Natofautiana na Gwajima: Jeshi wasipewe zabuni za ujenzi bali wawezeshwe wawe wanazalisha silaha na kuziuza

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Jeshi halitakiwi kùwa sehemu ya uchumi mfano umeipa kampuni ya jeshi tenda ya barabara swali unaweza iwajibisha jibu ni hapana

Changamoto kubwa wanayopitia egypt ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi, ndo maana morsi mtawala wa kiraia alivyoingia na kutishia maslai ya jeshi aliondolewa kibabe

Hata Nigeria moja ya sababu kuwa coup d'état nyingi miaka ya 1960's mpaka early 1990's ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi na matokeo yake watakuwa na nguvu kwenye siasa

Mtu akiwa na stake kubwa kwenye uchumi automatic atataka nguvu kwenye siasa hasa akiingia mwanasiasa anayehatarisha maslai yake

Jeshi liwezeshwe kutengeneza silaha na kuziuza na sio kupewa tenda za ujenzi na nyinginezo hizio waachiwe makampuni ya kawaida mfano jeshi wanametengeneza barabara chini ya kiwango kuwawajibisha inakua ni ngumu na italeta conflict of interest

The global military equipment market is substantial and growing, with a market size valued at USD 563.71 billion in 2025 and projected to reach USD 795.54 billion by 2033

Jeshi letu linaweza kuwa sehemu ya market size ya usd 563.71 billion ya vifaa vya kijeshi duniani

Nikiwa Rais jeshi letu litakuwa linazalisha vifaa vifuatavyo na kuuza na kupata fedha
  1. Drone
  2. Fighter jet
  3. Armoured vehicle
  4. Transport aircraft
  5. Helicopters
  6. Missiles
  7. HIMARS
  8. Battle rifles
  9. Assault rifles
  10. Sniper rifles
  11. Hunting rifles
  12. AR-15 style rifles
 
lakini hoja yake ya kwamba Majeshi yawe kwenye best quality of life ina mashiko au haina mashiko?
 
Sukuma gang wako very strategic, mwingine ana press kesho (japo si msukuma ila ni sukuma gang).

So hoja zao zote ziangalie kwa macho mengi mengi, kuna jambo wanalilenga.
 
Jeshi liwezeshwe kutengeneza silaha na kuziuza na sio kupewa tenda za ujenzi na nyinginezo hizio waachiwe makampuni ya kawaida mfano jeshi wanametengeneza barabara chini ya kiwango kuwawajibisha inakua ni ngumu na italeta conflict of interest

The global military equipment market is substantial and growing, with a market size valued at USD 563.71 billion in 2025 and projected to reach USD 795.54 billion by 2033

Jeshi letu linaweza kuwa sehemu ya market size ya usd 563.71 billion ya vifaa vya kijeshi duniani

Nikiwa Rais jeshi letu litakuwa linazalisha vifaa vifuatavyo na kuuza na kupata fedha
  1. Drone
  2. Fighter jet
  3. Armoured vehicle
  4. Transport aircraft
  5. Helicopters
  6. Missiles
  7. HIMARS
  8. Battle rifles
  9. Assault rifles
  10. Sniper rifles
  11. Hunting rifles
  12. AR-15 style rifles
Bila kuathiri hoja yake kuu ya utekaji; kimsingi conclusions nyingi za Askofu Gwajima ukiisikiliza bila mihemko (in the sprit ya kujenga nchi kama anavyosema yeye) zina kasoro nyingi... nadhani kuna shida kwenye namna anavyodraw conclusion zake kwenye 'tatizo' lililopo. Mfano:

1. jeshi kupewa tenda zote za ujenzi - Hii umeispot (kimsingi ni hoja inayoua sekta binafsi), inaua ushindani wa tenda na inafanya jeshi lijikite kwenye kazi ambayo sio msingi wa kazi yao.
2. kuhusu uteuzi wa Wakuu wa Vyombo kufanywa na Rais na utenguzi kufanywa na chombo kingine (bunge) - Hoja sahihi at the wrong time (hii ni hoja inayohitaji mabadiliko ya Katiba) - so far Bunge limevunjwa (uhai wake unaisha soon), Baraza la Mawaziri limefanya kikao chake cha mwisho- Ni kwa namna gani major reforms za namna hii zitafanyika kwenye kipindi hiki? - Not practical - (na kimsingi sio tu kipindi cha utenguzi hata kipindi cha kuteua - majina yapelekwe bungeni)
3. Hoja ya Minimum reforms - hii nayo ni hoja yenye ugumu kwa wakati huu (kama nilivyosema awali - Cabinet imefanya kikao cha mwisho, bado siku kama 18 tu uhai wa bunge ukome - kwa vyovyote vile ili serikali ipeleleke mswaada Bungeni ni lazima upelekwe na Waziri mwenye dhamana na ili apeleke ni lazima Cabinet iujadili na kupitisha - sasa itawezekanaje wakati cabinet haiwezi kufanya tena kikao? kimsingi this is also not practical

Ninaona anajaribu, kuchochea hisia za Jeshi - kuhusu wao kuwa wazalendo namba moja nk nk (kwa vyovyote vile - huwezi kumtenganisha Rais na Jeshi hata kama Rais ana cheo cha CiC kisiasa lakini bado ni sehemu yao for a reason na kwa mujibu wa katiba) - hii ni hoja ya kutapatapa: kwa namna yeyote Jeshi letu kwa namna lilivyo na lilivyoasisiwa na namna linavyofanya kazi (with complex system) ni ngumu kufikiri linaweza kufikiri kuwa wao ni wazalendo kuliko Rais.

