Natofautiana na Gwajima: Jeshi wasipewe zabuni za ujenzi bali wawezeshwe wawe wanazalisha silaha na kuziuza

Kichaa gani atakuja kununua Silaha za TZ?? Jeshi lenyewe tu linamtegemea Lugumi
 
Bila kuathiri hoja yake kuu ya utekaji; kimsingi conclusions nyingi za Askofu Gwajima ukiisikiliza bila mihemko (in the sprit ya kujenga nchi kama anavyosema yeye) zina kasoro nyingi... nadhani kuna shida kwenye namna anavyodraw conclusion zake kwenye 'tatizo' lililopo. Mfano:

1. jeshi kupewa tenda zote za ujenzi - Hii umeispot (kimsingi ni hoja inayoua sekta binafsi), inaua ushindani wa tenda na inafanya jeshi lijikite kwenye kazi ambayo sio msingi wa kazi yao.
2. kuhusu uteuzi wa Wakuu wa Vyombo kufanywa na Rais na utenguzi kufanywa na chombo kingine (bunge) - Hoja sahihi at the wrong time (hii ni hoja inayohitaji mabadiliko ya Katiba) - so far Bunge limevunjwa (uhai wake unaisha soon), Baraza la Mawaziri limefanya kikao chake cha mwisho- Ni kwa namna gani major reforms za namna hii zitafanyika kwenye kipindi hiki? - Not practical - (na kimsingi sio tu kipindi cha utenguzi hata kipindi cha kuteua - majina yapelekwe bungeni)
3. Hoja ya Minimum reforms - hii nayo ni hoja yenye ugumu kwa wakati huu (kama nilivyosema awali - Cabinet imefanya kikao cha mwisho, bado siku kama 18 tu uhai wa bunge ukome - kwa vyovyote vile ili serikali ipeleleke mswaada Bungeni ni lazima upelekwe na Waziri mwenye dhamana na ili apeleke ni lazima Cabinet iujadili na kupitisha - sasa itawezekanaje wakati cabinet haiwezi kufanya tena kikao? kimsingi this is also not practical

Ninaona anajaribu, kuchochea hisia za Jeshi - kuhusu wao kuwa wazalendo namba moja nk nk (kwa vyovyote vile - huwezi kumtenganisha Rais na Jeshi hata kama Rais ana cheo cha CiC kisiasa lakini bado ni sehemu yao for a reason na kwa mujibu wa katiba) - hii ni hoja ya kutapatapa: kwa namna yeyote Jeshi letu kwa namna lilivyo na lilivyoasisiwa na namna linavyofanya kazi (with complex system) ni ngumu kufikiri linaweza kufikiri kuwa wao ni wazalendo kuliko Rais.

Hoja kuhusu utekaji ni ya msingi na serikali inapaswa kutoa majibu, hoja kuhusu ikiwa ushauri alioutoa ndiyo umepelekea kufunga kanisa nayo ni ya msingi sana. Je kulikuwa na ulazima gani wa kufungia kanisa? nadhani ndiyo hoja zinazopaswa kujibiwa. na pengine ajikite hapo zaidi. hizo suggestions alizotoa ni ngumu kuwezekana na unajiuliza kwa nini anazitoa sasa huku akijua haiwezekani.
Nakuunga mkono lakini kwani mfano tusipofanya Uchaguzi huu wa kiini macho Kisha likaundwa bunge la katiba hatuwezi tukawa na katiba ya maana ? Na nataka nikuambie tu hata hiyo serikali unajua kabisa wapi panashida na Chadema wanadai Mabadiliko wapi na ni rahisi mno kuyafayanya hata hayachukui wiki 3 alizozitolea mfano Gwajima zinaweza zikachukua siku 3 na zikatengenezwa tatizo ni Tukizibadilisha Tutashinda?? Hatutashinda na sisi tunataka Tushinde hiyo ndiyo shida...Madaraka,madaraka madaraka.
 
Ukitaka kumuelewa Gwajima sikiliza product ya mwisho anayokusudia... acha kumzuia kwenye process za katikati!!

