Natumia Biblia kutatua changamoto

Natumia Biblia kutatua changamoto

Bible code number 65:- NETE NETE TEKELI PERESI
Kazi yake;-kuondoa tatizo la kurithi linaloisumbua familia au nchi
(2 Samweli 21:1-14, Mathayo 27:50)
  • Ugonjwa wa kurithi
  • Ukame wa kurithi
  • Tabia ya kurithi
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka tatizo litakapoondoka
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)tatizo la kurithi linalokusumbua)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka tatizo litakapoondoka
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(tatizo la kurithi linalomsumbua) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 66:- TEKELI TEKELI TEKELI TENE
Kazi yake;- Kuondoa tatizo la umaskini unaoutesa familia yako kwa Mungu kufanya ujue majira ya kujiliwa kwa familia yako.
(Luka 19:41-44, Mhubiri 9:11 )
UNATUMIAJE
  1. Famili/ukoo-Unakua unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapojua majira ya kujiliwa ya familia
(Majina yako matatu/jina la familia yako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 26:- PERESI PERESI TEKELI SENE
Kazi yake;- kujua mtoto wako/unayemlea kuhusu njia ya elimu anayotakiwa kupitia na kujua kipaji chake
(Yeremia 1:4)​
  • Kujua njia ya elimu (career) ya mtoto wako
  • Uweze kujua kipaji cha mtoto wako
UNATUMIAJE
  1. unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapojua destiny ya mtoto wako
(Majina matatu ya mtoto wako/unayemlea-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 61:- MENE MENE SENE SENE
Kazi yake;- Kuondoa tatizo la umaskin na uduni unaoutesa familia yako kwa Mungu kukushughulika na wazaliwa wako wa kwanza tokea adam na hawa
(Kutoka 12:12 )​

UNATUMIAJE
  1. Familia-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakaposhughulika na mzaliwa wa kwanza
(Majina yako matatu/jina la familia yako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 67:- MENE MENE SETE SETE
Kuondoa tatizo la umaskin na uduni unaoutesa familia yako ili kuwafanya watu wengine wakuletee utajiri kwa Mungu kukupa ubunifu ambao watu wengine hawana.
(Kutoka 3:21-22, 2 mambo ya nyakati 26:8)​

UNATUMIAJE
  1. Familia-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata huo ubunifu
(Majina yako matatu/Jina la familia yako-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 02:- ELOI ELOI LAMA SABAKTHANI
Kazi yake;- kukupa nguvu ukiwa katika nyakati ngumu sana unapopita katika bonde la uvuli wa mauti
(Mathayo 27:46, Zaburi 23)
  • Mungu hutupitisha kwenye majaribu na ukweli tunapaswa kushukuru katika kila jambo, ingawa inahuzunisha na inaubonda bonda na kuufinyanga moyo, unakua na uchungu wa moyo, pia unajikuta ukitaman kulia lakini machozi hayatoki kutoka..but we have to be strong; sababu ni mpaka kusudi la Mungu litimie ndo ugumu unaopitia utaondoka usitumie nguvu kubwa sana kuondoa hio changamoto sababu italeta negative impact kubwa sana kwako.
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unakua unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu utakapomaliza kulivuka bonde la uvuli wa mauti.
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu utakapomaliza kulivuka bonde la uvuli wa mauti.
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 68:- MENE PESI PERESI TEKELI
Kazi yake;- Kujikinga, kulinda na kuwashinda wachawi wanaozuia biashara, na wafanyakazi wenzako wanaokuloga kazini
(Kutoka 7:8-12, Yeremia 8:17)​
Usiende kuloga kama wafanyavyo wenzako​
  • Biashara yako ya kilimo
  • Biashara yako ya madini
  • Biashara yako ya uvuvi
  • Kazi uliyoajiriwa
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakaposhinda wachawi unaoshindana nao
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu anayesumbuliwa na wachawi-unatamka jina lake na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapowashinda wachawi unaoshindana nao
(Majina yake matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 69:-TEKELI PESI TEKELI TEKELI
Kazi yake;- Kukupa busara katika uongozi ulioupata iwe ni familia, nchi, kampuni au sehemu yeyote ile
(Kutoka 18:13-26, 1 samweli 18:5)​
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka busara itakapokuja ndani yako
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(sehemu unayoongoza) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka busara itakapokuja
(Majina yake matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(sehemu anayoongoza)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 25:- MENE MENE PERESI PERESI
Kazi yake;- kukupa ujasiri wa kukabiliana na changamoto/hitaji ambalo waliokuzunguka wanaona umeshafeli
(Hesabu 14:1-10)​
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata mbinu za kushinda hiyo changamoto
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu anayesumbuliwa na wachawi-unatamka jina lake na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata mbinu za kushinda hiyo changamoto
(Majina yake matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 03:-MENE REPE TEKELI PERESI
Kazi yake;- Kutahiri govi ya moyo
(Yeremia 4:4, Kumbu kumbu la torati 10:16)
  • Kwa mtoto mchanga
  • Kuwaleta wapagani kwa Yesu
UNATUMIAJE
  1. Kumwombea mtoto mdogo/mtumzima-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa iman na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Majina yake matatu unayemuombea-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 64:- PERESI PERESI PERESI PESI
Kazi yake;- Kufungua biashara au soko lililofungwa kwenye ulimwengu wa roho dhidi yako
(Yoshua 6:1-5)​
Kuna biashara huku duniani ni za watu fulani wewe ukitaka kuingia kufanya inakua ngumu sana, na hakikisha unaanza na bible code number 03 kwa kuwasha nuru ndani yako​
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka soko litakapofunguka kwenye ulimwengu wa roho
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(biashara unayofanya kwenye soko/mahali flani)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumuombea mtu mwingine-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka soko litakapofunguka kwenye ulimwengu wa roho
(Jina la mtu anayemuombea-unatamka mara tatu tu kwa siku)(biashara unayofanya kwenye soko/mahali flani)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 05:- TEKE TEKE TEKELI PERESI
Kazi yake;-Kupata mbinu za kifikra (akili) za kupata kipato cha kila siku (Mathayo 6;9-13)​
  • Wafanyakazi
  • Wafanyabiashara
  • Wasio na kazi utapata akili ya kuishi na kupata rizki japokua huna kazi rasmi
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unakua unatamka kimoyo kimoyo mda wowote mpaka kiu itakapoondoka
(Majina yako matatu)(unatamka bible code)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code mpaka kiu itakapoondoka
(Majina yake matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye) (unatamka bible code)

