Natarajia kupata mtoto nje ya mke wangu

Imekula kwako trust me
 
Nyie ndio mnatengeneza single mothers watoto wenu wanakuja kuishi maisha ya mateso tu.
 
Kuna kipindi niliwaza kama wewe, yaani niliona watoto nilionao bado nahitaji mmoja TENA wa nje, japo sikuwa na mgogoro wowote ndani ila nilifikiri ni muhimu kuchanganya damu, bahati mbaya na nasema bahati mbaya haikuwa. Mwisho wa siku mpango ukayeyuka na sidhani tena, umri huu kuzaa tena ni kutafuta kulea ukiwa mzee.
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Hahaha kataa ndoa
 
Nimekukamata!
 
Hajui ya kesho πŸ˜…πŸ˜… pata shida uone nani atamsaidia mchepuko au mke
 
Hiyo sio point kiongoz, m.ke kutoka nje kisa anamkomoa mwanaum anajidanganya, anajikomoa mwenyww na sana sana anakomoa uchi wake
Wewe utaweza kuvumilia kuona hayo au wewe huna Wivu kama sisi wengine?

Mimi hata Mchepuko wangu tu sitaki achepuke, kuna maradhi lakini pia heshima kushuka.

Ndiyo sembuse kubebewa mimba kabisa πŸ™Œ
 
kwa hizo sms πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒkuna kitu hakiko sawa ww ndio unajiita baba kijacho bila kuambiwaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒ
 
Alinitesa sana ndo maana tumefikia huku

Siku hizi mkuu kuliko kupiga ngumu Bora mapigo ya wireless tu
Hapo haujamkomoa huyo mkeo, unawakomoa wanao.

Huwezi nielewa kwa sasa, ila siku wakikua utarudi hapa kwenye hii comment kuthibitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…