Lengo n vyombo vya Dola vijitegemee ili kusimamia uzalendo, hvyo swala lianze kwenye maslah ya vyombo hvyo!!
Kutokana na nchi yetu n masikini akapendekeza nini kifanyike... lakini kama Kuna plan nyingine it's oky sio lazima jeshi lipewe ukandaras

Ila lengo libaki palepale pesa zipatikane za kuboresha maisha ya vyombo vya Dola kwanza ili upatikane uzalendo wa hakika kuzaa steps nyingine za maendeleo
 
Nakuunga mkono
👍
lakini kwani mfano tusipofanya Uchaguzi huu wa kiini macho Kisha likaundwa bunge la katiba hatuwezi tukawa na katiba ya maana ?
Kuna hoja ya kuahirisha uchaguzi - sidhani kama katiba inaweza kuprovide for this - kuunda Bunge la katiba - Hili pia sio jambo rahisi (Fr. Kitima aliliongelea vyema) Mchakato huu ni mrefu na usiohitajika kufanyika nyakati ambazo watu wanfikiri tumekwama kwa sababu ya uchaguzi pekee. Kuna hatari ukifanya sasa katiba yote ikajikita zaidi kwenye mambo ya uchaguzi pekeee (too risky) na inahitajika ku manage sana expectations kutengeneza katiba bora. maoni yangu ni kuwa mchakato wa uandishi wa katiba mpya usiwe wenye malengo makubwa ya kiuchaguzi Mkuu, Tutakwama!!!!!!
Na nataka nikuambie tu hata hiyo serikali unajua kabisa wapi panashida na Chadema wanadai Mabadiliko wapi na ni rahisi mno kuyafayanya hata hayachukui wiki 3
Hii ndio risk niliyoingelea hapo juu (katiba haiongelei Uchaguzi pekee) ukiandika katiba sasa kwenye kipindi hiki - hoja kubwa itakuwa uchaguzi - lazima expectations ziwe managed sana ili tuwe na katiba bora inayozingatia mambo yote ya msingi ya uendeshaji wa nchi yetu - kimsingi hakuna haraka kwanini ufanye mabadiliko in 3 weeks? tunawahi nini wakati we have this country for hundred of years to come??? unakumbuka namna mchakato wa katiba ya Warioba ulivyokwama??? moja ya hoja kuu iliyokwamisha ni suala la Muungano. (hata haikuwa issue ya Uchaguzi au tume huru) maana yake hata CCM hawana shida na hayo mambo ya Tume sana.
alizozitolea mfano Gwajima zinaweza zikachukua siku 3 na zikatengenezwa tatizo ni Tukizibadilisha Tutashinda?? Hatutashinda na sisi tunataka Tushinde hiyo ndiyo shida...Madaraka,madaraka madaraka.
katiba ikiandikwa leo - lengo kubwa kitakuwa ni kushinda uchaguzi - tunawakosea sana wananchi. tunadhani everything about this country is politics.
 
Egypt waliwapa jeshi nguvu za kufanya mpaka tender za kawaida matokeo yake iliua ushindani na inakua ni ngumu sana kuondoa hiyo hali sababu jeshi linakuwa linashinda tender hata kama halina vigezo na wanafanya chini ya kiwango na hamna cha kuwafanya
Ndiyo nasema namna inatakiwa iwe tofauti lakini maslahi Yao lazima wapewe...Kwa sasa ni kama wanafanyiwa divide and rule Kwa faida ya wachache...Tena ambao sometimes wanahujumu nchi bila haya wala kuogopa
 
Ukitaka kumuelewa Gwajima sikiliza product ya mwisho anayokusudia... acha kumzuia kwenye process za katikati!!

