Natangaza rasmi kuachana na siasa

Huwezi kuwa MPINZANI WA KWELI, kwa katiba tuliyonayo.
 
Wengi ingawa hatujaandika tumeachana na chadema rasimi toka juzi

Pia mimi.binafsi niwaombe radhi wote ambao nilitofautiana nao wakati nakitetea chama kwa hoja za nguvu

Niko hapa jukwaani tangu 2010 nimekuwa mtetezi wa chadema kwa weledi na akili kubwa kiasi kwamba
Ma ccm yalikuwa yanakimbia hoja zangu

Sasa natangaza kuachana hoja kisiasa rasimi
 

Ndugu yangu angalia nchi zaidi na sio siasa. Pigania haki, demokrasia na katiba mpya drama za vyama achana nazo. Wengi wetu hapa hatuna vyama
 
Mkuu technically subiri mpaka baada ya kura kupingwa na wajumbe kumweka Mbowe.....

Baada ya matokeo kutangazwa na Mbowe ndiye mshindi basi atakakoelekea Lissu nitakuwa naye isipokuwa tu akielekea ccm simfuati.
 
Kichaa wewe wapinzani wenyewe chadema hasira zako za kutumbuliwa na licheti lako feki ndio unamchukia jeshi
 
Hahahah!!!!!yule alijawa na ghilba,chuki.na hasadi
 
Ndugu yangu angalia nchi zaidi na sio siasa. Pigania haki, demokrasia na katiba mpya drama za vyama achana nazo. Wengi wetu hapa hatuna vyama
Kupigania hvyo nje ya vyama kwa Tz ni ndoto,nchi ya wanasiasa hiii
 
Ni mkweli nilijuaga umededishwa kipindi kile hasa baada ya kupotea muda mrefu. Maana attack zako zilikuwa level za juu sana. Kila la kheri,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…