Natofautiana na Gwajima: Jeshi wasipewe zabuni za ujenzi bali wawezeshwe wawe wanazalisha silaha na kuziuza

Natofautiana na Gwajima: Jeshi wasipewe zabuni za ujenzi bali wawezeshwe wawe wanazalisha silaha na kuziuza

Bila kuathiri hoja yake kuu ya utekaji; kimsingi conclusions nyingi za Askofu Gwajima ukiisikiliza bila mihemko (in the sprit ya kujenga nchi kama anavyosema yeye) zina kasoro nyingi... nadhani kuna shida kwenye namna anavyodraw conclusion zake kwenye 'tatizo' lililopo. Mfano:

1. jeshi kupewa tenda zote za ujenzi - Hii umeispot (kimsingi ni hoja inayoua sekta binafsi), inaua ushindani wa tenda na inafanya jeshi lijikite kwenye kazi ambayo sio msingi wa kazi yao.
2. kuhusu uteuzi wa Wakuu wa Vyombo kufanywa na Rais na utenguzi kufanywa na chombo kingine (bunge) - Hoja sahihi at the wrong time (hii ni hoja inayohitaji mabadiliko ya Katiba) - so far Bunge limevunjwa (uhai wake unaisha soon), Baraza la Mawaziri limefanya kikao chake cha mwisho- Ni kwa namna gani major reforms za namna hii zitafanyika kwenye kipindi hiki? - Not practical - (na kimsingi sio tu kipindi cha utenguzi hata kipindi cha kuteua - majina yapelekwe bungeni)
3. Hoja ya Minimum reforms - hii nayo ni hoja yenye ugumu kwa wakati huu (kama nilivyosema awali - Cabinet imefanya kikao cha mwisho, bado siku kama 18 tu uhai wa bunge ukome - kwa vyovyote vile ili serikali ipeleleke mswaada Bungeni ni lazima upelekwe na Waziri mwenye dhamana na ili apeleke ni lazima Cabinet iujadili na kupitisha - sasa itawezekanaje wakati cabinet haiwezi kufanya tena kikao? kimsingi this is also not practical

Ninaona anajaribu, kuchochea hisia za Jeshi - kuhusu wao kuwa wazalendo namba moja nk nk (kwa vyovyote vile - huwezi kumtenganisha Rais na Jeshi hata kama Rais ana cheo cha CiC kisiasa lakini bado ni sehemu yao for a reason na kwa mujibu wa katiba) - hii ni hoja ya kutapatapa: kwa namna yeyote Jeshi letu kwa namna lilivyo na lilivyoasisiwa na namna linavyofanya kazi (with complex system) ni ngumu kufikiri linaweza kufikiri kuwa wao ni wazalendo kuliko Rais.

Hoja kuhusu utekaji ni ya msingi na serikali inapaswa kutoa majibu, hoja kuhusu ikiwa ushauri alioutoa ndiyo umepelekea kufunga kanisa nayo ni ya msingi sana. Je kulikuwa na ulazima gani wa kufungia kanisa? nadhani ndiyo hoja zinazopaswa kujibiwa. na pengine ajikite hapo zaidi. hizo suggestions alizotoa ni ngumu kuwezekana na unajiuliza kwa nini anazitoa sasa huku akijua haiwezekani.
Huyu huyu alitamka kua JPM ndiye mzalendo namba moja nchini..sasa unaweza kumjua tapeli wa kisiasa
 
Huyu huyu alitamka kua JPM ndiye mzalendo namba moja nchini..sasa unaweza kumjua tapeli wa kisiasa
Sahihi kabisa Mkuu; Askofu alianza vita ngumu sana. kanisa katoliki linajua kung'ata na kupuliza - kuna namna amejikuta anaanza kuogelea
 
Jeshi liwezeshwe kutengeneza silaha na kuziuza na sio kupewa tenda za ujenzi na nyinginezo hizio waachiwe makampuni ya kawaida mfano jeshi wanametengeneza barabara chini ya kiwango kuwawajibisha inakua ni ngumu na italeta conflict of interest