Lengo n vyombo vya Dola vijitegemee ili kusimamia uzalendo, hvyo swala lianze kwenye maslah ya vyombo hvyo!!
Kutokana na nchi yetu n masikini akapendekeza nini kifanyike... lakini kama Kuna plan nyingine it's oky sio lazima jeshi lipewe ukandaras

Ila lengo libaki palepale pesa zipatikane za kuboresha maisha ya vyombo vya Dola kwanza ili upatikane uzalendo wa hakika kuzaa steps nyingine za maendeleo
Dunia nzima hakuna dhana ya vyombo vya dola kujitegemea
 
👍

Kuna hoja ya kuahirisha uchaguzi - sidhani kama katiba inaweza kuprovide for this - kuunda Bunge la katiba - Hili pia sio jambo rahisi (Fr. Kitima aliliongelea vyema) Mchakato huu ni mrefu na usiohitajika kufanyika nyakati ambazo watu wanfikiri tumekwama kwa sababu ya uchaguzi pekee. Kuna hatari ukifanya sasa katiba yote ikajikita zaidi kwenye mambo ya uchaguzi pekeee (too risky) na inahitajika ku manage sana expectations kutengeneza katiba bora. maoni yangu ni kuwa mchakato wa uandishi wa katiba mpya usiwe wenye malengo makubwa ya kiuchaguzi Mkuu, Tutakwama!!!!!!

Hii ndio risk niliyoingelea hapo juu (katiba haiongelei Uchaguzi pekee) ukiandika katiba sasa kwenye kipindi hiki - hoja kubwa itakuwa uchaguzi - lazima expectations ziwe managed sana ili tuwe na katiba bora inayozingatia mambo yote ya msingi ya uendeshaji wa nchi yetu - kimsingi hakuna haraka kwanini ufanye mabadiliko in 3 weeks? tunawahi nini wakati we have this country for hundred of years to come??? unakumbuka namna mchakato wa katiba ya Warioba ulivyokwama??? moja ya hoja kuu iliyokwamisha ni suala la Muungano. (hata haikuwa issue ya Uchaguzi au tume huru) maana yake hata CCM hawana shida na hayo mambo ya Tume sana.

katiba ikiandikwa leo - lengo kubwa kitakuwa ni kushinda uchaguzi - tunawakosea sana wananchi. tunadhani everything about this country is politics.
Nakuelewa lakini wewe unalazimisha kuhusu Uchaguzi na Mimi nakulazimisha kuhusu kutokuwa na Uchaguzi... Yani tufanye hivi hatuna Uchaguzi lakini tuwe na kitu Cha msingi ambacho kitatufanya hata mambo yote ya nchi yaende vizuri na si vurugu vurugu kama sasa Rais anaamua tu kitu kitokee basi kinatokea hiyo ni hatari kubwa kuliko .. na naamini wengi wanatamani kuona Mabadiliko kwenye hii nchi kuliko wanavyotamani kuona Uchaguzi.... Mabadiliko ya kisheria kwenye ishu za Uchaguzi unasema CCM Haina interest 🤔 why hawakuruhusu Hadi muda huu ? Wakati walikumbushwa na Chadema Toka mwezi wa pili? Nasema CCm hawakuruhusu kwasababu wote tunafahamu kuwa CCM ndiyo serikali mwenyekiti ndiyo Rais na anateua Hadi mkurugenzi wa halmashauri Hadi katibu tarafa 🚮 ... Mabadiliko ya kuhusu Uchaguzi yanawezekana hata kwa Siku 3 ikija swala la katiba tunakubaliana kama nchi hakuna Uchaguzi twendeni kwenye mchakato wa katiba mbona Ile ya Warioba iliwezekana ambachokinashindika Leo ni Nini kisa ni 2025 ama ? Hapa futa Uchaguzi usifikirie Uchaguzi ukiwa unazungumzia katiba
 
👍

Kuna hoja ya kuahirisha uchaguzi - sidhani kama katiba inaweza kuprovide for this - kuunda Bunge la katiba - Hili pia sio jambo rahisi (Fr. Kitima aliliongelea vyema) Mchakato huu ni mrefu na usiohitajika kufanyika nyakati ambazo watu wanfikiri tumekwama kwa sababu ya uchaguzi pekee. Kuna hatari ukifanya sasa katiba yote ikajikita zaidi kwenye mambo ya uchaguzi pekeee (too risky) na inahitajika ku manage sana expectations kutengeneza katiba bora. maoni yangu ni kuwa mchakato wa uandishi wa katiba mpya usiwe wenye malengo makubwa ya kiuchaguzi Mkuu, Tutakwama!!!!!!

