Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

Mimi sipendi kope za bandia jamani khaaaa


Nitavumilia mawigi ila kope za bandia na makucha marefuuu sana kama jini siyapendagi
 
Hao hao wanaume ndiyo wanao wapa pesa ya kununulia, na kibaya zaidi mke nyumbani anakatazwa lakini huko nje gharama zinatolewa za kununulia mawigi
Ndio maaana anaonekana kama takataka....USELESS...Ila hawezi kumfanya takataka mkewe ndio hampi
 
Pole,pacha wa RIHANA( bila wigi huwez tembea,bila WiFi komwe halifichiki)... Jikubali acha komwe lionekane
 
Hii noma sana mkuu hayo yametokea wapi hukoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tatizo linakuja kwamba si kila anaevaa wig anapendezea ni kama yana wenyewe yale kuna wanaovaa wakapendeza
lakini kuna mengine hukaa baboon
 
tatizo linakuja kwamba si kila anaevaa wig anapendezea ni kama yana wenyewe yale kuna wanaovaa wakapendeza
lakini kuna mengine hukaa baboon
Kutopendeza si wigi tu hata nguo zakawaida kuna wengine huwa utazani kavalishwa hippo au mti umevalishwa, hivyo ni maumbile tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…