Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

Kanaongea kama kamekalia mzizi.
Hovyo kabisa🚮
 
Naomba huyo mbunge aache kuvuta bangi mbichi. Very stupid
 
Mama ameleta mageuzi ya maji machafu nchi nzima maji yake ni machafu mageuzi mazuri aliyo leta mama. Na Kingine rushwa ipo kila sehemu umeme bado ni tatizo sugu saa ajira vijana hawana mama anasafiri kila kukicha akitembelea nchi marafiki Uongoziwa Mama unafanana na Uongozi wa Mr Kikwete kusafirisafir wakati wananchi wake wapo hoi kimaisha: Afadhali Makonda anajitahidi kutatuwa matatizo ya wananchi kuliko viongozi wengine wa Serikali.
 
Kwa kuwa ukinunua sukari na Mchele elfu kumi inaisha mara moja,ukinunua nyama kilo Moja elfu kumi inaisha, petroli ukiweka lita mbili elfu kumi inaisha, ukinunua nyanya kisado elfu kumi inaisha, ukinunua vitunguu kisado elfu kumi inaisha, nashauri iwepo note mpya ya elfu 50000 ili kupunguza kutembea note nyingi.

Na noti ya elfu 50 ndio iwekewe picha kama mbunge alivyoshauri tuweke picha kwenye pesa. Kwenye ya elfu 50 Itapendeza sana itasaidia kupunguza noti mifukoni
 
Ndio mnatupeleka 🇿🇼. Zimbabwe sio⛹️‍♂️⛹️‍♂️⛹️‍♂️
 
Ni vizuri sura ya Mh. Samia ikawekwa kwenye noti zetu zote. Kuweka picha za wanyama sio sawa
 
Na noti ya elfu 50 ndio iwekewe picha kama mbunge alivyoshauri tuweke picha kwenye pesa. Kwenye ya elfu 50 Itapendeza sana itasaidia kupunguza noti mifukoni[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…