Hii ndio risk niliyoingelea hapo juu (katiba haiongelei Uchaguzi pekee) ukiandika katiba sasa kwenye kipindi hiki - hoja kubwa itakuwa uchaguzi - lazima expectations ziwe managed sana ili tuwe na katiba bora inayozingatia mambo yote ya msingi ya uendeshaji wa nchi yetu - kimsingi hakuna haraka kwanini ufanye mabadiliko in 3 weeks? tunawahi nini wakati we have this country for hundred of years to come??? unakumbuka namna mchakato wa katiba ya Warioba ulivyokwama??? moja ya hoja kuu iliyokwamisha ni suala la Muungano. (hata haikuwa issue ya Uchaguzi au tume huru) maana yake hata CCM hawana shida na hayo mambo ya Tume sana.

katiba ikiandikwa leo - lengo kubwa kitakuwa ni kushinda uchaguzi - tunawakosea sana wananchi. tunadhani everything about this country is politics.
Tatizo ni Kila mwanasiasa akiingia anatafuta sababu ya kuahirisha zoezi...Tukubaliane na CHADEMA kwenye hili, tuahirishe uchaguzi hata Kwa miaka miwili kiwe na transitional governance iliyowekewa mipaka....Niseme tu ukweli wangu Mh. Rais angefaa sana kuwa transitional President, na ingemjengea legacy ambayo angekumbukwa milele hasa kwakua alikuwa mwenyekiti mwenzake kwenye mchakato ule wa Katiba mpya lakini nadhani nchi ilikosa Washauri makini hadi kupelekea kuanzisha awamu badala ya kutumia hiyo ambayo ilikatizwa Kwa kifo, kama sehemu ya mpito kututoa kwenye mkwamo wa Katiba ya Warioba...Such selfish beings waliomshauri kuanzisha awamu waangaliwe Kwa jicho la tatu wameikosea sana nchi yetu
 
Dunia nzima hakuna dhana ya vyombo vyq dola kujitegemea
Ni kweli kabisa, watageuka kuwa wabaya kuliko tunavyodhani...Power which is not checked corrupts...Lakini America imefanikiwa kitechnology na maendeleo kutokana na kutumia jeshi huku likiwa regulated pia
 
Tatizo ni Kila mwanasiasa akiingia anatafuta sababu ya kuahirisha zoezi...Tukubaliane na CHADEMA kwenye hili, tuahirishe uchaguzi hata Kwa miaka miwili kiwe na transitional governance iliyowekewa mipaka....Niseme tu ukweli wangu Mh. Rais angefaa sana kuwa transitional President, na ingemjengea legacy ambayo angekumbukwa milele hasa kwakua alikuwa mwenyekiti mwenzake kwenye mchakato ule wa Katiba mpya lakini nadhani nchi ilikosa Washauri makini hadi kupelekea kuanzisha awamu badala ya kutumia hiyo ambayo ilikatizwa Kwa kifo, kama sehemu ya mpito kututoa kwenye mkwamo wa Katiba ya Warioba...Such selfish beings waliomshauri kuanzisha awamu waangaliwe Kwa jicho la tatu wameikosea sana nchi yetu
🤝🤝Siyo kuahirisha tunafuta kabisa Uchaguzi kwamba hatuna Uchaguzi ili tukapate katiba Siyo ya Uchaguzi Bali katiba ya nchi ama tufute katiba tutengeneze Sheria tu kama Uingereza n.k
 
