Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
-
- #61
Umewahi kukutana na shule yeyote inapima afya za watoto kabla ya kuwachapa? Kuna mtu unampiga kofi tu anaanguka na kufa, halafu unakuwa na murder case. Hadi wamalize uchunguzi na kusema ni kweli sio kofi tu lilimuua umeshalaa ndani miaka sita. Murder case haina dhamanaWatoto watukutu wataendelea kunyukwa tu mashuleni hakuna wa kuzuia hili. Haki za wato zinazingatiwa
Inshu sio mental healthMkuu, ndio maana basi alikuwa anawapa kichapo sana watoto wake wasipofanya vizuri darasani. Sasa walimu kama Magufuli hawatakiwi kabisa, wana mental issues. Si unaona mentality ya "kuchapa watu bila huruma" aliileta hadi kwenye uraisi? Akamchapa na Ben Saanane. Anaweza kuwa alifanya vizuri katika baadhi ya sehemu,lakini kwenye hili la kuchapa alikuwa na tatizo la afya ya akili
Sasa chief unakuta mtoto anapigana denda na mwenzie hivi watoto kama utawaacha tu hivo hivoMiaka ya nyuma tumekula sana hizo stiki tena walimu walikua na misuli kweli kweli 😀😀😀, kwa vitoto vya miaka ya karibuni sishauri sana vichapwe fimbo nyingi afya zao ni mgogoro
Nenda shule kama Feza, Shamsiye na IST kwa uchache uone vipaji wa watoto na nidhamu waliyokuwa nayo.Tuonyeshe hao watoto wanaoongooza kwa ubunifu bongo hii ambao hawajawahi kuchapwa viboko.
Wamebuni nini?
Ifike muda tuseme ukweli tu yaani hizi shule zetu zimejaa ukatiri kwa wanafunzi. Hebu fikiria hapo unatengeneza raia wa namna wa baadae kwa sababu naye atakuja kuamini njia pekee ya kufikia suluhu kwa kila jambo ni kwa kutumia nguvu na adhabu ngumu kama hivyo. Haiko sawa namna hii, kwani kumrekebisha mtu kwa upendo na akakuelewa inaleta shida gani!View attachment 3266333
Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu.
Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na shock usoni mwa wanafunzi wanaotazama tukio hili.
Sasa niambieni. Nipate picha au video clip kama hii na huyo hapo anaesulubiwa awe ni mwanangu, mnafikiri nitamfanya nini huyo mwalimu, kumpeleka kwa polisi wetu hawa ambao wengi ni wala rushwa? Ni kosa gani ambalo huyu mwanafunzi anaweza kuwa amefanya kiasi mwalimu amwadhibu kwa ghadhabu na ukatili namna hii - amembaka mama yake?
Walimu wenye tabia hii chukueni tahadhali. Mtaja kutana na watu ambao akili zao zitakuwa kama zenu, na hamtashinda.
Kwani wewe kipimo cha akili ni kipi kwako?Inshu sio mental health
Inshu walikuwa wana akili au hawana akili ?
Ndio msingi wa hii hoja
Mental health issues ipo kwa kila mtu ila inategea ipo kwenye jambo gani
Hivi unagomaje kulala?😀😀😀😀Mimi niliwahi pigwa usku kisa Nimegoma kulala🤔
Ndio maana tunaishia kuwa na maraisi ukimpinga anaamuru dola ikuue, au Polisi wakuweke ndani bila dhamana!Ifike muda tuseme ukweli tu yaani hizi shule zetu zimejaa ukatiri kwa wanafunzi. Hebu fikiria hapo unatengeneza raia wa namna wa baadae kwa sababu naye atakuja kuamini njia pekee ya kufikia suluhu kwa kila jambo ni kwa kutumia nguvu na adhabu ngumu kama hivyo. Haiko sawa namna hii, kwani kumrekebisha mtu kwa upendo na akakuelewa inaleta shida gani!
