Nategemea hii ndio itakuwa story ya mwisho kuileta humu kumuhusu huyu mwanaume

🥳🎉
 
Ni kweli mkuu lakini mikausho isiwe too much inaumiza moyo
 
Upuuzi wa aina hii umefanya niachane na kitoto hivi majuzi. Sometimes wananume tupo na vitu vingi vya kuwaza na kufanya, mahusiano tunayafanya kama sehemu ya kurefresh ubongo tu. Ila kwa bahati mbaya unakutana na kitoto kimetoka UDSM na upuuzi wa love story hamna rangi utaacha kuona.
Anyway mwamba yupo sawa kwa upande wangu.
 
uzuri akikutafta hadai maswala ya sex ni muongee aridhike🤣
Inategemeana sio wakati wote wakati mwingine ni salamu tu na blablah wakati mwingine ndio kupanga meeting but halazimishi.. ni mtu ambae amesoma na ni muelewa
 
Kile ambacho unapenda akufanyie mara kwa mara,anza leo kumfanyia wewe
Mpigie simu mara kwa mara,muandikie sms mara kwa mara, uone kama atakusahau
Mwanaume aliepitia changamoto ya kuteswa na mwanamke aliempenda,Mwanaume huyo huwa na asilimia ndogo sana ya kumjali mwanamke mwingine
 
Mimi sijataka anitafute ama tutafutane kila wakati hata mimi nipo bize na kazi zangu but kuna ile time una miss apige hata simu lakini kimya… yaani ni kuchart tu kama wanafunzi
 
Vyote hivyo sishindwi mkuu… sema kitu kinauma ni ile ukimpigia hapokei anakwambia niko bize ndio imeisha yaani mpk akupigie yeye… sasa penzi gani hilo
 
Nimeishia kusoma pale uliposema huwa anakupigia simu kama anakuelekeza pa kukutania...

Sikujui lakini kupitia maandishi yako unaonekana wewe ni MTU MZIMA.

Tafuta mume olewe, uachane na hizi habari za kukutana vichakani na lodge. Jiheshimu!

Tena kuna mahali unasema kutokana na uzoefu wa mapenzi ya nyuma. Mwambie huyo jamaa akuoe ama utafute mtu mwingine akuoe utulie badala ya kulilia kupigiwa simu kama umevunja ungo jana!
 
Mlembo mlembo au sio
Yeap mlembo😂 hiii kitu hilinitokea wakati nipo form 6 up chuo wifi yenu halikuwa hanalalamika kuhusu tabiya Kam ya mtu wako sema tumetofautian kweny call na txt mm nilikuwa najitahid call hila naweza kaha 2 week ndy na call na txt hapan siyo mpnz sana wa txt lkn halikuwa kila mda hanapenda ni call ua ni mtumie txt sas kwa upande wang nilijitahidi hila Kuna mda nilibindi nimweleze kuwa nipo hustle mamb yakikaa saw ntakuwa call au txt nahona hiyo hali ndy shem wangu hanapitia Kuna mda mind hasa kwa wanaume Huwa hinatutokea hila kupenda kunakuwa tunawapenda sana sema life hila mambo yakiwa sawa hatakuja kwako tuuu naludia hatamimi nilipitia hiiii hali wife ❤️ hakawa hana wambia ndungu zangu washikaji zangu labda alidhani namchezea
 
Binti we angalia moyo wako tu,,npo na uyo jamaa ukipga asipopokea ole wako umuulize jibu utalopewa utajuta kuuliza,au asipojib mesej uliza uone🤣,na akikumis hakikisha upo active ole wako asikupate..........mambo ni mengi
Mambo
 
Acha ubinafsi.. kila mtu ana jukumu la kulinda penzi.

Yaani wewe tu ndo unataka utafutwe. Kama nani...!
 
Mimi sijataka anitafute ama tutafutane kila wakati hata mimi nipo bize na kazi zangu but kuna ile time una miss apige hata simu lakini kimya… yaani ni kuchart tu kama wanafunzi
Hata hiyo kuchart shukuru Mungu, mfano mimi nimewahi kupotea nyumbani mwaka na miezi kadhaa no call, txt wala kujua nilipo mpaka wakaweka msiba. Ila mwisho wa siku nikarudi salama na maisha yakaendelea(hapa wazazi waliwaza mengi).
Af leo naishi normal life anakuja binadamu kunihoji why sijamtafuta siku mbili aisee namuona kama kakatwa kichwa for real.
 
Ndugu ingekuwa sisi tunaweza kujioa ningejiooa, huyo mtu namtafuta wapi wa kunioa ,, unaongea kama vitu rahisi yaan ni kama kuna mwanaume amekaa anasubiri nimchukue anioe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…