Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

Uasili wetu tulikuwa hatuvai nguo kama hivi ilikuwa ni lubega tu wanawake wanajifunga nguo kifuani tu kwahiyo unaposema uasili sikuelewi kabisa
 
Wakwangu avae tu japo sijawahi kumuona akivaa ila anayo anasemaga mpka itokee emergency ndio atavaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
Kama kitu hakikupunguzii kitu na sio dhambi hakikupi shida, sasa ungekuwa ulisha mwambia siyataki hayo makitu ungeona anavyosononeka!
 
Hivi unazani wanao olewa ni wale wasio vaa mawingi? Au wewe upo kijijini sana au Ndiyo umeingia mjini! Hivi hujawahi ona mtu anaolewa au anaoa mpaka watu wanashangaa unachukua huyo mtawezana, na wanashangaa wanazeeka wote, kwa taarifa yako habari za kuolewa kwa mwanamke ni bahati kuna wanawake anaweza olewa hata mara 3 anaachika lakini waliotulia hata wakumwambia njoo hata unifulie nguo hakuna, kama unamawazo hayo pole sana!
 
Hao wavaa mawigi ndiyo wanao wafirisi kila siku, wake zao kazi kunuka vikwapa tu ila huko nje wanahudumia tu
 
Uasili wetu tulikuwa hatuvai nguo kama hivi ilikuwa ni lubega tu wanawake wanajifunga nguo kifuani tu kwahiyo unaposema uasili sikuelewi kabisa


Ni majumuisho ya mwanamke kuvaa mavazi ya kike yenye staha na nadhifu.

Kuchana nywele vizuri na kawaida
Kusuka nywele au kubana bila kuzibleach.

Kuepuka kutumia mafuta yenye kuchubua ngazi au kuwa na kemikali kali ambazo ni hatari kiafya.

N.k
 
Hivi nikija kwako from nowhere nikakwambia, β€œwewe sio mwarabuβ€œ, wakati wala hujasema kwamba wewe ni mwarabu, utajibu nini zaidi ya kuuliza na wewe β€œkwani nimesema mimi ni mwarabu?” ?
Nikusaidie kumjibu, wanavaa kwa ajili ya wanawake na hata kujichubua huwa wanajibua wapendwe na wanawake.
 
Wewe huna nywele zako za asili mpaka uvae hayo madude.
Jiamini....hakuna mtu mbaya duniani.
 
Nawaambia huu ukweli ambao pengine mwanaume wako anashindwa kukwambia labda kutokana na kuhofia utajisikia vibaya.

Ila aminini hili kuanzia leo, mwanamke akivaa wigi anakua takataka kabisa, sijui kwanini, ila huo ndio ukweli.
mkuu mi mmoja wapo siyapendi mawigi, lakini nilikuja pata sababu kwa mpenzi wangu aliniambia kua na nywele natural tena ziwe nyingi inakua ngumu kuzihandle dawa, kuchana kila ahsubuhi, kufunga zikae vizuri kila mda, hvyo basi inampelekea kuvaa wigi ili iwe ni kupaka mafuta na kuondoka.
 
Wanaume washamba huhangaika na Mambo ya wanawake Sana Mara wigi vile Mara kile mpaka kero, na hao wasiovaa mawigi na wahuni wengi ndio wameolewa kuliko wanaojiacha rafu
 
Wanaume washamba huhangaika na Mambo ya wanawake Sana Mara wigi vile Mara kile mpaka kero, na hao wasiovaa mawigi na wahuni wengi ndio wameolewa kuliko wanaojiacha rafu
Hapo ndipo pakujiuliza, na wale wanao ongea sana huko majumbani kwao uwiiiii huwa ni aibu

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
....afu Wavaa mawigi wengi ni wachafu hawaoshi vichwa vyao..Akilivua kama upo karibu na miharufu ile ya mijasho plus mavipodozi wanayopaka utatamani ukimbie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…