amekuwa na mshahara mkubwa, kinachofanyika ni kumtafutia kosa hata liwe dogo ili wamfukize kazi, waajiri kijana mdogo mwenye mshahara mdogo!! Inauma sana
Wewe ni HR. Fuata sheria ya ajira na mahusiano kazini.Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Kiinua mgongo na pensheni ni NSSF wanahusikaKwa sheria za Tanzania mtu akifanya kazi miaka 15 anakuwa pensionable.Mkimfukuza kazi mpeni stahiki Zake zote,.pia anastahili kupewa kiinua mgongo na pesheni ya kila mwezi.
Hapo ndipo swala la kuajiriwa linapoanza maswali bila majibu, miaka 17 unamfanyia kazi mtu au taasisi halafu unafukuzwa kama mbwa .Miaka 17? Yeye atafanya mambo yake lini? Mnamzeesha bure
Inategemea unamshtaki nani , kampuni nyingine na jela unawekwa !! watu wananunua mahakama.Unfair Termination ni utajiri wa Buree kabisa.
Hata private sector kuna sheria za kazi..Fanya kilichokupeleka
Hata wewe siku yako ya kufukuzwa ipo
Hiyo ndio private sector
Sio rahisi kwa sasa...Inategemea unamshtaki nani , kampuni nyingine na jela unawekwa !! watu wananunua mahakama.
Sawasawa 👍 👍Soma Sheria ya Kazi.
Cheki code of conduct
Angalia company policy
Weka kosa mizani then km halina mantiki muandikie warning letter tu coz akienda mbele badae utalumiwa wewe tena kwa nn hukuishauri management vizuri.
HR angekuta records..We una miaka miwili tu, unajuaje aliyofanya kwa hiyo miaka 15 mingine? Pengine wamemvumilia wamemchoka
...Waeleze asemehewe tu utaangalia response yao kama wametaka afukuzwe basi ndio moja ya kazi yako uliyoajiriwa Hapo hio huwezi jua kuna mtu mwengine Mungu anataka ampe riziki hio ajawai kufanya kazi hata mwaka 1 na ana mahitaji
Umewahi kufanya kazi private?Hata private sector kuna sheria za kazi..
Nani wa kuweka rekodi na HR ndiyo huyo kaajiriwa?HR angekuta records..