Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 677
- Thread starter
- #81
Bible code number 21:- TEKELI TEKELI TEKELI MENE
Kazi yake;- Kuondoa sumu iliyotokana na kung'atwa na nyoka kwenye ndoto
(Hesabu 21:9)
UNATUMIAJE- Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka sumu itakapoondoka kwenye ulimwengu wa mwili
- Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka sumu itakapoondoka kwenye ulimwengu wa mwili