Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

Status
Not open for further replies.
Chizi anamjibu chizi
 
Jam
Sema huyu tapeli ni very strategically kwenye huo Uzi kaweka namba alafu huu kafunua ID yake (kuwa yeye ni tiss) kuelekea kipindi hichi ambacho majeshi yanatoa nafasi za ajira.....atawapata wengi watafuta connection
Jamaa mmoja alisema, ukiwa muongo, hakikisha unakuwa na kumbukumbu
 
Hapo unapoandikia hata kama unatumia simu na line ya MTU mwingine au vyovyote vile wanakuja kukudaka hapohapo na kukunyamazisha kabisa. Kifupi wewe siyo Usalama wa Taifa maana ingekuwa ndiye wala usingekuja kuandika hapa maana mpaka sasa wameshakujua kuwa ni wewe. No such risk, no such stupidity in central intelligence.
 
nna jamaa yangu alikuwa kwenye jeshi (sijataja jeshi gani) badae akaanza tambo kama zako kuwa kaacha jeshini kaingia usalama

kila siku wimbo wake ukawa huo, mara aniambie mzee flani ni usalama yaani stori zake ni kuhusu usalama basi mie sijawahi kuwa interested

majuzi kati akawa na shida na 100k nikamjibu tiss wa wapi huna koneksheni ya kupata 100k. mimi siba hela

ikabidi afunguke anatafuta 500k akahonge apate kazi flani serikalini hivyo nimsaidie bado nikagoma wewe (yeye ) ni TISS na amewahi nambia ivo kwa nini ahangaike badala ya ofisi kumfanyia wepesi

aliikosa ile kazi, badae nikamwambia kilicho mponza ni kujifanya TISS badala ya kusema ukweli asaidiwe

akafunguka alifukuzwa kwenye hilo jeshi mapema mwaka huu ko anatafuta namna kuingia serikalini

acheni kuigiza mko TISS wakati uwezo wenu wa akili unawashtaki
 
kama ulipewa jukumu la kumlawiti mtu kisa tu hakubaliani na siasa za ccm, halafu na wewe ukajikuta unatamani kulawitiwa, lazima utataka kuacha kazi hiyo.

naskia enzi za marehemu jiwe, baadhi ya watu walilawitiwa kisa tu walikuwa hawakubali sera zake.
 
Sema huyu tapeli ni very strategically kwenye huo Uzi kaweka namba alafu huu kafunua ID yake (kuwa yeye ni tiss) kuelekea kipindi hichi ambacho majeshi yanatoa nafasi za ajira.....atawapata wengi watafuta connection
Soon atapandisha uzi kuwa Ana connection za kazi
 

Teeth wa kweli hauwezi kumjua ,hawa wa mtaani "teeth" wa mchongo huwa wanataka bia na mbususu za bure.
 
Naona unaendeleza gurudumu la kuchangamsha genge.
Kwa vijana kama huyu Tanzania inamiaka 300 kupata maendeleo.
We ni psychopath mkubwa? Mimi mbona ninayo maendeleo? Hao vijana wenzako wakiniiga mmepotea
 
Watawala wa CCM sana sana utawala uliopita waliigeuza hii taasisi kuwa sehemu kubwa ya kulinda maslahi yao binafsi na sio ya nchi, ni taasisi katili and very unprofessional kuwahi kutokea Tanzania, imejaza wauaji , wezi, wazinzi na kila kitu kibaya unachoweza kufikiria, hii taasisi ni ya kuvunja na kufunga wakuu wake wote wa idara kwa ushenzi walioufanya utawala uliopita, lakini ubaya hulipwa kwa ubaya hata wajifiche vipi , soon or later watapata wanachostahili
 
We mkamatishe huyo jobless mwenzako kwa kumchoresha tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…