Natumai wote tumeshamaliza 'Kuushangaa' Utezi wa Mama, sasa kama JF 'Great Thinkers' jibuni Maswali yangu haya....

Mkuu wa wilaya anawexa kuwa yoyote anayeweza kuupepeta.Mpango mzima ni mkurugenzi.Ndio maana wanateuliwa Kama fadhila.Siku za nyuma wilaya va Korogwe iliyongozwa na DC ambaye alilkuwa hajui kusoma na kusndika
 
Mama anacho kifanya nikuturejeshea furaha ilopotezwa hapo kadimu... Mengine yatajiseti mbeleni
 
1.Heshima ya cheo cha DC imeaandelea kushuka, maana haijaanza kushuka Jana. Mwenyekiti wa KUU hapaswi kuwa wa majaribio.
2.Mteuzi akiwa Mwanza aliahidi kuteua vijana, naamini 45-50yrs si kijana huyu bali mtu mzima umri wa kati. Na Mimi kwa maoni yangu huyu ndo mtu mwenye umri sahihi wa kuwa DC na siyo kundi la balehe kama walivyokuwa kina Hapi.
3.Kuteua makundi maalum kiweledi (kiujanja) ni Political failure. Ni sawa na Kujificha kwenye shamba ukitegemea kutoonekana.
4.Si kila mtu anafaa kila mahali, ila mwendelezo wa kulipana fadhila na kuwapa waliokosa kile ni utamaduni mpya ulioasisiwa bila kuangalia faida ya dhumuni halisi la kuwepo cheo cha DC kisheria.
5.Teuzi za DC zapaswa kuwa takwa la kisayansi ila limeguezwa juu chini wa sasa.
6.Mtu anayekwenda kudeal na 75% ya kazi zake akigusana na watumishi wa Umma wenye weledi na ujanja tofauti na huku 25% pekee ndo akideal na wakulima na wafugaji apaswa kuwa mtu mgumu kweli kweli. Apaswa kuwa mwenye maono kiuhalisia na si maono ya mdomoni vinginevyo anakwenda kuwa msikiliza majungu toka kwa makada watakaojipendekeza.
7.Suala la kutaka katiba mpya kwa sasa ni muhimu kuliko wakati wowote. Miaka 6 iliyopita imetuonesha mapungufu dhahiri ya Katiba tuliyonayo kuliko wakati wowote.
 
kill dem dope.gan eni yu
 
uhamasishaji wa shughul za .maendeleo,kusimamia utekelezaji wa ilani ya chama.wote waliopata wanaweza kutoa maamuz kwan wanajua kusoma na kuandika. kisarawe ilishafubguka kiutalii ombi na wito isife ile spilit, utalii wa kisalawe uendelezwe na celebriturye aliyeenda huko akatusaidie
 
akili ya ajabu sana hii
 
Uteuzi nimeuelewa, subiri mtoe hukumu ya utendaji wao. Wazee wakapumzuke.
 
Uteuzi wa Sasa,haujatoa kipaumbele professional,sio mbaya ngoja tuone utendaji wao,then baada ya miez 12,tutakuwa na evaluation ya utatendaj wao.japo hk ,cheo hk Cha ukuu wa wilaya,binafsi huwa naona hakina umuhimu Sana,kwani kaz zote za wilaya hufanywa na DED, na Mara nyingi DED huwa anatoa ripoti za kaz zake zote kwa waziri tamisemi,kiukweli cheo Cha ukuu wa wilaya kinapaswa kiwepo lkn si muhimu sana.
 
Sasa unyerere karne hii uoni ka ushafeli??? We kaa reserve uwezi jua mbeleni
 
Spilit?
 
Hiko cheo kifutwe, DAS na RAS wanatosha
 
Yote hayo ni matatizo ya katiba. Ilitakiwa ukuu wa wilaya iwe nafasi ya kutuma maombi kabisa. Na swala elimu na uzoefu lizingatiwe.
 
Akizingua huko atazinguliwa,mwenzie alizinguliwa.
 
Namba 7 ifute hakuna mweye njaa hiyo hapa tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…