Uchaguzi 2020 Nawamegea siri: 'Bakuli la Lissu' lijazwe michango, linasaidia kuruka kiunzi kikuu mwaka huu

Mnasema hatupo kwenye uchumi wa Kati.

Wananchi ni maskini,

Halafu mnatembeza bakuli kwa maskini.
Hapo ndio mziki mzuri hawa maskini kwa kushiriki kampeni kunawaunganisha namgombeahakika chadema dakika moja mbele
 
Kwani ile michango waliokuwa wanakatwa wabunge kwa ajili ya uchaguzi iko wapi? Wananchi wana hali mbaya kwa nini muwachangishe?
Wabunge wa upinzani Walikuw wangapi vile!.

Ila mwaka huu hilo koti la serikali limewaelemea bado kidogo litadondoka
 
Mbowe hata tukichanga yee anakura ela tu. Ndo maana mimi niriachaga kuchanga
URIACHA kwa sababu wanaKURA.
Bora uache tu usije ukaRIWA bure.

Btw, mchango ni hiari. Kuacha kwako kuchanga hakuna impact yoyote...TAL bado anachanja mbuga.
 
Unajua sheria ya uchaguzi inataka kiwango cha mwisho cha gharama za uchaguzi iwe sh ngapi? Unaropoka kama unaharisha.
kuna hesabu gani hapo sio halisi,mwaka huu gharama ndio zitashuka kidogo kuliko chaguzi tatu zilizo pita,na hata hivyo sheria ya uchaguzi haiwezi kufuatwa na CCM HILO LINAJURIKANA,hata hivyo wanapaswa kuwasilisha mchanganuo wa matumizi yote baada ya uchaguzi lakini hakuna kiwango cha mwisho cha matumizi halali kilichowekwa na sheria.
 

Chama pekee Tanzania ambacho kinapata billion plus kwenye ruzuku ni ccm

Kwa taarifa yako chadema hata Milion Mia mbili za ruzuku haifiki kwa mwez
 
Kwani chadema baada ya makusanyo imepungua ngapi ili tuchangie?
Namaanisha pesa ya ruzuku ukijumlisha na makato ya wabunge ya Kila mwezi jumla zipo ngapi?
Na makadirio ya gharama ya uchaguzi ilikuwa ni kiasi gani? Na imepungua ngapi?
Sio wanakuja na lugha za jumla jumla eti tuchangie. Hii imekuwa ni kawaida ya chadema kuomba michango kwa wananchi af mrejesho wa matumizi hatuambiwi.
Kwanza wananchi hatuna hela wao wenyewe Kila siku wanakiri hilo.
 

Kwani umeambiwa lazima kuchangia
 
kuchanga ni hiari sio lazima,pili chadema ni chama kilichoenea nchi nzima kina watumishi waajiriwa wa cha ukiacha gharama za uchaguzi pia kuna gharama za kukiendesha hiki chama kilicho fanyika ni kuwadhibiti watu wote na njia zingine zote ili vife kifo cha kawaida,UKATA, lakini cha ajabu watu wanajitolea kwa kila namna vyama vya upinzani visife,ole wetu tukubari CCM aviuwe vyama hivi tumekwisha Tanzania kama sasa ni hivi je CCM akibaki peke yake atatutenda yapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…