Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Salale pole sana!!!! tanga hapa joto Ni kali je huwa unavaa nguo za ndani mbichi au ambazo si za cotton material mana nazo huleta muwasho.View attachment 1452915hyo ndo hali yangu jaman
Pima HIV!Kwkeli sijakalia figa lolote ilianza kam vipele vipo round vdog dogo sana
hayo ni mapaja au ni nn dada ? pole sanaaView attachment 1452915hyo ndo hali yangu jaman
Pole sana. Kama utatumia kwa muda mrefu dawa ambazo wachangiaji wamekuelekeza naomba ukacheki tatizo la ngozi ugojwa uitwao "Lichen Planus" na takuunganisha na Dr mmoja yuko KCMC ndugu yangu alisumbuka sana lakini wazazi walimpeleka na ameshapona japo kila kitu walinishirikisha nikiwa mbali kutafuta maishaView attachment 1452915hyo ndo hali yangu jaman
Soma Tinea VersicolorView attachment 1452915hyo ndo hali yangu jaman
Kwenye maradhi unaona zigo?Pole sana mrembo, ujaaliwe uipate tiba jamani ulivyo na zigo naelewa unajisikia vibaya kweli kweli ila utapona
Hii loratadine si dawa ya allergy?Mpaka nimemaliza dawa zinaitwa loratadine juzi ambazo nimemeza mwezi mzim na bdo hakuna nafuu
Pole sana mkuuView attachment 1452915hyo ndo hali yangu jaman
Kimekuuma?
Jaribu kumuulizia hayo majani mkuu ili umuelekeze pengine yatamsaidia piafatma pole sana.mi nilikuwa na tatizo kama lako miaka miwil imepita tena bora hata ww (nmeangalia pcha ulotuma)Mimi ilikuw jua tu likiwaka mwili ukianza kupata joto nawashwa hadi damu inatoka...
Unatumia vipodozi vya kujichubua au ulishawahi kutumia?View attachment 1452915hyo ndo hali yangu jaman
Nenda ALT clinic ya "homoepathy treatment", iko ShekilangoKila nkiend wananiambia ni ugonjwa wa ngozi hata walifikiri nimepata kaswendwe lakini nilipima sina na wala ukimwi sina
Tuwekee picha itarahisisha kukupa ushauri fasahaKwkeli sijakalia figa lolote ilianza kam vipele vipo round vdog dogo sana
Mbona ameweka hujaona mkuuUzi bila picha ni polojo tu
Imeisha hiyoo