Nawaonea sana huruma dada zangu. Kipindi wapo umri 25, uzazi upo rahisi kwao, hawapati wanaume wa kuwaoa. Wakifika 30s wakiwa na vihela ndio wanaolewa

Nawaonea sana huruma dada zangu. Kipindi wapo umri 25, uzazi upo rahisi kwao, hawapati wanaume wa kuwaoa. Wakifika 30s wakiwa na vihela ndio wanaolewa

Miaka 20 kwa elimu ya bongi bado sana.. Akimaliza chuo yupo 23 tuseme kwanza yale mapenzi ya chuo mengi hayapelekei ndoa ni utapeli na uongo..
Msomi akimaliza anarudi home au anabaki town kusaka mishe sana sana ajira ili atumie ujuzi wake aliosoma.

Ndoa na kupata mtoto ni jambo zuri ila kila mtu atapafa kwa mda ,mwanamke hachakai kwa umri wala kushindwa kuzaa akiwa mtu mzimq...Clock ya mwanamke inategemea katumika vip mwanamke aliyeanza mapenzi mapema hapo kati kafanya mambo ya hovyo inawezekana katoa mimba mfano kuna moja ya msanii wa bongi hap ndio ulikuwa mtindo wake...

Mwanamke miaka 30's anazaa tena yupo kweny nafasi kubwa ya kupata watoto mapacha ...
 
sio kila mtu ana shida. mfano CEO wa NMB ana watoto watano. kwenye ndoa yake

Kuna wanaume wamejipata kiuchumi kila kitu kuanzia kwao tu walipozaliwa kuna makampuni.. sasa huyo nae akioa aogope kupata watoto wengi kisa shida
Hata km still Kuna watu Wana hela na hawapendi watt wengi
 
Hii mada haileweki, hapa unaongelea wanaopenda kulelewa ama? Yaani Mimi na akili na nguvu zangu nisubiri mwanamke apate hela ndio nimuoe? Huo ujinga siwezi fanya.
Habari wadau.

Ukweli maisha ya kisasa sio rafiki kabisa kwa dada zangu ama wanawake wote.

Wanawake wana biological age tofauti na wanaume.

Dada zangu wanamaliza elimu mapema wakiwa ealy 20s tu wameshamaliza masomo. Hapo wapo hot. Sura nzuri. Mayai ya uzazi yapo vizuri ukigusa tu mimba. Waoaji hawaonekani sababu kipindi hicho dada zangu wanakuwa hawana kipato cha kueleweka. Mwanamke Kuolewa mpaka awe na maisha ama kipato kizuri nowdays. Ama huyo dada atoke familia bora mambo safi ndio anaolewa haraka.

Dada zangu wanabaki wanasuburia huku umri unaenda mayai ya uzazi nayo yanazeeeka. Maana hawana hela ya ku ya freeze kama wazungu.

Dada zangu hao hao wakifika 30s kidogo kipato kimesimama simama. Ndio wanaume waoaji wanaibuka na kutaka kuwaoa. Dada zangu hawana hiyana wanaolewa.

Shida kwenye ndoa sasa wanaenda kukutana na lawama kwamba hawazai ama wakijitahidi wanazaa mtoto mmoja tu.

Mwanaume kama unataka familia watoto wengi kwa nini usimuoe dada yangu toka amemaliza chuo wakati yupo early 20s...

Hapo ungemchoka mwenyewe mpaka anafika 30s angekuwa ameshakuzalia watoto hata watatu. Na angekuzalia wengine in her 30s sababu uzazi umeshafunguka mapema kuendelea kuzaa sio ishu kwake

Kumuoa umechelewa mwenyewe halafu unampa lawama kwamba hazai watoto unaotaka.

Wanaume mjifunze wanawake wana biological clock.

Kama tunapenda watuzalie familia kubwa Tuwaoe mapema wakati mayai yao yana nguvu ealy 20s
View attachment 2890512

View attachment 2890483
View attachment 2890561
 
Miaka 20 kwa elimu ya bongi bado sana.. Akimaliza chuo yupo 23 tuseme kwanza yale mapenzi ya chuo mengi hayapelekei ndoa ni utapeli na uongo..
Msomi akimaliza anarudi home au anabaki town kusaka mishe sana sana ajira ili atumie ujuzi wake aliosoma.

Ndoa na kupata mtoto ni jambo zuri ila kila mtu atapafa kwa mda ,mwanamke hachakai kwa umri wala kushindwa kuzaa akiwa mtu mzimq...Clock ya mwanamke inategemea katumika vip mwanamke aliyeanza mapenzi mapema hapo kati kafanya mambo ya hovyo inawezekana katoa mimba mfano kuna moja ya msanii wa bongi hap ndio ulikuwa mtindo wake...