Hoja kuhusu utekaji ni ya msingi na serikali inapaswa kutoa majibu, hoja kuhusu ikiwa ushauri alioutoa ndiyo umepelekea kufunga kanisa nayo ni ya msingi sana. Je kulikuwa na ulazima gani wa kufungia kanisa? nadhani ndiyo hoja zinazopaswa kujibiwa. na pengine ajikite hapo zaidi. hizo suggestions alizotoa ni ngumu kuwezekana na unajiuliza kwa nini anazitoa sasa huku akijua haiwezekani.
 
Jeshi liwezeshwe kutengeneza silaha na kuziuza na sio kupewa tenda za ujenzi na nyinginezo hizio waachiwe makampuni ya kawaida mfano jeshi wanametengeneza barabara chini ya kiwango kuwawajibisha inakua ni ngumu na italeta conflict of interest

The global military equipment market is substantial and growing, with a market size valued at USD 563.71 billion in 2025 and projected to reach USD 795.54 billion by 2033

Jeshi letu linaweza kuwa sehemu ya market size ya usd 563.71 billion ya vifaa vya kijeshi duniani

Nikiwa Rais jeshi letu litakuwa linazalisha vifaa vifuatavyo na kuuza na kupata fedha
  1. Drone
  2. Fighter jet
  3. Armoured vehicle
  4. Transport aircraft
  5. Helicopters
  6. Missiles
  7. HIMARS
  8. Battle rifles
  9. Assault rifles
  10. Sniper rifles
  11. Hunting rifles
  12. AR-15 style rifles
unataka madaraja, barabara, viwanja vya ndege n.k vijengwe na watu toka nje ili wakiamua kuhujumu, kuleta watu hapa wakijifanya makandarasi kumbe spy n.k iwe rahisi? kipi bora, nani zaidi mzalendo, tilioni ngapi tunawapa watu wa nje badala ya kuzizungusha hapahapa bongo? pia, alichosema sio jeshi lote kazi yake inakuwa hiyo, ni kitengo tu. kama ilivyo SUMA JKT sasaivi, wanajenga, wanatengeneza samani,wanafanya kila kitu, still kuna vitengo vingine vya silaha vipo vitaendelea huko. maisha sio silaha tu, sio vita tu,maisha ni pesa mfukoni. jeshi letu litengeneza silaha leo liuze itakuwa lini lipate izo pesa?
 
Ndg Dennis swala la silaha lina dondokea kwenye kitu kinaitwa industrial millitary complex (google tafuta maana ama search kutumia engine nyingine)

Yaani ukitengeneza silaha lazima uwe na namna ya kuziuza ndio maana kuna mataifa vita kwao ni oxygen bila vita nchi na taasisi zote mambo hayato enda sasa ukisema majeshi ya Africa (generalized) waanze kutengeneza silaha zao, je wanavita au kuna mission za kwenda ama wana wauzia akina nani?

Na wale mabwana wakubwa watauzia zao wapi?

Umetumwa unataka midege angani.. 🤪

Uwe na mchana mwema
 
Nadhani tungeelewa maudhui nzima ya kusema hivyo...Namna ya kuzitekeleza zinaweza kuwa nyingi lakini the key thing hapo ni kuwa wapewe power and semi autonomy kwakuzingatia pia incentives zao
 
Jeshi liwezeshwe kutengeneza silaha na kuziuza na sio kupewa tenda za ujenzi na nyinginezo hizio waachiwe makampuni ya kawaida mfano jeshi wanametengeneza barabara chini ya kiwango kuwawajibisha inakua ni ngumu na italeta conflict of interest

The global military equipment market is substantial and growing, with a market size valued at USD 563.71 billion in 2025 and projected to reach USD 795.54 billion by 2033

Jeshi letu linaweza kuwa sehemu ya market size ya usd 563.71 billion ya vifaa vya kijeshi duniani

Nikiwa Rais jeshi letu litakuwa linazalisha vifaa vifuatavyo na kuuza na kupata fedha
  1. Drone
  2. Fighter jet
  3. Armoured vehicle
  4. Transport aircraft
  5. Helicopters
  6. Missiles
  7. HIMARS
  8. Battle rifles
  9. Assault rifles
  10. Sniper rifles
  11. Hunting rifles
  12. AR-15 style rifles
Silaha kabosa au wafyatue tofali!
 
Ndg Dennis swala la silaha lina dondokea kwenye kitu kinaitwa industrial millitary complex (google tafuta maana ama search kutumia engine nyingine)

Yaani ukitengeneza silaha lazima uwe na namna ya kuziuza ndio maana kuna mataifa vita kwao ni oxygen bila vita nchi na taasisi zote mambo hayato enda sasa ukisema majeshi ya Africa (generalized) waanze kutengeneza silaha zao, je wanavita au kuna mission za kwenda ama wana wauzia akina nani?

Na wale mabwana wakubwa watauzia zao wapi?

Umetumwa unataka midege angani.. 🤪

Uwe na mchana mwema
Lazima zifanyike mbinu nyingi za kupata fedha kama nchi na sio lazima zizalishwe nyingi bali za kiwango cha kawaida
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Nadhani tungeelewa maudhui nzima ya kusema hivyo...Namna ya kuzitekeleza zinaweza kuwa nyingi lakini the key thing hapo ni kuwa wapewe power and semi autonomy kwakuzingatia pia incentives zao
Egypt waliwapa jeshi nguvu za kufanya mpaka tender za kawaida matokeo yake iliua ushindani na inakua ni ngumu sana kuondoa hiyo hali sababu jeshi linakuwa linashinda tender hata kama halina vigezo na wanafanya chini ya kiwango na hamna cha kuwafanya
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom