Uchaguzi 2020 Nawashauri CHADEMA wamtulize kwa sasa Tundu Lissu aache kufanya mashambulizi makali kwa Rais Magufuli

Uchaguzi 2020 Nawashauri CHADEMA wamtulize kwa sasa Tundu Lissu aache kufanya mashambulizi makali kwa Rais Magufuli

Lisu ni sawa na mwanamke anayetoa nje siri ya ndani ya nyumba.. Ameichafua sana nchi huko Ulaya na Marekani, hovyo kabisa, haifai hata kuwa balozi wa nyumba 10!!

Uko nje ya mada Mkubwa....!

Hapo anazungumza akiwa Dodoma, Tanzania siyo Kenya wala Malawi....
 
Huyo mwenye hoja ya ulaghai na upotoshaji. Eti anataka kupotosha ukweli kuwa tunapingana na mabeberu wakati tuna wahitaji.

Mh JPM hili kaliweka wazi mahusiano yetu na mabeberu yawe ni wini wini sio yale ya kudanganywa au kulazimishiwa ushoga.

Katika hili Lissu kapotosha, yeye mwaka 2020 anataka mahusiano yale ya 1970 ya kusaidiwa unga wa yanga? AMA yale ya kupewa vyandaru huku mkiangalia dhahabu ikiondoka kama makanikia?

Ushauri wa bure kwa wapinzani hotuba zenu mkifikiri kubeza mambo ya maendeleo yaliyofanywa na serikali ya CCM awamu hii mtaishia kuonekana kichekesho kwa walio wengi.

Saa nyingine unabaki kushangaa akili za cdm na viongozi wao. Mara tu wamesahau CCM walikuwa wanaogopa kuvaa hata sare zao, leo hii cdm ndio wanawaita rangi ya migomba. Wivu wao wakiona jinsi kila mwanaccm anavyojivunia sare za chama chake. Hili nalo halitoshi kuwapa ujumbe?
 
Leo kashambulia kwahiyo kalipa jisasi cha kupigwa.

Namsikia Msigwa anamsaidia point.

Sijui jimboni kwake alifanya nini, kama alifuta ushuru jimboni mbona watu wake maskini wa kutupa.
 
Haikua hotuba bali ni TUHUMA na mtuhumiwa yoyote hana jinai hadi atakapo patikana na kosa ..
Nasubiri wakati atakaposema ataifanyiavnini Tanzania ambacho Jpm hawezi kufanya ili sisi wapiga kura tuamue..

But ni kwambie ukweli kama hotuba zake ndio zitakua hivi hatapata asilimia 10 ya kura zote.
Kwani hayo anayosema atayafuta Kama alivyofanya singida Mashariki umesikia anasema atayafanya kwenye nchi gani mkuu? Au wewe ndo wale wa ndege ni maendeleo
 
Kuna watu wanasema Lisu anafanya personal attack, mkae mkijua, huu siyo muda was kutangaza ilani, ukifanya hivyo umeanza Kampeni, hivyo wanakwepa huo mtego, kingine, kea aina ya uchunguzi mwaka huu, njia ya jino kwa jino ndo imetawala, najua hata hiyo video clip wakubwa hawakutaka isikike, maana walichowafanyia leo, Mungu tu ndo anajua, kusema ukweli Lisu alitrend asubuhi tu ila Kwenye hafla yao hawakusikika hata kidogo, hiyo Ni rafu, jinsi ya kuikabili,Ni pale wapinzani wakipata chance nikufoka tu Hakuna kusema personal attack, mpaka waombe Pooh!!!
 
Leo kashambulia kwahiyo kalipa jisasi cha kupigwa.

Namsikia Msigwa anamsaidia point.

Sijui jimboni kwake alifanya nini, kama alifuta ushuru jimboni mbona watu wake maskini wa kutupa.

..ukisikia Magufuli anafuta michango ujue anamuiga Tundu Lissu.

..Magufuli akiwa waziri alikuwa akitamani kuwa jasiri kama Tundu Lissu, ili ilibidi apambanie tumbo kwanza.
 
Haikua hotuba bali ni TUHUMA na mtuhumiwa yoyote hana jinai hadi atakapo patikana na kosa ..
Nasubiri wakati atakaposema ataifanyiavnini Tanzania ambacho Jpm hawezi kufanya ili sisi wapiga kura tuamue..

But ni kwambie ukweli kama hotuba zake ndio zitakua hivi hatapata asilimia 10 ya kura zote.
Wewe usimpangie namna ya kuongea kila mgombea anakuja kivyake na watanzania wameamka hawapo kama wewe watampa kura usifikiri wengine wanaendelea kukariri zidumu fikra za zisizo sahihi za mwenyekiti wa CCM
 
Back
Top Bottom