Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 677
- Thread starter
-
- #501
OkayBible code number 21:- TEKELI TEKELI TEKELI MENE
Kazi yake;- Kuondoa sumu iliyotokana na kung'atwa na nyoka kwenye ndoto
(Hesabu 21:9)
UNATUMIAJE
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Binafsi-Unakua unatamka kimoyo moyo angalau dakika 15 kwa siku (na zaidi kama ukiweza) kwa imani na msisitizo mpaka sumu itakapoondoka kwenye ulimwengu wa mwili
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code kimoyo moyo angalau dakika 15 kwa siku (na zaidi kama ukiweza) kwa imani na msisitizo mpaka sumu itakapoondoka kwenye ulimwengu wa mwili
Naomba kujua dawa ya mtu mwenye na KigugumiziBible code number 62:- TEKE TEKE TEKELI PERESI
Kazi yake;-Kufanya bubu aongee(Luka 11:14, Marko 7:37)UNATUMIAJE
- Watoto wadogo waliofikia umri wa kuongea na hawaongei
- Mtu mzima bubu kuongea
(Majina matatu ya mtoto wako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Binafsi-Unatamka jina na bible code kimoyo moyo (kwa siri jirani yako asisikie) kwa imani na msisitizo mpaka atakapoongea au kama haiwezekani Mungu atakupa sababu
(Majina yake matatu unayemuombea-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo (kwa siri jirani yako asisikie) kwa imani na msisitizo mpaka atakapoongea na kama haiwezekani Mungu atakupa sababu
Samahani mwanamke ameingiaje tena kwenye kutamka kimoyo moyo?Bible code number 158:- SETE SETE SETE PERESI
Kazi yake;- kusikiliza mazungumzo kati ya Mungu na shetani(Ayubu 1:7-12, 2:1-7, 1 Wafalme 22:20-22)
- Kujua ukubwa na mipaka ya kibali alichopewa shetani na Mungu cha kujaribu na kutesa watakatifu
UNATUMIAJE
(Jina lako- unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakuonyesha huyo mwanamke ni sahii kwa ndoa au la
(Jina lake- unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Kumuombea mtu mwingine-unatamka jina na bible code kimoyo moyo (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakuonyesha huyo mwanamke ni sahii kwa ndoa au la
(Jina la nchi- unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Nchi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakuonyesha huyo mwanamke ni sahii kwa ndoa au la
Typing errorSamahani mwanamke ameingiaje tena kwenye kutamka kimoyo moyo?