Namjua huyo unaetaka kumfukuza na yeye anajua kua unataka kumfukuza kwa hio ongea vizuri na hao maboss waelekeze vizuri,Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Huo ndo ukweli lakini kama ni mtu wa Mkataba ambao ni renewable e.g.@ after 2yrs itakuwa na ukakasi kidogo. Private sector inaukorofi sana.Kwa sheria za Tanzania mtu akifanya kazi miaka 15 anakuwa pensionable.Mkimfukuza kazi mpeni stahiki Zake zote,.pia anastahili kupewa kiinua mgongo na pesheni ya kila mwezi.
Hr awaeleze haya hao mabosi zake , ili wajue the red line ya kutumia hisia kumfukuza mtu kazi , kabla ya onyo,Wewe ni HR uliyesomea? Basi unajua utaratibu wa kisheria wa kufukuza mfanyakazi.
Ili mtu wafukuzwe anahitajika
kwanza kupewa onyo la mdomo
Pili kuandikiwa barua ya onyo
Tatu kusimamishwa huku anapokea nusu mshahara
Nne kufukuzwa.
Mbona huyo mzee unayemzungumzia ni kama baba yangu hiviHabari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Kwani unafikiri mkurugenzi na watu wake hawayajui hayo yote?Hr awaeleze haya hao mabosi zake , ili wajue the red line ya kutumia hisia kumfukuza mtu kazi , kabla ya onyo,
Records zinakuwepo ofisi ya HR. Hata kama ana miaka miwili kuna Records za nyuma kwenye files...Nani wa kuweka rekodi na HR ndiyo huyo kaajiriwa?
Sana...Umewahi kufanya kazi private?
Mpeni ela yake aliyo tumikia kampuni ndo njia ya kumfukuza haende kutafuta maisha kwengine.Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Kuna tofauti gani inapohusu suala la job security ukiwa private na public sector?Sana...
Ili kuonesha msimamo wa kutokubaliana na maamuu ya kidhalimu ya hao mabosi zako ni wewe kujiuzuru nafasi yako ya u HRHabari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Watu wanaongea tu hapa ila huu ndio ukweli. Unaleta ujuaji na agizo limetoka juu eti sheria mamáe ukamfundishe Bakhressa au watoto wake sheria ya ajiraUkiingia kwemye Hearing na maboss inabidi utetee kibaru chako. Ukimtetea huyo bstaff unaweza ukapigwa warning letter au kuondoka kabisa
Sheria za kazi zipo na kama muajiriwa unapaswa kuzijua,..Tatizo waTz wengi hawashughuliki nazo kwa imani ya kuwa sector binafsi haifati sheria. Mimi nimefanya serikalini, shirika la umma na sasa sector binafsi..Kuna tofauti gani inapohusu suala la job security ukiwa private na public sector?