Baada ya babake kuiaga yeye ndo alipewa u succsssor. Yeye ndo msimamizi wa biashara zote ila on the ground kuna dadake Fatma ypo kwenye kiwanda cha bevarage ndo kazi yke kusimamia n kufanya marketting upande huo. Kuna kaka mwngine wa kiume yupo kwnye textile industry ndo msimamizi, taarifa zote za sector zao wanapelek kwa Mo. Mo ni issue za Auditing n kuhakikisha mifumo yte iko sawa. Sio ndug tu wanaoiendesha bizness kun wat wengne wenye qualification n capabilities wamepew wasimamie miradi, familia n wakaguzi tu.
Dangote ana watot wa2 wa kike wote wamepew majukum mwingne kiwand cha sukari na mwingine kwenye cement kusimamia. Wanaleta tu hesabu na feedback, Father mwenyw ana Audit n kuhakikidha Biashara zao zte znasonga