Ipo vizuri sana
 
Bible code number 70:- PENE PEKELI PERESI PENE
Kazi yake;- Kufanya tamaa ya mke wako kuwa kwako
(Mwanzo 3:16)​
  • Ili uweze kuishi na mke wako kiakili na kumtawala
UNATUMIAJE
  1. Unakua unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka tamaa ya mke wako itakapokua kwao
(Majina ya mke wako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 71:- TEKELI LESE TEKELI TEKELI
Kazi yake;- Ukiota umefungwa pingu mkononi au kamba
Ayubu 36:8​
  • Utapata tafsiri binafsi ya kwanini umefungwa kamba mkononi
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri na nini cha kufanya
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu aliyeota ndoto kama hii unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakapopata tafsiri na nini cha kufanya
(Majina yake matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 55:- PERESI MENE TEKELI PERESI
Kazi yake;-Yesu kutoa mapepo/majini kutoka kwa mtu
(Luka 8:26-32)
  • Kichaa kilichosababishwa na majini
  • Kichaa kilichosababishwa na kutupiwa majini na mtu mwingine
UNATUMIAJE
  1. unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kichaa kitakapoondoka
(Majina matatu ya mwenye kichaa-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku tu na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number number 72:- MENE MENE SETE PERESI
Kazi yake;- kushukuru na kubariki kidogo ulichonacho ili kiongezeke maradufu
(Yohana 6:1-14, Marko 6:32-44, Mathayo 14:13-21, Mathayo 15:29-39)​
  • Fedha
  • Chakula
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kidogo kitakapoongezeka
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku tu)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku tu na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kuombea kikundi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kidogo kitakapoongezeka
(Majina ya kikundi/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku tu na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 73:- MENE KEKELI LENE RESE
Kazi yake:- Mungu kujulikana sehemu watu ambao hawamuamini na wanataka kujua uwepo wake (prove)
(1 Wafalme 18:36-39, 1 Samweli 5:1-12)​
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka hali ya chuma ulete haitatotekea tena
(Jina la mtu/watu ambao hawamuamin Mungu ila wanataka prove-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 34:- MENE MENE SENE TEKELI
Kazi yake:- kulinda mali unazomiliki dhidi ya adui zako
(Mhubiri 10:8)​
  • Nyumba
  • Gari na Magari
  • Biashara
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka kiu itakapoondoka
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 74:- RESE RESE RESE RESE
Kazi yake:- Kuomba msaada kwa Mungu katika kosa/ualifu ulioufanya na kesi iko mahakamani au kwenye baraza lolote lile.
(Luka 23:43)​
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka mapenzi ya Mungu yatapotimia
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu mwingine-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo lengo ni mapenzi ya Mungu yatimizwe
(Majina yake matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 75:- SENE MENE PERESI SENE
Kazi yake:- Kuomba msaada kwa Mungu katika kosa/ualifu ulilosingiziwa na kesi ipo mahakamani au kwenye baraza lolote lile
(1 wafalme 3:16-27)

UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakaposhinda kesi
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka utakaposhinda kesi
(Majina yake matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Back
Top Bottom