Natarajia kupata mtoto nje ya mke wangu

Kila mchuma janga ....
 
Ni upuuzi kumuumiza mtu kwa makusudi huku ukimuonesha wazi na wewe ukijua fika kua anaumia na kukusihi uache kumuumiza.
Tusitetee. Haya mambo ya ndoa ni magumu sana. Hata hatima yake inahitaji maamuzi magumu kweli kweli. Mbona yeye aliamua kumuumiza mmewe huku akijua anamuumiza. Ingawa hajaweka kisa chote, ebu fikiria km alinyimwa tendo la ndoa, maan hii ndo slaa kwa wanawake wengi kwa sasa na ndo maan ndoa zao zinakufa kila siku. Binafisi nipo upande wa mleta madam.
 
 
Heri yangu ambaye kama mambo hayataharibika sana, mpaka kufika mwezi wa 7 mwakan, nitaka na watoto sita, Kila mtoto na mama yake.


Lengo langu niwe nao tu Kwa kadiri itakavyowezekana.

Hata hivo nazingatia sana kuzaa na wenye Shughuli zao ili kubalance mambo.
 
Huo mtirirko wa text n kama haushiki dishi vzuri, n kama vile mtu anajiuliza swali then anajijibu.
Anyway, utajimada mwenyewe. Mambo ya mapenz hatushauri siku hizi maana tunafurahia mkirudi na nyuzi za machungu baada ya kushupaza komwe
Vijana wa JF huwa wanajiandikia sms na kujijibu wenyewe then wanaleta humu JF. Kuna msukuma mmoja kule kwenye uzi wa kula tunda kimasihara anaitwa Carlos The Jackal alikuwa anawadanganya sana wenzake kwa kujiandikia na kujijibu sms na jamaa wakamuiga mwishowe akashtakiwa na mke wa mtu.

JF ni ya kwenda nayo taratibu sana. Kila kitu ni fake humu.
 
Kama kwako kuna malisho ya majani mabichi na maji wife wako hatoki mwanangu. Huyo demu wako naye kakuganda habanduki. Ina maana sasa una wake wawili ujue, labda mmoja ajikate kislesi aampishe mwenzake au wabanane kwako daima
 
vipi Mkuu
 
Wanawake wote wazuri mwanzoni
 
Una kipato kidogo hivyo,nyege za kutia mademu hovyo bila ndom unazitoa wapi?
 
Yeye hajakuambiaa kuwa anamimba yako
Naona ww ndo umejifunga vizuri
 
Ukute uyo mwanamke nae ana jamaa ake anachepuka nae. Ukichepuka kwa mkeo nae ana mtu wake wa kuchepuka nae....πŸ˜€πŸ˜€tena hadi yas ukute kuna mchepuo unapewa
 
Yeye hajakuambiaa kuwa anamimba yako
Naona ww ndo umejifunga vizuri
Wewe huwezi kujua mtu anataka kusema nn mpaka atamke sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…