A Anonymous Guest Jun 24, 2026 #1 Kuna malalamiko sana kuhusu nauli za dadadala mjini Arusha. Daladala zinatoza nauli Tshs 1000 badala ya nauli elekezi ya Tshs 700. Mamlaka zipo kimya kwenye hili. Simu zikipigwa hawapokei. Je hii ni sahihi? Tunaziomba mamlaka zilitazame hili jambo limekuwa mwiba mchungu kwa wanachi wa Arusha. Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli
Kuna malalamiko sana kuhusu nauli za dadadala mjini Arusha. Daladala zinatoza nauli Tshs 1000 badala ya nauli elekezi ya Tshs 700. Mamlaka zipo kimya kwenye hili. Simu zikipigwa hawapokei. Je hii ni sahihi? Tunaziomba mamlaka zilitazame hili jambo limekuwa mwiba mchungu kwa wanachi wa Arusha. Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,727 Reaction score 55,401 Jun 25, 2026 #2 Ni kwa muda tu mambo yamebana kiongozi, mafuta juu vipuri juu hela ya boss dereva mpiga debe bila kusahau ya kubrashia viatu
Ni kwa muda tu mambo yamebana kiongozi, mafuta juu vipuri juu hela ya boss dereva mpiga debe bila kusahau ya kubrashia viatu
Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 5,383 Reaction score 18,776 Aug 2, 2026 #3 Mambo ya mafuta hayo
DUBULIHASA JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 6,138 Reaction score 11,989 Aug 2, 2026 #4 Arusha 1000 ni kama imekua rasmi sasa sijui sehemu zingine hali ikoje
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 2, 2026 #5 Poleni sana... Cc: Mahondaw