NATO itaiponza Ukraine. Leo wametangaza kupeleka ndege vita huko Ukraine

Ni hatar kwa Ukraine au kwa dunia ndugu. Ujiandae ulimwengu unaelekea kubaya zaid na wenye hali mbaya zaid ni sisi maboya. Hatujajiandaa kwa kinachokuja.
Ni hatari kwa Ukraine zaidi maanake kwasasa hata ikitokea vita ya 3 ya dunia uwanja wa vita utakua Ukraine na nchi za karibu. Siso wa huku mbali tutaathirika kibiashara na kiuchumi tu.
 
Kuhusu kuanguka kiuchumi siyo rahisi. Gesi na mafuta bado anauza sana ulaya marekani na Asia hasa India. Bidhaa za kilimo na viwandani pia. Vyovyote vile atakavyopigana Ukraine na NATO hawatamuweza
 
Russia inachofanya ni kwa usalama wake!
 

Putin kama ana ghala la silaha angeshalitumia, saivi kakimbilia north korea kupata usaidizi ashaingia nao mkataba eti akishambuliwa yeye na North Korea aingie mzigoni, kaenda na Vietnam hajui kama vietnum uchumi wao uliyumba US ndio anampa maisha saivi, Putin ni big looser


 
Ukraine imekubali nchi yake kuwa uwanja wa majaribio.
Unaishi dunia ipi wewe?
Ukraine alivamiwa na russia kwa mabomu kila upande wa nchi yao, miji na majengo yakavurugwa kote sasa kuna ubaya gani kujilinda? Ukraine siye alienza vita na kama wewe kuvamiwa nyumbani kwako nyumba yk ikapigwa moto sasa unaposema Ukraine ni uwanja wa majaribio unakuwa hufahamiki, Ukraine anatafuta usaidizi kujilinda ingekuwa si usaidizi leo Ukarine ingekuwa bendera za russia zinapepea Kyiv
 
Kuhusu kuanguka kiuchumi siyo rahisi. Gesi na mafuta bado anauza sana ulaya marekani na Asia hasa India. Bidhaa za kilimo na viwandani pia. Vyovyote vile atakavyopigana Ukraine na NATO hawatamuweza
Vita inamaliza Pesa,Hao wanajeshi wa kukodi anawalipa kiasi gani? Uchumi wake lazima upungue.Achilia mbali vikwazo. Alivyowekewa na EU.
 
Amesema wapi? Maana zelenskey mpaka jana anatoa shukurani sana kwa kupata hizo F16 ili zikamnyooshe mtu
Ukitaka kuelewa kinachpendelea duniani usiwe mshabiki! Hanyosheki mtu!
Haya fuatilia kwenye link hii usikie Zelensiky anasemaje!
 
Na Marekani alipoanzisha vita kule Iraq akiwa na wapambe wake wakubwa wa nato,alikuwa anatelekeza makubaliano ya wapi? Sema umechagua upande unaoupenda. Unafikiri Murikans(American) wakubali Russia aweke military base kule Latin America na Caribbean chanel.? 🤔
 
2008 Urusi aliivamia Georgia na hakukua na vita Ukraine
Georgia imeingiaje hapo? Tunazungumzia Ukraine. Kama unafahamu hii vitu na kama ulivyotoa story Yako. Sema nini kimetokea kuanzia 2008 onwards na hata kupelekea mapinduzi ya Rais wa Ukraine. Kama hujui sema tutakusaidia. Ama kapitie Tena interview mbalimbali za Putin, deliberations mbalimbali za NATO na EU
 
Ni hatari kwa Ukraine zaidi maanake kwasasa hata ikitokea vita ya 3 ya dunia uwanja wa vita utakua Ukraine na nchi za karibu. Siso wa huku mbali tutaathirika kibiashara na kiuchumi tu.
Bila mafuta, pesa za mikopo, bila misaada, bila ARV na codom, bila internet, unaiona nchi ikiathirika kibiashara na kiuchumi tu? Mkuu huku hali inaweza kuwa mbaya kuliko walio vitani.
 
Unajua marekani aliipataje guantanamo?
 
Siijui kesho yangu itakuaje
Ila nnaloweza kukwambia ukraine haitakaa itumie nyuklia dhidi ya russia na tuseme ikaja ikatokea basi huko nato nakwenyewe kutakua hamkani haswaaaa
Russia hana haja ya kutumia nyuklia ukraine sababu anaetumia nyuklia ni mtu anaeshindwa au aloshindwa kama ilivyokua kwa us pale Nagasaki na Hiroshika ila Russia mboba kwake majambo yanaenda vyema kila leo anakwapua maeneo ya Ukraine
Ukraine bado ile tottaly kusarenda ila kashashindwa big time
 
Bila mafuta, pesa za mikopo, bila misaada, bila ARV na codom, bila internet, unaiona nchi ikiathirika kibiashara na kiuchumi tu? Mkuu huku hali inaweza kuwa mbaya kuliko walio vitani.
Na wao bila dhahabu , almasi , Tanzanite, coal , gas , kahawa , mbao , samaki , nyama , n.k wata survive vipi? Tunaishi kwa kutegemeana mkuu
 
Vita inamaliza Pesa,Hao wanajeshi wa kukodi anawalipa kiasi gani? Uchumi wake lazima upungue.Achilia mbali vikwazo. Alivyowekewa na EU.
Ripoti ya world Bank mwaka huu imesema uchumi wa urusi umezidi kuimarika. Hawa world Bank ni tool ya wamarekani kiuchumi ndio wanaripoti hivyo.
 
Sasa unaona unauwezo wa kupambanua mambo kwa hili uloandika hapo
Kama hana udhibiti wa anga ukraine anaomba mifumo ya ulinzi wa anga kumdhibiti nani
Na ndege za f16 alizoahidiwa jana kupelekewa ukraine zinapelekwa zikalinde anga lanani
Hamjajua kupembua mambo bado akili zenu hazijakomaa
 
Russia anazalishq silaha mwenyewe na chuma anachimba mwenyewe. Ameingiza vifaru vipya elfu hamsini na bado viwanda vina endelea kuzalisha
 
Mbona hutaji sababu za Ukraine kuvamiwa kwamba kavunja mkataba walioingia na Russia Kwa kutegemea silaha za msaada zitamsaidia kwahyo anachezea mboko tu
Kwenye mkataba kuna kipengele kinasema ukikivunja unavamiwa? Ioneshe....rejea sababu iliyotolewa na Rais Putin wakati anatoa kibali ya wanajeshi wake kuivamia Ukraine. Hakuna sehemu alitaja kuwa Ukraine imevunja mkataba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…