Natofautiana na Gwajima: Jeshi wasipewe zabuni za ujenzi bali wawezeshwe wawe wanazalisha silaha na kuziuza

Jeshi halitakiwi kùwa sehemu ya uchumi mfano umeipa kampuni ya jeshi tenda ya barabara swali unaweza iwajibisha jibu ni hapana

Changamoto kubwa wanayopitia egypt ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi, ndo maana morsi mtawala wa kiraia alivyoingia na kutishia maslai ya jeshi aliondolewa kibabe

Hata Nigeria moja ya sababu kuwa coup d'état nyingi miaka ya 1960's mpaka early 1990's ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi na matokeo yake watakuwa na nguvu kwenye siasa

Mtu akiwa na stake kubwa kwenye uchumi automatic atataka nguvu kwenye siasa hasa akiingia mwanasiasa anayehatarisha maslai yake

Jeshi liwezeshwe kutengeneza silaha na kuziuza na sio kupewa tenda za ujenzi na nyinginezo hizio waachiwe makampuni ya kawaida mfano jeshi wanametengeneza barabara chini ya kiwango kuwawajibisha inakua ni ngumu na italeta conflict of interest

The global military equipment market is substantial and growing, with a market size valued at USD 563.71 billion in 2025 and projected to reach USD 795.54 billion by 2033

Jeshi letu linaweza kuwa sehemu ya market size ya usd 563.71 billion ya vifaa vya kijeshi duniani

Nikiwa Rais jeshi letu litakuwa linazalisha vifaa vifuatavyo na kuuza na kupata fedha
  1. Drone
  2. Fighter jet
  3. Armoured vehicle
  4. Transport aircraft
  5. Helicopters
  6. Missiles
  7. HIMARS
  8. Battle rifles
  9. Assault rifles
  10. Sniper rifles
  11. Hunting rifles
  12. AR-15 style rifles
Chawa kama chawa. Anyway kila mmoja ana uhuru wa kutoa maoni yake hata kama ni maoni ya kijinga au kichawa
 
Eti utengeneze drones na kuziuza 😂😂😂😂😂
 
👍

Kuna hoja ya kuahirisha uchaguzi - sidhani kama katiba inaweza kuprovide for this - kuunda Bunge la katiba - Hili pia sio jambo rahisi (Fr. Kitima aliliongelea vyema) Mchakato huu ni mrefu na usiohitajika kufanyika nyakati ambazo watu wanfikiri tumekwama kwa sababu ya uchaguzi pekee. Kuna hatari ukifanya sasa katiba yote ikajikita zaidi kwenye mambo ya uchaguzi pekeee (too risky) na inahitajika ku manage sana expectations kutengeneza katiba bora. maoni yangu ni kuwa mchakato wa uandishi wa katiba mpya usiwe wenye malengo makubwa ya kiuchaguzi Mkuu, Tutakwama!!!!!!

Hii ndio risk niliyoingelea hapo juu (katiba haiongelei Uchaguzi pekee) ukiandika katiba sasa kwenye kipindi hiki - hoja kubwa itakuwa uchaguzi - lazima expectations ziwe managed sana ili tuwe na katiba bora inayozingatia mambo yote ya msingi ya uendeshaji wa nchi yetu - kimsingi hakuna haraka kwanini ufanye mabadiliko in 3 weeks? tunawahi nini wakati we have this country for hundred of years to come??? unakumbuka namna mchakato wa katiba ya Warioba ulivyokwama??? moja ya hoja kuu iliyokwamisha ni suala la Muungano. (hata haikuwa issue ya Uchaguzi au tume huru) maana yake hata CCM hawana shida na hayo mambo ya Tume sana.

katiba ikiandikwa leo - lengo kubwa kitakuwa ni kushinda uchaguzi - tunawakosea sana wananchi. tunadhani everything about this country is politics.
Mkwamo wa katiba ya Warioba uliuona kwa kwa serikali tatu lakini Amin Amin nakuambia...it was all about election, powe and authority. Warioba aliondoa madaraka mengi kupitia election. Ipitie tena.
 
Basi, jeshi la kujenga taifa (jkt) Lina kampuni yake inaitwa shirika la uzalishaji Mali jkt (Suma jkt) hili shirika hua Lina shirikiana na mashirika mengine kama NBA katika kutekeleza miradi mbali mbali. Pia Ina kampuni ndogo ndogo nying saa zinazo fanya vzr ni vile tu watu wengii hawajabahatika kufanya nao kazi. Issue ni kwamba jeshi ukiwapa uhuru jeuri walio nayo kwa sasa inaweza kuongezeka mara Tatu zaidi.
Ila kuwa serious kidogo mkuu,kama unamaanisha jkt ile ya Kurasini basi hujui kinachoendelea humo
 
Jeshi halitakiwi kùwa sehemu ya uchumi mfano umeipa kampuni ya jeshi tenda ya barabara swali unaweza iwajibisha jibu ni hapana

Changamoto kubwa wanayopitia egypt ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi, ndo maana morsi mtawala wa kiraia alivyoingia na kutishia maslai ya jeshi aliondolewa kibabe

Hata Nigeria moja ya sababu kuwa coup d'état nyingi miaka ya 1960's mpaka early 1990's ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi na matokeo yake watakuwa na nguvu kwenye siasa

Mtu akiwa na stake kubwa kwenye uchumi automatic atataka nguvu kwenye siasa hasa akiingia mwanasiasa anayehatarisha maslai yake

Jeshi liwezeshwe kutengeneza silaha na kuziuza na sio kupewa tenda za ujenzi na nyinginezo hizio waachiwe makampuni ya kawaida mfano jeshi wanametengeneza barabara chini ya kiwango kuwawajibisha inakua ni ngumu na italeta conflict of interest

The global military equipment market is substantial and growing, with a market size valued at USD 563.71 billion in 2025 and projected to reach USD 795.54 billion by 2033

Jeshi letu linaweza kuwa sehemu ya market size ya usd 563.71 billion ya vifaa vya kijeshi duniani

Nikiwa Rais jeshi letu litakuwa linazalisha vifaa vifuatavyo na kuuza na kupata fedha
  1. Drone
  2. Fighter jet
  3. Armoured vehicle
  4. Transport aircraft
  5. Helicopters
  6. Missiles
  7. HIMARS
  8. Battle rifles
  9. Assault rifles
  10. Sniper rifles
  11. Hunting rifles
  12. AR-15 style rifles
Gwajima alitoa mfano tu.
 
Back
Top Bottom