Nauli hizi za SGR nani atapanda? Kutoka Dar - Moro Tsh 24,000?

Kama ni saa
Hata ingekuwa 2mins ila unapobeba watu wengi logistics arrangements zinarahisika na nauli inatakiwa kupunguza sana!! Sasa iweje aaghali kuliko bus za kawaida!
Yaan ushakalili kwamba Bei ya tren ni ndogo kuliko basi..haiko hivyo inadepend na huduma unayopewa.leo hii Azam marine wanachaji 25000 had 30000 Kwa usafir Zanzibar.. Kwa mwendo wa saa moja na nusu. NeNda mwanza hadi ukerewe masaa matatu hadi manne, nauli haizid 8000/ Kwa Meli.
 
Hiyo ni bei ya nauli walizopendekeza wao trc then latra watakusanya maoni ya wadau ili wacrosscheck pande zote kupata bei sahihi ya mlaji. Kama mlaji napendekeza nauli ya dar moro iwe 6000
TRC inatakiwa ijiendeshe kibiashara. Wakichaji nauli ya 6,000 hiyo faida itatoka wapi?! Labda serikali ikubali kufidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…