Naumia sana ninaposhindwa kuwa msaada kwa wazazi wangu

ni kweli kabisa...you are very right.
 
Pole mkuu. Mazingira yako wengi tunayapitia. usiogope kwenda nyumbani. Nenda nyumbani ukazungumze na wazazi watakuelewa. Na watakuombea. usiwajudge kabla hawajakusikiliza kwa undani.
 
Naona mnaanza kuhamasisha kujengwa kwa kizazi ambacho hakitajaliana huko mbele
kitajaliana tu kwani kwenu ukoo wenu wote si kuna mazuzu hawajali wazazi? cha msingi wekeza kwa mtoto ili baadaye ajue amefika hapo kwa sasas wewe mzazi wake aliwekeza. Kuna wazazi hawajali kumjenga mtoto utotoni, wanakula bata tu, mtoto akishakua ndiyo mzazi anaanza kutamba kwa kusema ana jembe lake, analitegemea. mzazi wa namna hiyo unamfanyaje?
 
Usikate tamaa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…