Nawashwa sana kwenye makalio, nimetumia SKDERM Cream bila mafanikio

Mda mwingine ni minyoo
 
Pole 😢 na imagine una vyojikuna🤣
Ila kujikuna panapowasha raha
 
Uje bhasi nikuonyeshe eeeh.
Uje bhasi eti eeh.
Ushaskia mwanaume tako lazima liwe na nywele kama unapulizia Supergrow.
Si unionyeshe tu hapa jamani mpaka nifunge safari kuja tu kuona makebo 😒
 
Zaidi usiku ndio nawashwa sana wakuu.

Halafu hakuna vipele wala redness.

Nisaidieni dawa maana makebo yanaungua wakuu
Mafuta ya nazi pia yanasaidia,ukioga jikaushe upake mafuta ya nazi! Upate yale quality,Mimi nilikuwa na miwasho kwenye pumbu,nilikuwa nikioga baada ya kujikausha napaka mafuta ya Nazi, mengine nayasugulia pia kwenye zakari ipate kuwa stable zaidi!

Kuna dawa dukani inaitwa DEZOR, ya tube,nunua pia upake! Kunywa na vidonge aina ya fluconazol..
 
Hakikisha ukioga unafuta maji maji vizuri na kila siku tumia taulo safi na kavu,na ukinya ukimaliza kutawadha futa matako na taulo kavu.Vaa chupi za cotton tu,na kila siku vaa chupi safi,na usirudie chupi kila siku hiyohiyo
Umempa ushauri mzuri mkuu..ni tiba tosha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…