Jeshi liwezeshwe kutengeneza silaha na kuziuza na sio kupewa tenda za ujenzi na nyinginezo hizio waachiwe makampuni ya kawaida mfano jeshi wanametengeneza barabara chini ya kiwango kuwawajibisha inakua ni ngumu na italeta conflict of interest

The global military equipment market is substantial and growing, with a market size valued at USD 563.71 billion in 2025 and projected to reach USD 795.54 billion by 2033

Jeshi letu linaweza kuwa sehemu ya market size ya usd 563.71 billion ya vifaa vya kijeshi duniani

Nikiwa Rais jeshi letu litakuwa linazalisha vifaa vifuatavyo na kuuza na kupata fedha
  1. Drone
  2. Fighter jet
  3. Armoured vehicle
  4. Transport aircraft
  5. Helicopters
  6. Missiles
  7. HIMARS
  8. Battle rifles
  9. Assault rifles
  10. Sniper rifles
  11. Hunting rifles
  12. AR-15 style rifles

Sasa tofauti yako na yeye ni nini? Gwajima kasema miradi na katoa mfano wa ujenzi, we uliyotaja sio miradi boss rais?
 
Ni kweli kabisa, watageuka kuwa wabaya kuliko tunavyofhani...Power which is not checked corrupts
Ndo kinachowatesa Sudan leo hii rapid support force iliyokuwa chini ya Dagalo (hemidt) walipewa autonomy mwisho wa siku Hemidt kawa billionea anaambiwa sasa wawe sehemu ya jeshi kagoma ndo chanzo cha vita ya Sudan watu wanapigania maslai yao

Jeshi hawatakiwi kuwa sehemu ya uchumi wa nchi ni hatari sana na haitakiwi
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Tatizo ni Kila mwanasiasa akiingia anatafuta sababu ya kuahirisha zoezi...Tukubaliane na CHADEMA kwenye hili, tuahirishe uchaguzi hata Kwa miaka miwili kiwe na transitional governance iliyowekewa mipaka....Niseme tu ukweli wangu Mh. Rais angefaa sana kuwa transitional President, na ingemjengea legacy ambayo angekumbukwa milele hasa kwakua alikuwa mwenyekiti mwenzake kwenye mchakato ule wa Katiba mpya lakini nadhani nchi ilikosa Washauri makini hadi kupelekea kuanzisha awamu badala ya kutumia hiyo ambayo ilikatizwa Kwa kifo, kama sehemu ya mpito kututoa kwenye mkwamo wa Katiba ya Warioba...Such selfish beings waliomshauri kuanzisha awamu waangaliwe Kwa jicho la tatu wameikosea sana nchi yetu
Hizi ni feelings kaka; unakioea sana kumfananisha na Transitional president. Na hili ndio kosa wapinzani wake wakubwa wa ndani walifanya. Katiba iko wazi akichukua zaidi y 2/3 ya term hiyo inakuwa ni full term na analuwa eligible kwa reelection ya one term only.
 
Ndo kinachowatesa Sudan leo hii rapid support force iliyokuwa chini ya Dagalo (hemidt) walipewa autonomy mwisho wa siku Hamidt kawa billionea anaambiwa sasa wawe sehemu ya jeshi kagoma ndo chanzo cha vita ya Sudan watu wanapigania maslai yao

Jeshi hawatakiwi kuwa sehemu ya uchumi wa nchi ni hatari sana na haitakiwi
Kama nakuelewa hivi🤔.....
 
Hizi ni feelings kaka; unakioea sana kumfananisha na Transitional president. Na hili ndio kosa wapinzani wake wakubwa wa ndani walifanya. Katiba iko wazi akichukua zaidi y 2/3 ya term hiyo inakuwa ni full term na analuwa eligible kwa reelection ya one term only.
Uwe unaelewa context usifanye direct translation....Kutokana na experience tuliyopitia bila kuvunja Katiba na kama Kuna dhamira njema Kwa nchi pasipo ubinafsi, that would have saved our country kutoka challenge hii tunayopitia Kwa sasa...Lakini Kwa faida za watu binafsi this could sound awkward
 
Back
Top Bottom