Hao wana akili za darasani lakini hawana ubunifu wowote wa kushangaza.Nenda shule kama Feza, Shamsiye na IST kwa uchache uone vipaji wa watoto na nidhamu waliyokuwa nayo.
Ikumbukwe shule hizo hakuna adhabu ya viboko hata kwa bahati mbaya.
Mkuu, unajua kwa mujibu wa muongozo wa adhabu mashuleni mwalimu yeyote hatakiwi hata kuonekana ameshika kiboko anazurura nacho?
Mkuu majitu mengi humu yamepitia malezi ya kikatili kwa wazazi wao hadi mashuleni hivyo wanaamini bila adhabu zenye viashiria vya ukatili mambo hayaendi kitu ambacho sio kweli.Ifike muda tuseme ukweli tu yaani hizi shule zetu zimejaa ukatiri kwa wanafunzi. Hebu fikiria hapo unatengeneza raia wa namna wa baadae kwa sababu naye atakuja kuamini njia pekee ya kufikia suluhu kwa kila jambo ni kwa kutumia nguvu na adhabu ngumu kama hivyo. Haiko sawa namna hii, kwani kumrekebisha mtu kwa upendo na akakuelewa inaleta shida gani!
Inategemea upo wapi ndio utapimwa akiliKwani wewe kipimo cha akili ni kipi kwako?
Wapi nimetoa kauli mbaya?Sawa,ila kauli mbaya acha
Kuna madogo waling'oa mabeseni ya kunawia mapya kabisa karibu 8 kwenye shule x ya sekondari , hawakuishia hapo wakapulizia spray ya rangi ukutani rangi iliyopakwa na fedha za walipa kodi tena wasio na kipato na kuandika matusi siku hiyo hiyo walikutwa wanalawitiana huko vyooni wewe kama mwalimu utawapa adhabu gani..?Sasa chief unakuta mtoto anapigana denda na mwenzie hivi watoto kama utawaacha tu hivo hivo
Kwani lengo la nyinyi walimu kutoa adhabu za kikatili ni kwasababu ya kumfanya mtoto awe mbunifu ama kumfanya mtoto awe mwenye nidhamu?Hao wana akili za darasani lakini hawana ubunifu wowote wa kushangaza.
Feza ina miaka mingi tangu ianzishwe..ni mtu gani amesoma pale amebuni chochote tunachojivunia kama Taifa?
Benjamin Fernandez wa NalaTuonyeshe hao watoto wanaoongooza kwa ubunifu bongo hii ambao hawajawahi kuchapwa viboko.
Wamebuni nini?
Ukiwachapa ndiyo wataacha tabia hizo?Kuna madogo waling'oa mabeseni ya kunawia mapya kabisa karibu 8 kwenye shule x ya sekondari , hawakuishia hapo wakapulizia spray ya rangi ukutani rangi iliyopakwa na fedha za walipa kodi tena wasio na kipato na kuandika matusi siku hiyo hiyo walikutwa wanalawitiana huko vyooni wewe kama mwalimu utawapa adhabu gani..?
mikopo umiza imewaharibu akiliWalimu wengi wana msongo wa mawazo kutokana na shida zinazowaandama mshahara kiduchu na madeni.
huwezi kukaa na watoto rundo halafu usiwajue afya zao, akili zao na mahali wanapotoka. Watoto wenye matatizo ya afya wanajulikana na huwa hawaguswi adhabu yao ni kuwatoa darasani waende nyumbani kama wanakuwa ni wasumbufuUmewahi kukutana na shule yeyote inapima afya za watoto kabla ya kuwachapa? Kuna mtu unampiga kofi tu anaanguka na kufa, halafu unakuwa na murder case. Hadi wamalize uchunguzi na kusema ni kweli sio kofi tu lilimuua umeshalaa ndani miaka sita. Murder case haina dhamana