Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #61
Wakawa mpaka wanamiliki migodi ya dhahabu, burhan akawaambia wawe sehemu ya jeshi matokeo yake nchi inawaka motoKama nakuelewa hivi🤔.....

Akili hunaJeshi liwezeshwe kutengeneza silaha na kuziuza na sio kupewa tenda za ujenzi na nyinginezo hizio waachiwe makampuni ya kawaida mfano jeshi wanametengeneza barabara chini ya kiwango kuwawajibisha inakua ni ngumu na italeta conflict of interest
The global military equipment market is substantial and growing, with a market size valued at USD 563.71 billion in 2025 and projected to reach USD 795.54 billion by 2033
Jeshi letu linaweza kuwa sehemu ya market size ya usd 563.71 billion ya vifaa vya kijeshi duniani
Nikiwa Rais jeshi letu litakuwa linazalisha vifaa vifuatavyo na kuuza na kupata fedha
- Drone
- Fighter jet
- Armoured vehicle
- Transport aircraft
- Helicopters
- Missiles
- HIMARS
- Battle rifles
- Assault rifles
- Sniper rifles
- Hunting rifles
- AR-15 style rifles
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaAkili huna
Hujatofautiana na Gwajima ila umeunga mkono mawazo yake. Yeye lengo lake ni kuwawezesha jeshi, kama ni kutengeneza hizo silaha wakauza wakapata hela ndio kuwasaidia huko.Tenda za barabara ametoa kama mfano wa uwezeshaji huo.Jeshi halitakiwi kĂąwa sehemu ya uchumi mfano umeipa kampuni ya jeshi tenda ya barabara swali unaweza iwajibisha jibu ni hapana
Changamoto kubwa wanayopitia egypt ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi, ndo maana morsi mtawala wa kiraia alivyoingia na kutishia maslai ya jeshi aliondolewa kibabe
Hata Nigeria moja ya sababu kuwa coup d'état nyingi miaka ya 1960's mpaka early 1990's ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi na matokeo yake watakuwa na nguvu kwenye siasa
Mtu akiwa na stake kubwa kwenye uchumi automatic atataka nguvu kwenye siasa hasa akiingia mwanasiasa anayehatarisha maslai yake
Jeshi liwezeshwe kutengeneza silaha na kuziuza na sio kupewa tenda za ujenzi na nyinginezo hizio waachiwe makampuni ya kawaida mfano jeshi wanametengeneza barabara chini ya kiwango kuwawajibisha inakua ni ngumu na italeta conflict of interest
The global military equipment market is substantial and growing, with a market size valued at USD 563.71 billion in 2025 and projected to reach USD 795.54 billion by 2033
Jeshi letu linaweza kuwa sehemu ya market size ya usd 563.71 billion ya vifaa vya kijeshi duniani
Nikiwa Rais jeshi letu litakuwa linazalisha vifaa vifuatavyo na kuuza na kupata fedha
- Drone
- Fighter jet
- Armoured vehicle
- Transport aircraft
- Helicopters
- Missiles
- HIMARS
- Battle rifles
- Assault rifles
- Sniper rifles
- Hunting rifles
- AR-15 style rifles
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Kuna point gwajima alitaka kuongelea ila amezunguka sana, ukisoma body language kuna Jambo alitaka kuliongelea ila ameshindwa hatujui ni lipiGwajima mnafiki halafu anachokiongea hakina mantiki. Anajikoroga mwenyewe anasifia jeshi huku anampopoa.mwenyekiti.
