Natamani sana timu yangu ya Yanga ipangiwe Mamelod au Al Ahly

Natamani sana timu yangu ya Yanga ipangiwe Mamelod au Al Ahly

Ahly watafanya jitihada zao zote wasipangwe na Yanga kundi moja izi timu kubwa uwa zina tambua hatari kabla hatari haija wasogelea.

Ahly watakutana na Yanga labda kuanzia nusu kwakua apo Nyuma walisha nusurika kutolewa na Yanga mara mbili tena wakiwa Cairo.
Wapo makini sana na uwepo waYanga kwenye mashindano ya msimu huu usiwachukulie poa.
 
Nashukuru sana. Sema nimemuweka juu baada ya kuifunga Al Ahly juzi kwenye kombe la Caf. Anyway hoja yangu ni kwamba tusipangiwe timu CHOVU kama Simba
😁 sawa muda ni rafiki mzuri utazungumza
 
Kutokana na ubora wa Yanga natamani kwenye hatua ya makundi ipangwe kucheza dhidi ya Mamelod sundown, Al Ahly au Raja casablanca.
Tusipangiwe na vitimu vya Simba, Power dynamos au Bamako
Hakika nami natamani Yanga ikutane na hawa vigogo
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hii Yanga ya sasa na ile Yanga ya zamani. Yanga ya sasa haiogopi kucheza na timu yoyote ile Barani Afrika. Zaidi tu itawaheshimu wapinzani wake wote atakaokutana naye.

Sema tu mpaka muda huu tumeshindwa kuwa na permanent striker kama ilivyokuwa msimu uliopita.
Na hapa ndipo udhaifu wetu ulipo mpaka sasa. Ila kwingine kote kuko safi.
 
Uzuri magoli yanaingia tena safari hii mengi kuliko msimu uliopita.
 
Back
Top Bottom