Mwanamke miaka 30's anazaa tena yupo kweny nafasi kubwa ya kupata watoto mapacha ...
Point. Komando Jide bado mbiichii
 
Tanzania wanawake wasomi tukipima kwa wale waliofika chuo kikuu. huwa wanahitimu shahada yao wakiwa na miaka 23.

shule ya msingi wanaanza na miaka 7 na wanamaliza msingi na miaka 13 ( tena hao kayumba, wale wa english medium la kwanza wanaanza mapema zaidi na miaka mitano ama sita )

form one wanaanza na miaka 14 na wanamaliza o level na miaka 18

form 5 wanaanza na miaka 18 na wanamaliza na miaka 19

chuo wanaanza na miaka 20 na wanamaliza na miaka 23 wale wa kozi ndefu kama udaktari ndio wanamaliza na 24 ama 25.

umri ni factor kubwa sana ya uzazi kwa mwanamke. utafiti wa kisayansi umethibitisha hilo

View attachment 2890519
Hao unaowasemea hapa,ni wale waliosoma bila shida km za kufeli, kurudia rudia,au kuunga unga ambao Wala sio wengi kulinganisha na Hawa wengine,umti huo wengi Bado sn
 
Hata km still Kuna watu Wana hela na hawapendi watt wengi

kwa wanaume akiwa na hela nyingi ama mali nyingi lazima atapenda kuwa na watoto wengi. maana wanaume tunaendeleza ukoo. watoto ndio msingi wa ukoo kuendelea.

ndoa bila watoto mwanaume anajiona kama hajakamilika
 
teknolojia zimekuja sababu kuu ni kulinda mayai ya mwanamke yasipoteze ubora maana wanajua umri unavyoenda yanapoteza quality yake. nchi zilizoendelea wanawake wasiotaka kuzaa mapema sababu ya career zao huwa wana freeze mayai yao kipindi wakiwa na umri mdogo. mfano binti wa miaka 25 akifreeze mayai yake . siku akifika miaka 40 anataka kuzaa anatumia mayai yake yale yale aliyoyafreeze akiwa na miaka 25.

View attachment 2890527
Aah huku bwana watu wanazaa tu bila hayo mambo
Watu Wana 50 Bado Wana breed🤣
 
Risk factors, kinachoongelewa sio ukomo wa kuzaa coz hata 40s wanazaa, wengine hadi 50s. Ila complications zinaongezeka kadri umri unavyosonga. Kama kuna chances ya kupata watoto ukiwa 20s na 30s ni vyema sana, unapunguza risks za mimba.
Unajua haya maisha bwana acha tukae kimya tu.
Watu wajue safari ya maisha haifanani!
 
Hii mada haileweki, hapa unaongelea wanaopenda kulelewa ama? Yaani Mimi na akili na nguvu zangu nisubiri mwanamke apate hela ndio nimuoe? Huo ujinga siwezi fanya.

wewe kama hujaelewa kaisome vizuri.

tunaongela uhalisia wa maisha ya kisasa ulivyo. waoaji wengi wanaoa wanawake kwa kutazama uchumi wao nowdays.

nenda katazame page za ma MC utaona ndoa nyingi za kisasa zilivyo. mabibi harusi ni wale wanawake waliojipata
 
Hakuna mwanamke wa miaka 25 kushuka chini ana kosa mwanaume wa kumuoa. Ni vile ukiwafata wanajikuta wana ndoto zao za kuzipambania ambazo hazina mashiko kabisa
 
kwa wanaume akiwa na hela nyingi ama mali nyingi lazima atapenda kuwa na watoto wengi. maana wanaume tunaendeleza ukoo. watoto ndio msingi wa ukoo kuendelea.

ndoa bila watoto mwanaume anajiona kama hajakamilika
Sio wote mkuu
Nina mifano kibao
 
Aah huku bwana watu wanazaa tu bila hayo mambo
Watu Wana 50 Bado Wana breed🤣

miaka 50 watu wanazaa ndio. ili watazame hao watu first born wao walimzaa wakiwa na umri gani.

mfano Zari wa diamond ni mkubwa ila hata leo akitaka mtoto mimba anapata haraka. sababu alishaanza kuzaa toka akiwa early 20s. kizazi chake kimeshachangamshwa zamani. ( mfumo wa uzazi umeshazoea mimba)

first born anashauriwa sana kuzaliwa mapema
 
Back
Top Bottom