Huo uwezo haupo, labda mlete watu wa kufanya hiyo kaziTunaweza vizurti tu nikiwa Rais missile zitakuwa zinatengenezwa Tanzania vizuri tu
Msiliingilie jeshi kwa porojo zenu, jeshi lenyewe linajua majukumu yake na libaki katika majukumu hayo.Jeshi halitakiwi kĂąwa sehemu ya uchumi mfano umeipa kampuni ya jeshi tenda ya barabara swali unaweza iwajibisha jibu ni hapana
Changamoto kubwa wanayopitia egypt ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi, ndo maana morsi mtawala wa kiraia alivyoingia na kutishia maslai ya jeshi aliondolewa kibabe
Hata Nigeria moja ya sababu kuwa coup d'état nyingi miaka ya 1960's mpaka early 1990's ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi na matokeo yake watakuwa na nguvu kwenye siasa
Mtu akiwa na stake kubwa kwenye uchumi automatic atataka nguvu kwenye siasa hasa akiingia mwanasiasa anayehatarisha maslai yake
Jeshi liwezeshwe kutengeneza silaha na kuziuza na sio kupewa tenda za ujenzi na nyinginezo hizio waachiwe makampuni ya kawaida mfano jeshi wanametengeneza barabara chini ya kiwango kuwawajibisha inakua ni ngumu na italeta conflict of interest
The global military equipment market is substantial and growing, with a market size valued at USD 563.71 billion in 2025 and projected to reach USD 795.54 billion by 2033
Jeshi letu linaweza kuwa sehemu ya market size ya usd 563.71 billion ya vifaa vya kijeshi duniani
Nikiwa Rais jeshi letu litakuwa linazalisha vifaa vifuatavyo na kuuza na kupata fedha
- Drone
- Fighter jet
- Armoured vehicle
- Transport aircraft
- Helicopters
- Missiles
- HIMARS
- Battle rifles
- Assault rifles
- Sniper rifles
- Hunting rifles
- AR-15 style rifles
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Wewe porojo zako ambazo hakuna hata mmoja aliyeziongelea nani amesema jeshi halitimizi majukumu yakeMsiliinhilie jeshi kwa,porojo zenu, jeshi lenyewe linajua majukumu yake na libaki katika majukumu hayo.
Mtu anaweza kuona hii amani akadhani hakuna kitu jeshi linafanya kumbe hii amani ni matokeo ya kazi ambazo jeshi linazifanya kila siku.
Jeshi kwa mfano kila wiki wana ratiba za mazoezi vikosi vyote, kuna mafanzo mbalimbali yanaendelea kwa kupishana continuously halafu mnakuja na comment za kuwafundisha nini cha kufanya.
Gwajima kuhusu majukumu ya,jeshi yuko ignorant.
Mkuu,Uwe unaelewa context usifanye direct translation....Kutokana na experience tuliyopitia bila kuvunja Katiba na kama Kuna dhamira njema Kwa nchi pasipo ubinafsi, that would have saved our country kutoka challenge hii tunayopitia Kwa sasa...Lakini Kwa faida za watu binafsi this could sound awkward
Kimsingi sio tuko ignorant Mkuu - the only option waliyonayo sasa ni kujaribu kulileta jeshi kwenye vita ya kihisia ili kujenga disobedience ya Jeshi kwa Amiri Jeshi Mkuu.Msiliingilie jeshi kwa porojo zenu, jeshi lenyewe linajua majukumu yake na libaki katika majukumu hayo.
Mtu anaweza kuona hii amani akadhani hakuna kitu jeshi linafanya kumbe hii amani ni matokeo ya kazi ambazo jeshi linazifanya kila siku.
Jeshi kwa mfano kila wiki wana ratiba za mazoezi vikosi vyote, kuna mafanzo mbalimbali yanaendelea kwa kupishana continuously halafu mnakuja na comment za kuwafundisha nini cha kufanya.
Gwajima kuhusu majukumu ya,jeshi yuko ignorant.
Ukishaenda kwenye defence hatuwezi kusikilizana...Nani kasema hapa tunajadili mtu bila contextMkuu,
Unless kama kuna hoja nyingine - lakini kwa context na ndani ya mipaka ya katiba yetu, SSH aliingia madarakani na akatumikia zaidi ya 2/3 term (na ikawa ni term ya kwanza) na kwa maana hiyo hii ni term ijayo itakuwa term ya pili na ya mwisho (kama chama kirakubaki na baadaye kuchaguliwa) kwa vyovyote vile awamu ilibadilika na kwa vyovyote vile kwa kuwa ni term yake ya kwanza na kwa utaratibu waliojiwekea wao wenyewe (un written laws), kwenye awamu ya pili form huwa ni moja....