The global military equipment market is substantial and growing, with a market size valued at USD 563.71 billion in 2025 and projected to reach USD 795.54 billion by 2033

Jeshi letu linaweza kuwa sehemu ya market size ya usd 563.71 billion ya vifaa vya kijeshi duniani

Nikiwa Rais jeshi letu litakuwa linazalisha vifaa vifuatavyo na kuuza na kupata fedha
  1. Drone
  2. Fighter jet
  3. Armoured vehicle
  4. Transport aircraft
  5. Helicopters
  6. Missiles
  7. HIMARS
  8. Battle rifles
  9. Assault rifles
  10. Sniper rifles
  11. Hunting rifles
  12. AR-15 style rifles
Hili jeshi la machawa? Si kwa ubaya lkn labda wazalishe magobore.
 
Huo ni mfano tu, umewahi kusikia shirika la reli la china? Ukiendaa pale makumbusho Yale majengo ya Victoria na mwaga tower ndio wamehuska. Mfano ikatokea jeshi likawa na kampuni zake sio lazima itengene bidha zinzohusu mambo ya kijeshi.
 
Sisi na china hatuko sawa kwenye structure ya uchumi fahamu hilo kwanza
 
Hii nayo ni habari?
Watengeneze silaha za kumpiga Nani?

Wakachimbe mitaro kutengeneza barabara etc tuache kuwapa tenda wezi.
 
Jeshi liwezeshwe kutengeneza silaha na kuziuza na sio kupewa tenda za ujenzi na nyinginezo hizio waachiwe makampuni ya kawaida mfano jeshi wanametengeneza barabara chini ya kiwango kuwawajibisha inakua ni ngumu na italeta conflict of interest

The global military equipment market is substantial and growing, with a market size valued at USD 563.71 billion in 2025 and projected to reach USD 795.54 billion by 2033

Jeshi letu linaweza kuwa sehemu ya market size ya usd 563.71 billion ya vifaa vya kijeshi duniani

Nikiwa Rais jeshi letu litakuwa linazalisha vifaa vifuatavyo na kuuza na kupata fedha
  1. Drone
  2. Fighter jet
  3. Armoured vehicle
  4. Transport aircraft
  5. Helicopters
  6. Missiles
  7. HIMARS
  8. Battle rifles
  9. Assault rifles
  10. Sniper rifles
  11. Hunting rifles
  12. AR-15 style rifles
Nadhani umekosea na hujafanya research vizuri, hizo silaha zinazalishwa na private industry, jeshi kama jeshi halizalishi

Wao wanatoa contract wanataka nini then industries zinatengeneza, wengine wakipenda wanawez nunua pia from industry

Zinaitwa defence industries, jeshi la marekani pamoja na umahiri wake hawatengenezi ndege wala bunduki, kazi hizo zinafanywa na makampuni private
 
Kwani ni lazima ufanye kama wao wanavyofanya
kila siku nakuambia akili zako zimeshikwa na wazungu
 
Kwani ni lazima ufanye kama wao wanavyofanya
kila siku nakuambia akili zako zimeshikwa na wazungu
Hahaha tatizo lako hutaki kujifunza from the best ambao walishavuka huko na wako levels above
Tatizo lako husomi historia ya majeshi yaliyoendelea ambayo yako kwenye hiyo game miaka mingi

From WWII mpaka leo, yawe majeshi ya mchina , russia au western armies, silaha na ndege vita zote walikwua hawatengenezi wao, sana sana walichokuwa wanafanya

Ni kupeleka specification ya wanachokitaka, kwa mkataba maalumu na defence industries

Jeshi haliwez kufanya everything, is why defence industries zipo. Tz wana viwanda aina hiyo?
 
