Natarajia kupata mtoto nje ya mke wangu

400k, nyumba ya kupanga, watoto wawili na wanawake wawili. Hivi utaweza kweli kuhudumia hiyo familia kiongozi, au nyege zinakupelekesha tu?
 
Wewe huwezi kujua mtu anataka kusema nn mpaka atamke sio
Wewe unajuaje kama ni yako.
Utadandia mimba za watu.
Mimba haikubaliwi kiwepesi wepesi hivyo kwa mchepuko
 
Babu Grahams hebu ukuje, hii kesi nzito sana.
 
subiri kidogo waifu naye ataleta mtoto wa nje
 
Kazi yangu ya kwa mwezi napata zaidi ya laki4 nimejiajiri. Huyu demu ni mfanyakazi japo kwao ameacha mtoto

Kipato chenyewe duni pangu pakavu tia mchuzi lakini bado unaendekeza kudinyana hovyo...

Una uhakika huyo mtoto ni wako au unaamini vya kuambiwa tu?
 
Mke wako aamue kuondoka 😏...halafu muanze kutesa hao watoto 2...

Jinga sana wewe....

hyo furaha haitodumu milele utakuja kujitwisha mikono kichwani.
 
Already in trapped with the single mothers be careful ucmkaange mkeo kisa huyo single mum
 
Una uhakika tatizo ni mimi?
Wewe! Si ndio nimekuta unaconfess kuwa ulitaka kuchepukaπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Wewe! Si ndio nimekuta unaconfess kuwa ulitaka kuchepukaπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Asili ya mwanaume, hawezi kuwa na mwanamke mmoja.
 
Babu Grahams hebu ukuje, hii kesi nzito sana.
Hahaha..................Mzee mwenzangu ameamua kumwaga Siri ya kambi 😜

Unajua miaka ya zamani kutokana na uduni wa huduma za afya.

Ilishauriwa tujaribu kuzaa watoto Kwa Mama tofauti ili kama kutakuwa na tatizo hasa la kiafya Kwa Mama mmoja asirithishe Kwa watoto wengine.

Japo haya mambo tuliyafanya Siri sana yasijulikane, maana Watoto wa nje wa Mzee ERoni lazima wangefanana na Watoto wake ndani ya ndoa

Ili Kutuliza migogoro ndani ya ndoa, Wazee tuliamua kuja na misemo kwamba;

Mama Mjamzito akimchukia Mzee ERoni lazima atazaa watoto watakaofanana naye 😜

Vile vile msemo wa kusema Kitanda hakizai haramu πŸ™Œ
 
Kwahiyo babu unataka kusemaje?
 
Asili ya mwanaume, hawezi kuwa na mwanamke mmoja.
Hii kauli naihifadhi, soon nitaitumia.

Tena unasema kabisa "bahati mbaya"πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Hiiii bagosha!
 
Yaan unaingiza laki 4 kwa mwezi na bado unaongeza mwanamke tena?...kuna watu mna roho ngumu sana aisee[emoji1787]
 
Huwezi kuelewa...
 
Mkuu umengoja mpaka mke akusumbue ndo uzae nje???.kuzaa nje ni jambo la maingi na la muhimu ...
Babu yangu alisema..'zaa angalau mtoto mmoja nje,ataokoa jahazi ikiwa hao watoto wa ndani wakibeba tibia mbaya za kwa wajomba zao"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…