Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

niliwahi kusikia wao wanapenda kuwahi kuacha

wanahesabia kama ni ushindi
💯@% correct!! Niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mwanadada mmoja ikafika wakati tukahitilafiana. Akawa anapiga simu kwa marafiki zake wakipiga stories ikifikia kipengele cha kunizungumzia mimi anatamka kauli moja kuwa yeye huwa haachwi badala yake yeye anaacha 😆😆😆😆 alikuja kukutana na surprise ya mwaka mamamamaaaaaamaaaeeeee
 
Ulikua unataka umshikishe ndoa kakushtukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…