Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 677
- Thread starter
- #241
Bible code number 65:- NETE NETE TEKELI PERESI
Kazi yake;-kuondoa tatizo la kurithi linaloisumbua familia au nchi
(2 Samweli 21:1-14, Mathayo 27:50)
Kazi yake;-kuondoa tatizo la kurithi linaloisumbua familia au nchi
(2 Samweli 21:1-14, Mathayo 27:50)
- Ugonjwa wa kurithi
- Ukame wa kurithi
- Tabia ya kurithi
- Binafsi-unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka tatizo litakapoondoka
- Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka tatizo litakapoondoka