Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

nani amekuambia ni nabii wa Mungu?!. hizi ni sababu chache ambazo nina dhibitisha bila dhahiri yeye si nabii wa mungu
1.nionyeshe sehemu ya biblia ambayo mafuta yanatumika kuponya badala ya nguvu za Roho mtakatifu?
2. anajipa yeye utukufu badala kumrudishia Mungu utukufu anapoponya hakuna binadamu yeyote mwny uwezo wa kuponya bali nguvu za Mungu utumika kumponya mtu
3. ukitaka ujionee kama anatumika na Mungu au lah fwatilia kwny matangazo yake na mikutano n.k hakuna sehemu anapopewa utukufu yesu kupitia nguvu za Roho mtakatifu la zaidi utaona mtu anajisifu mpk kujiita buldoza wakt buldoza pekee ni Yesu. binadamu hana uwezo wa kumponya yeyote bali mtumishi hutumika kama chombo tu

ijue kweli nayo itakuweka huru
Maamposa ndiye mtumishi anayetumika na mungu kuponya watu.
 
vilema wanatembea, vipofu wanaona,
Hiyo sio Kaliynda kweli? japo sitaki kuingilia imani za wengine.
patrice.png
 
Kila mtu anasema utapeli ila ukimuulza utapeli kivipi anakuwa hana

Kila mtu anasema utapeli ila ukimuulza utapeli kivipi anakuwa hana fact

Hyo sabbu namba 2 nakujibu hvi, kama zinatumika nguvu za mungu sasa kwann unampinga mwamposa wakati anatumia biblia ambalo ni neno la mungu?
soma uelewe chief

soma uelewe chief nimekuambia anajipa utukufu
 
Kuhusu vilema kutembea sina ushahd ila mambo ya ardhi nina ushahidi kbs na wale waliofungwa kichawi kufunguliwa ushahid mi ninao. Kama hayajawahi kukufka we beza tu ila sku yakikufka ndo utajua. Humu wajuaji mpo weng sn mpk kuna wengne humu hamtambui uwepo wa MUNGU wala uwepo wa uchawi sa watu wa namna yenu n kuwanyamazia tu ila ambao yalishawafka mambo mazto ya ulimwengu wa roho wanajua. Go go go mtumish wa MUNGU ndugu mwamposa goooo. Humu kila mtu ana hela, ni tajiri, anajua dini, ana kazi, ameajiri yan jf imejaa watu wazto tu huwa nacheka sn.
 
Hao ambao hawaamini ndio wa kwanza kununua mafuta
 
Hao waliojifanya vilema bomb lingetupwa hapo wangekimbia kabla ya kutibiwa kiujanja ujanja na mpigaji

Nakumbuka kuna jamaa hivi hivi alikuwa anawapanga watu waje kama vilema huko Kenya

Mwisho alipotapeli wengi akahama kwa Malaya wa Bar ila nao alipowatapeli waliita waandishi wa Habari

Jamaa waliingia kwenye show na baadae kina Dada wale walipoanza kuigiza wakabadili Gia na kumkashifu mchungaji
Endeleeni kuburuzwa na matapeli
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hayo maigizo yenu.
yaani uwe kilema (mlemavu wa viungo), halafu from nowhere, utembee kwa sababu ya kuombewa na Mwamposa!!

Magongo yenyewe karibia yote yanaonekana kuwa ni mapya! Hakika hii nchi ina wajinga wengi kweli kweli. Wacha tu ccm iendlee kunufaika kupitia huu ujinga wa Watanzania walio wengi.

Mbona watuonesha magongo tu?

Na ukitazama kwa makini ni kama magongo yote ni prototype ile ile, as if yametoka kwa seremala mmoja
Vipi kama upya wa magongo umetokana na filters za Camera?
 
Magongo yote ni aina moja aiseee.hizi cimena nilidhani mwisho bongo movie lakin hadi huku.lakini yote haya yataisha kama yalivyoisha ya askofu kakobe na lusekelo ,wao walikuwa hivi hivi ila sasa hivi wanatumia pension zao.
.
Yana mwisho wake haya ndugu zangu.
 
Kama kichwa cha habar hapo juu, ujio wa mwamposa songea ni neema. ,umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga. Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini, .
Wewe ni mlemavu WA ubongo lakini hujaponywa,tangu lini kiwete anatumia magongo,matepeli WA makanisani wanaandaa script na kugawa magongo na kuyakusanya,
 
Back
Top Bottom