Natangaza rasmi kuachana na masuala ya Siasa, nina ya kujutia mengi

Naheshimu maamuzi yako lakini hata hivyo ,Uamuzi wako umechelewa sana.

Vipi Mr Azzory Gwanda bado mzima na wengineo wengi mliowapoteza.
 
Hongera kwako ..mimi nilikiacha hicho Chama kimya kimya ...sipendi kuonea binadamu kisa ........siasa.
 
Hahaha haha.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wetu tunafurahia kuwa huyu jamaa katubu ila nawambieni yupo kazini na kuna kitu kinasakwa hapa sio bure mtakujà kuamini maneno yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wata muua huyu.

Au ame tumwa kuja KUTU IBIA NA HISIA zetu......!
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha weka nawe tukuone

Mkuu nakusihi usiache siasa, bali achana na siasa chafu za ccm. Nakupongeza kwa kukiri kile kilio chetu cha muda mrefu kuwa huwa kuna wizi wa kura, kuna uhayawani mwingi tu unafanyika hasa sasa. Kibaya zaidi ni hili shambulio la Lisu. Kwa kukiri kujitenga na uovu huu umebaki mtu huru. Ombi maalum, ile list ya watu wa humu mtandaoni wanaosakwa na lile kundi haramu bado ipo au mpango ule ulisitishwa?
 
Huna lolote. Lete evidence.
Wewe ni Chadema unayetaka kuvuta attention za watu hapa but acha kuchafua chama chetu. Ccm 2015 ilishinda mchana kweupe kabisa bila kuiba. Tuache uongo kuhadaa wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo jamaa alichosema hajakosea, huo ni ukweli wa wazi.
 
Huko uraiani nako utawaeleza haya au ni huku JF tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
So sad, some JF members wanasikitisha sana. Matatizo yao binafsi hayawezi kuwa issue ya kitaifa.

Vumilia tu, huyu jamaa kaamua kukiri ukweli ambao ww hupendi uwe wazi. Ila ujue sio kila mtu anaweza kuendelea kuishi kwa kushabikia uovu na uhayawani.
 
Sijawahi shiriki mauaji ila niliwahi kushiriki mtego wa kuwajua wanaomtukana Rais mtandaoni

Hili ni kweli na tena umelifanya sana, ila ukweli rais huwa hatukanwi bali anaambiwa ukweli asioupenda, kwa kuwa hana ubavu wa kuvumilia ukweli ndio maana inaitwa kumtukana rais. Jambo ulilokuwa unalifanya ni baya sana.
 
Ndiyo kwasababu pamoja na Umafia wa CCM bado upinzani nao hawajawa serious kwenye ishu za kuongoza, kila siku hao hao kina Mbowe

Uko sahihi, lakini ccm haina uwezo tena wa kushinda kwa haki zaidi ya 55%. Na wasiwasi wao ni iwapo wataendelea kushuka kwa wastani watapoteza dola, ndio maana sasa hivi wanashangilia na kujisifia kushinda bila kupingwa! Hii ni dalili kuwa hawawezi tena kushindana na wakaendelea kushinda kwa kishindo kama wanavyotaka. hali hiyo ya ccm kutokushinda kwa kishindo naona wanashindwa kuikubali ndio maana wanabaka box la kura wazi wazi.
 
Ndiyo kwasababu pamoja na Umafia wa CCM bado upinzani nao hawajawa serious kwenye ishu za kuongoza, kila siku hao hao kina Mbowe
Swali la nyongeza akina Mbowe waliwahi kupewa fursa sawa ya uongozi wakashindwa? Hii ukiondoa hujuma zinazosumbua dhamiri yako
 
siasa za nchi yetu hasa wa chama cha mapinduzi ni mithili ya wanasiasa walioshindwa kufanya siasa.

ishara ni nyingi kudhihirisha hilo, lakini silaha tatu za wanasiasa walioshindwa kufanya siasa ni;
Ulaghai
Vitisho
Nguvu

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Vumilia tu, huyu jamaa kaamua kukiri ukweli ambao ww hupendi uwe wazi. Ila ujue sio kila mtu anaweza kuendelea kuishi kwa kushabikia uovu na uhayawani.

Ukiulizwa huo uovu na uhayawani unatangatanga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…