Natumia Biblia kutatua changamoto

Natumia Biblia kutatua changamoto

Bible code number 21:- TEKELI TEKELI TEKELI MENE
Kazi yake;- Kuondoa sumu iliyotokana na kung'atwa na nyoka kwenye ndoto
(Hesabu 21:9)​
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka sumu itakapoondoka kwenye ulimwengu wa mwili
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka sumu itakapoondoka kwenye ulimwengu wa mwili
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Code ambayo nimetumia na imenisaidia kwa asilimia 100%,ni "ELOI ELOI LAMA SABAKITANI" natamka hilo namalizia na tafsiri yake, rudia bila kuchoka mara kwa mara faraja haitakuwa mbali nawe!
Bible code number 02:- ELOI ELOI LAMA SABAKTHANI
Kazi yake;- kukupa nguvu ukiwa katika nyakati ngumu sana unapopita katika bonde la uvuli wa mauti
(Mathayo 27:46, Zaburi 23)
  • Mungu hutupitisha kwenye majaribu na ukweli tunapaswa kushukuru katika kila jambo, ingawa inahuzunisha na inaubonda bonda na kuufinyanga moyo, unakua na uchungu wa moyo, pia unajikuta ukitaman kulia lakini machozi hayatoki kutoka..but we have to be strong; sababu ni mpaka kusudi la Mungu litimie ndo ugumu unaopitia utaondoka usitumie nguvu kubwa sana kuondoa hio changamoto sababu italeta negative impact kubwa sana kwako.
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unakua unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu utakapomaliza kulivuka bonde la uvuli wa mauti.
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu utakapomaliza kulivuka bonde la uvuli wa mauti.
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 23:- MENE PERESI TEKELI TEKELI
Kazi yake;- kujua tafsiri ya wewe kuua nyoka kwenye ndoto
(Ufunuo 12:11, luka 10:19)​
Utajua aina ya ushindi ulioushinda kwa kumuua nyoka kwenye ndoto​

UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri na ujumbe kwenye fikra zako
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri na ujumbe kwenye fikra zako
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 24:- TEME TEME TEME PERESI
Kazi yake;- kukupa tafsiri ya ndoto kwanini unasoma either primary, secondary, au chuo au kwanini kila ukifanya mtihani unafeli
(Mithali 4:13, mithali 1:7)​
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri kwenye fikra zako
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri kwenye fikra zako
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 56:- TEME TEME TEME TEME
Kazi yake;- inakupa tafsiri kwanin umeota ndoto ya mahafali (kugraduate) kwenye ndoto
(daniel 1:19)​
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata nini cha kufanya kwenye fikra zako
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata nini cha kufanya kwenye fikra zako
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 57:- MEKE MEKE MEKELI MERESI
Kazi yake;- Kutubu juu ya uovu usioujua na unakwamisha maisha yako
(Zaburi 51, Waebrania 13:12)​

UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 22:- NENELI NENELI NENELI NENELI
Kazi yake;- kumlinda mke wako
(Mwanzo 20:1-14)
  • Dhidi ya nguvu ya fedha
  • Dhidi ya watu wenye fedha
  • Dhidi ya watu wenye mamlaka
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie) kwa imani na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Majina matatu ya mke wako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Kazi ya verse 31,102 zinakazi gani kama jina la yesu peke yake linatosha
‭‭‭‭Kolosai‬ ‭3:17‬ ‭

[17] Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye.

‭‭Yohan‬a ‭14:6‬ ‭

[6] Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
 
Daniel 5:25 Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.
‭‭Dan‬ ‭5:25‭-‬28‬ ‭SUV‬‬

[25] Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.

[26] Na tafsiri ya maneno haya ni hii;

MENE
, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha. [

27] TEKELI, umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.

[28] PERESI, ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wamedi na Waajemi.
 
Matatizo ya hii nchi ni yale yale siku zote
[emoji117]UJINGA
[emoji117]UMASIKINI
[emoji117]WEAKNESS YA AFYA YA AKILI

Wafuasi wote wa dini wanaongoza kukumbwa na haya matatizo, pole sana mtoa mada, mtafute dactari wa akili akusaidie kukutibu kisaikolojia pamoja na wajinga wenzako mnaosapotiana kutumia vitabu vya stories za kidini kujifariji na hali zenu mbaya za kimaisha.
 
Rafiki yangu ananililia sana anasema ana changamoto ya kukataliwa.

He Afanye nini

Roho ya kukataliwa inamtesa sana
Hana roho ya kukataliwa ila ana tatizo la kukosa kujiamini linalotokana na matatizo ya akili, mwambie awahi hospital, pia tatizo sugu kuliko yote ni umasikini na usafi wa mwili, mwambie atafute sana pesa na azingatie usafi wa mwili+tabia njema uone kama kuna mtu hatopenda kuwa karibu yake.

Matatizo yenu ya maisha mnasingizia mambo ya kiroho ambayo hata hamuyajui.

Umasikin ni adui wa maisha, tutafute maisha bora tuache visingizio
 
Bible code number 25:- MENE MENE PERESI PERESI
Kazi yake;- kukupa ujasiri wa kukabiliana na changamoto/hitaji ambalo waliokuzunguka wanaona umeshafeli
(Hesabu 14:1-10)

UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata mbinu za kushinda hiyo changamoto
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu anayesumbuliwa na wachawi-unatamka jina lake na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata mbinu za kushinda hiyo changamoto
(Majina yake matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Back
Top Bottom