Nauli hizi za SGR nani atapanda? Kutoka Dar - Moro Tsh 24,000?

Nauli hizi za SGR nani atapanda? Kutoka Dar - Moro Tsh 24,000?

Habari za Independent day wanajukwaa.

Nimeiona hii kitu mahali ikanibidi nami niichukue na kuileta hapa jukwaani kwa majadiliano zaidi.

IMG-20221209-WA0001.jpg
 
View attachment 2440365
Hata kama ni mapendekezo sidhani kama mlifikiria au kuwaza kwa kinagaubaga, huko Anatorglo mnaenda kupaka mafuta ili kung'arisha hiyo nauli na si vinginevyo.

Ukute mmeshaandaa wazungumzaji wenu wa kutetea hiyo nauli na hapo ndiyo watakuwa wengi ukumbini.
Kama ni saa
Hata ingekuwa 2mins ila unapobeba watu wengi logistics arrangements zinarahisika na nauli inatakiwa kupunguza sana!! Sasa iweje aaghali kuliko bus za kawaida!
Yaan ushakalili kwamba Bei ya tren ni ndogo kuliko basi..haiko hivyo inadepend na huduma unayopewa.leo hii Azam marine wanachaji 25000 had 30000 Kwa usafir Zanzibar.. Kwa mwendo wa saa moja na nusu. NeNda mwanza hadi ukerewe masaa matatu hadi manne, nauli haizid 8000/ Kwa Meli.
 
Back
Top Bottom