Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Amini mwanangu mambo yamebadilika sanaSio roho mbaya jitahidi kujipa furaha mwenyewe usitegemee wala kusubiri watu wakupatie furaha.
Wanaume tupo na vitu fungi sikuizi.
Hua nawaza hata babu yangu enzi hizo alioa akiwa na miaka 17 angezaliwa miaka ya 90 angekua single mpaka saiv.
hivi kweli wewe ni genius, yani mapenzi nayo ni ya kufanyia uchunguz?kuna sababu nyingi pengine jamaa anakujaribu uvumilivu wako, pengine ni life style yake, pengine amebanwa na kazi hebu jaribu kufanya uchunguzi vizuri moja kwa moja kutoka kwake ndipo uchukue hatua
Mwenyewe huwa nawaza kitu kama hiki.Sio roho mbaya jitahidi kujipa furaha mwenyewe usitegemee wala kusubiri watu wakupatie furaha.
Wanaume tupo na vitu fungi sikuizi.
Hua nawaza hata babu yangu enzi hizo alioa akiwa na miaka 17 angezaliwa miaka ya 90 angekua single mpaka saiv.
Aah mnapenda vya mserereko eehWoow huyo jamaa anabahati aisee wengine sisi tumepata wanawake pasua sana bila kumuhudumia awez kukuelewa kabisa
Nimechokaa kujipa furaha mwenyewe nataka na yeye anipeSio roho mbaya jitahidi kujipa furaha mwenyewe usitegemee wala kusubiri watu wakupatie furaha.
Wanaume tupo na vitu fungi sikuizi.
Hua nawaza hata babu yangu enzi hizo alioa akiwa na miaka 17 angezaliwa miaka ya 90 angekua single mpaka saiv.
Yeye anajipa kwa sasa mwenyewe kwahyo subiri achoke ndio akupe na weweNimechokaa kujipa furaha mwenyewe nataka na yeye anipe
Ko unataka nyapu upewe buree? LolWoow huyo jamaa anabahati aisee wengine sisi tumepata wanawake pasua sana bila kumuhudumia awez kukuelewa kabisa
Kitu usichokijua sio kila mwanaume ni mume kama ilivyo sio kila mke ni mke wako.. uwezi kusema tu naolewa kwakuwa tu amejitokeza wa kukuoa… haijalishi itachukua muda gani ninajua nitaolewa nimetulia sitaki kukurupuka nikaolewa nikaachika sitaki hilo jambo linitoke… kikubwa zaidi bado nina muda wa kutosha kuendelea kusubiri mtu sahihiKati ya wanaume wote waliokuzunguka hakuna hata mmoja anayetaka ama kuonesha nia ya kukuoa?
Noma SanYeye anajipa kwa sasa mwenyewe kwahyo subiri achoke ndio akupe na wewe
Mkuu wewe ni wa kanda ya ziwa??Yeap mlembo😂 hiii kitu hilinitokea wakati nipo form 6 up chuo wifi yenu halikuwa hanalalamika kuhusu tabiya Kam ya mtu wako sema tumetofautian kweny call na txt mm nilikuwa najitahid call hila naweza kaha 2 week ndy na call na txt hapan siyo mpnz sana wa txt lkn halikuwa kila mda hanapenda ni call ua ni mtumie txt sas kwa upande wang nilijitahidi hila Kuna mda nilibindi nimweleze kuwa nipo hustle mamb yakikaa saw ntakuwa call au txt nahona hiyo hali ndy shem wangu hanapitia Kuna mda mind hasa kwa wanaume Huwa hinatutokea hila kupenda kunakuwa tunawapenda sana sema life hila mambo yakiwa sawa hatakuja kwako tuuu naludia hatamimi nilipitia hiiii hali wife ❤️ hakawa hana wambia ndungu zangu washikaji zangu labda alidhani namchezea
Sikuwahi kumpuuzA tulikuwa twapendanamkipigiwa simu mara nyingi ni kero, msipopigiwa ni kero mtajijua wenyewe kama ulikua na anaekupigia simu Sana ukampuuza hayo ndio malipo kwa sasa unalipwa wala usilaumu komaa nae tu
Kanda ya ziwa hatunaga mwandiko mbovu ivo.Mkuu wewe ni wa kanda ya ziwa??
Sasa hwehwe ......hau basiYeap mlembo😂 hiii kitu hilinitokea wakati nipo form 6 up chuo wifi yenu halikuwa hanalalamika kuhusu tabiya Kam ya mtu wako sema tumetofautian kweny call na txt mm nilikuwa najitahid call hila naweza kaha 2 week ndy na call na txt hapan siyo mpnz sana wa txt lkn halikuwa kila mda hanapenda ni call ua ni mtumie txt sas kwa upande wang nilijitahidi hila Kuna mda nilibindi nimweleze kuwa nipo hustle mamb yakikaa saw ntakuwa call au txt nahona hiyo hali ndy shem wangu hanapitia Kuna mda mind hasa kwa wanaume Huwa hinatutokea hila kupenda kunakuwa tunawapenda sana sema life hila mambo yakiwa sawa hatakuja kwako tuuu naludia hatamimi nilipitia hiiii hali wife ❤️ hakawa hana wambia ndungu zangu washikaji zangu labda alidhani namchezea
Wewe ni mkorofi kiwango cha lami...Mkuu wewe ni wa kanda ya ziwa??
Katika huo muda unaosubiri, jitulize badala ya kuhaha na mambo kama haya.Kitu usichokijua sio kila mwanaume ni mume kama ilivyo sio kila mke ni mke wako.. uwezi kusema tu naolewa kwakuwa tu amejitokeza wa kukuoa… haijalishi itachukua muda gani ninajua nitaolewa nimetulia sitaki kukurupuka nikaolewa nikaachika sitaki hilo jambo linitoke… kikubwa zaidi bado nina muda wa kutosha kuendelea kusubiri mtu sahihi
Kwani ni biashara hiyo kama ni biashara halali basi iwe tunabagain kabisa kabla atujaingia gheto isiwe kuwa tunauziana kwa kisingizio cha mahusiano na kuna wengine hawana huruma wanakupiga haswa swala la kuhudumiwa inabidi mwanaume ndio aamue yeye na ni haki yako but sio mnakomand kama hivyoKo unataka nyapu upewe buree? Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana sio mserereko kuna wengine wanapiga sana aiseeAah mnapenda vya mserereko eeh