Natamani kuifanya familia yangu kuwa kama ya Bakhresa na ya akina Mo Dewji, nipeni muongozo

Unaowaomba mwongozo nao wanatamani waishi kama hao unaowataja
 
Baada ya babake kuiaga yeye ndo alipewa u succsssor. Yeye ndo msimamizi wa biashara zote ila on the ground kuna dadake Fatma ypo kwenye kiwanda cha bevarage ndo kazi yke kusimamia n kufanya marketting upande huo. Kuna kaka mwngine wa kiume yupo kwnye textile industry ndo msimamizi, taarifa zote za sector zao wanapelek kwa Mo. Mo ni issue za Auditing n kuhakikisha mifumo yte iko sawa. Sio ndug tu wanaoiendesha bizness kun wat wengne wenye qualification n capabilities wamepew wasimamie miradi, familia n wakaguzi tu.
Dangote ana watot wa2 wa kike wote wamepew majukum mwingne kiwand cha sukari na mwingine kwenye cement kusimamia. Wanaleta tu hesabu na feedback, Father mwenyw ana Audit n kuhakikidha Biashara zao zte znasonga
 
Huwezi kuwa kama wao
Huwezi kuwa kama mo
Huwezi kuwa kama bakhresa
Pia huwezi kuwa kama Mimi .
Wewe kuwa kama wewe.
Kikubwa Maarifa Kwa kiwango chako tayari unayo.
Akili uliyotumia kujua wao wana misingi mizuri ya familia zao, itumie vizuri
Itakusaidia kuwa wa tofauti na kila MTU.
UTOFAUTI WAKO NDIYO THAMANI YAKO
 
Huu mgawanyo wa kazi ni mzuri hata kwenye familia yetu tunaweza kufanya kama wao kikubwa ni kipi cha kuwekeza
 
Waweza kuta mna miliki 15 kwa 30 mkasema nanyie mna shamba!
 
Kila mtu duniani ana msukumo wa ndani unaochagizwa na msukumo wa nje huwezi kuignore mentors
 
Mkuu kuifanya familia yako kuwa kama bharesa au mo dewji hauwezi kufanikiwa kwa kuwa baba yako na babu yako pia hawakuifanya familia zao kuwa kama za bharesa au mo.
 
Unachekesha kweli, sasa si ukawaulize moja kwa moja?
 
Mkuu kuifanya familia yako kuwa kama bharesa au mo dewji hauwezi kufanikiwa kwa kuwa baba yako na babu yako pia hawakuifanya familia zao kuwa kama za bharesa au mo.
Kwenye familia yetu baba ndio alikuwa mwana mageuzi wa uchumi waliomtangulia babu zetu walikuwa wakulima wa jembe la mkono (subsistence farming)

Kwahiyo kama ni reference tunaanzia kwa mzee sio babu zetu
 
Kama ni mali za urithi kuziendeleza peke yako kwa familia zetu za kiswahili ni ngumu sijui ninyi mlilelewa vipi na vipato vya ndgu zako.

Komaa mwenyewe jombaa
 
Añza kuuza ice cream Kama bakhresa baada ya miaka 5 na wewe unakuwa bakhresa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…