Changamoto ni kuwa the inner circle hawakumkubali, hawajamkubali na hawatamkubali. Kosa alilofanbya ni kuishi nao kinafiki toka day 1 - nadhani alitakiwa awe bold enough since day 1.... sasa wanaonesha makucha kwa kuwa things are not easy on them. Ukiniuliza makosa makubwa ya SSH so far ni yapi kutofautisha na awamu zilizopita hata huwezi kuyataja... kimsingi kama ni kuuza Raslimali (in the name of privatization) hatujaanza leo, kama ni misaada na mikopo hatujaanza leo, kama ni vitendo vyenye hisia za utekaji havijaanza leo, kama mi katiba ni mbovu ni ile ile toka 1977 and so on, kama ni kubadili wakuu wa vyombo imekuwa ikifanyika tu vile vile nk nk. Ukiniambia CCM kwa ujumla wake ndiyo yenye matatizo nitakuelewa (lakini kum single out Rais Samia peke yake italeta definition tu ya kuwa kuna mgongano wa maslahi - kundi hilo limebinywa na linajaribu kufanya comeback at the expenses ya SSH.)
Mkuu, hii sio defence ni fact.Ukishaenda kwenye defence hatuwezi kusikilizana...Nani kasema hapa tunajafili mtu bila context
Nimesema ingetakiwa ikubalike kuwa this is a transitional government kwakua mhusika amepata kiti pasipo kukusudia Bali Kwa accident kwakua Kuna aliyepoteza maisha, experience ya kwanza ambayo pia ingetoa opportunity ya ku rectify mambo mengi ambayo yalikuwa pending kabla ya chaguzi zinazofuata
Wapewe ,wapo na vitengo vingi tu, summa jkt inaweza jikita huko ,vitengo vingine vikajikita kwenye maeneo mengine, wizi wa fedha za umma utapungua.Jeshi halitakiwi kĂąwa sehemu ya uchumi mfano umeipa kampuni ya jeshi tenda ya barabara swali unaweza iwajibisha jibu ni hapana
Changamoto kubwa wanayopitia egypt ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi, ndo maana morsi mtawala wa kiraia alivyoingia na kutishia maslai ya jeshi aliondolewa kibabe
Hata Nigeria moja ya sababu kuwa coup d'état nyingi miaka ya 1960's mpaka early 1990's ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi na matokeo yake watakuwa na nguvu kwenye siasa
Mtu akiwa na stake kubwa kwenye uchumi automatic atataka nguvu kwenye siasa hasa akiingia mwanasiasa anayehatarisha maslai yake
Jeshi liwezeshwe kutengeneza silaha na kuziuza na sio kupewa tenda za ujenzi na nyinginezo hizio waachiwe makampuni ya kawaida mfano jeshi wanametengeneza barabara chini ya kiwango kuwawajibisha inakua ni ngumu na italeta conflict of interest
The global military equipment market is substantial and growing, with a market size valued at USD 563.71 billion in 2025 and projected to reach USD 795.54 billion by 2033
Jeshi letu linaweza kuwa sehemu ya market size ya usd 563.71 billion ya vifaa vya kijeshi duniani
Nikiwa Rais jeshi letu litakuwa linazalisha vifaa vifuatavyo na kuuza na kupata fedha
- Drone
- Fighter jet
- Armoured vehicle
- Transport aircraft
- Helicopters
- Missiles
- HIMARS
- Battle rifles
- Assault rifles
- Sniper rifles
- Hunting rifles
- AR-15 style rifles
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Big up sana bro.... logic yako mtu akiitizama for 10 yrs n kama haina nguvu kabisa, ila ukiitizama for 25+ yrs inanguvu na n serious sana!!Wakawa mpaka wanamiliki migodi ya dhahabu, burhan akawaambia wawe sehemu ya jeshi matokeo yake nchi inawaka moto
Toothpick mnaagiza toka China, umesahau?Kuna sehemu nimesema vinatengenezwa kwa udongo ebu nionyeshe