Lazima zifanyike mbinu nyingi za kupata fedha kama nchi na sio lazima zizalishwe nyingi bali za kiwango cha kawaida
Ume maanisha nini hapa bwana Dennis?, swala la uzalishaji wa silaha haliwezekani na huenda hakuna nchi inayo zalisha wao pekee yao kwa hapa Africa sababu ya hoja niliosema hapo juu, kwa namna hiyo ulilosema haliwezekani, ni wishes za kila mwananchi ila duniani kila jambo lina ukomo wake (limit)
 
Hahaha tatizo lako hutaki kujifunza from the best ambao walishavuka huko na wako levels above
Tatizo lako husomi historia ya majeshi yaliyoendelea ambayo yako kwenye hiyo game miaka mingi

From WWII mpaka leo, yawe majeshi ya mchina , russia au western armies, silaha na ndege vita zote walikwua hawatengenezi wao, sana sana walichokuwa wanafanya

Ni kupeleka specification ya wanachokitaka, kwa mkataba maalumu na defence industries

Jeshi haliwez kufanya everything, is why defence industries zipo. Tz wana viwanda aina hiyo?
Najua marekani wanawatumia makampuni kama lookhead Martin kuzalisha silha zao ila fahamu nchi kama iran jeshi lao wanazalisha baadhi ya silaha, same kwa jeshi la ethiopia na Rwanda
 
Ume maanisha nini hapa bwana Dennis?, swala la uzalishaji wa silaha haliwezekani na huenda hakuna nchi inayo zalisha wao pekee yao kwa hapa Africa sababu ya hoja niliosema hapo juu, kwa namna hiyo ulilosema haliwezekani, ni wishes za kila mwananchi ila duniani kila jambo lina ukomo wake (limit)
Sisi ndo tunawakiwa kuwa wakwanza kama hakuna anayezalisha
 
Mkuu kwa teknology ipi ya kutengeneza silaha?
Hii hii ya kutengeneza magobole?
 
Linapewa capacity building sio jambo la siku moja ila in long run litaweza
Basi, jeshi la kujenga taifa (jkt) Lina kampuni yake inaitwa shirika la uzalishaji Mali jkt (Suma jkt) hili shirika hua Lina shirikiana na mashirika mengine kama NBA katika kutekeleza miradi mbali mbali. Pia Ina kampuni ndogo ndogo nying saa zinazo fanya vzr ni vile tu watu wengii hawajabahatika kufanya nao kazi. Issue ni kwamba jeshi ukiwapa uhuru jeuri walio nayo kwa sasa inaweza kuongezeka mara Tatu zaidi.
 
Basi, jeshi la kujenga taifa (jkt) Lina kampuni yake inaitwa shirika la uzalishaji Mali jkt (Suma jkt) hili shirika hua Lina shirikiana na mashirika mengine kama NBA katika kutekeleza miradi mbali mbali. Pia Ina kampuni ndogo ndogo nying saa zinazo fanya vzr ni vile tu watu wengii hawajabahatika kufanya nao kazi. Issue ni kwamba jeshi ukiwapa uhuru jeuri waio nao kwa sasa inaweza kuongezeka mara Tatu zaidi.
Jeshi hawatakiwi kuwa na nguvu kwenye uchumi wataua ushindani ndo kitu ambacho watu wengi hawakioni ni hatari sana

Mfano wakijenga mradi chini ya kiwango ukiwaambia ni kosa ni basi tu watu hawaoni
 
Najua marekani wanawatumia makampuni kama lookhead Martin kuzalisha silha zao ila fahamu nchi kama iran jeshi lao wanazalisha baadhi ya silaha, same kwa jeshi la ethiopia na Rwanda
I dont think iran ni mfano mzuri, hatufanani hata kidogo na wao. Rwanda REMCO inamilikiwa na serikali lakin si sehem ya jeshi la rwanda

ReMCO wanashirikiana na private industries kutengeneza silaha mfano ( IWI) israel weapon industries

Ethiopia kwao wanayo DIS kikiwa chini ya wizara ya ulinzi, lakin si sehem ya jeshi

Mbali na hapo kuna private companies kama Homicho Amunition Engineering
Gafat
Skywin aeronautica. Kwa ajili ya drones
Vyote hivyo si sehem ya jeshi

Umuhimu wa kuwa na defence industries ni mkubwa zaidi kuliko jeshi kufanya hiyo kazi
 
Back
Top Bottom