Hata humu madaktari wapo,tena wengine wapo kwenye hizo hospital kubwa! Tupo nao humu! Mimi nilikuwaga na shida ya vidonda vya tumbo (ulcers) kuna dawa ya majani niliijulia humu,na leo ni mukozi kwangu kiasi fulani! Acha mengine mengi tu ya kiafya nimenufaika kupitia JF, kumbuka pia mficha maradhi kifo kitamuumbua......Kikawaida mambo yanayohusu Afya yako ni busara kukutana na wataalam wabobezi na sio kuulizauliza watu hata wasiojua ABC za mwili na magonjwa
Hata humu madaktari wapo,tena wengine wapo kwenye hizo hospital kubwa! Tupo nao humu! Mimi nilikuwaga na shida ya vidonda vya tumbo (ulcers) kuna dawa ya majani niliijulia humu,na leo ni mukozi kwangu kiasi fulani! Acha mengine mengi tu ya kiafya nimenufaika kupitia JF, kumbuka pia mficha maradhi kifo kitamuumbua......
Platinamu memba🤔🤔Uchukue Gunzi Ujikune
Minyoo hao Mkuuu. Tumia dawa uje unishukuruZaidi usiku ndio nawashwa sana wakuu.
Halafu hakuna vipele wala redness.
Nisaidieni dawa maana makebo yanaungua wakuu
Seran soma aya ya kwanza🤣🤣Hilo neno Makebu, nimelisoma mara nyingi humu bila kuelewa maana yake 🙌
Je una mabadirisha nguo zako za ndani kwa wakati, sisi wanaume tuna matatizo ya kuwa na nguo chache za ndani (chupi/boksa) hivyo kupelekea baadhi yetu kurudia hizo nguo pasipo kuzifua na kuzinyoosha pasi.
Nenda hospitali wachukue kipimo cha damu, huenda una fangasi, mzio ama mchafuko tu wadamu
🤣🤣🤣Kumbe Wajukuu wanajua maana ya makebu na hawatuambii Babu zao 🤭
Kusema kweli nilikuwa sijui maana yake, labda kutokana na umri Mkubwa nilionao 🤗
Kumbe Wajukuu wanajua maana ya makebu na hawatuambii Babu zao 🤭
Kusema kweli nilikuwa sijui maana yake, labda kutokana na umri Mkubwa nilionao 🤗
He’s a man!😳Kama mwanaume wako hua anakumwagia matakoni inawezekana una allergy
Oops 😬 kwenye maelezo hakutaja jinsia.He’s a man!😳
SawaSasa minyoo.jamani ndiyo uwashwe kalio? Ingekuwa minyoo ingekuwa inachomachoma kwenye shithole!
Anyoe mkuu asije akatembea na chenga chenga. Acheni upotoshaji. Mtoa mada jipende tu hawa wanaotoa ushauri wa ajabu ajabu hapa ni wakala wa shetaniNi kweli kunyoa nyele za kwenye matako au zile zinazozunguka tundu la haja kubwa ni hatari mno kwa afya ya binadamu
Nywele Mungu ameziweka kwa kazi maalumu,kinachotakiwa ni usafi tuAnyoe mkuu asije akatembea na chenga chenga. Acheni upotoshaji. Mtoa mada jipende tu hawa wanaotoa ushauri wa ajabu ajabu hapa ni wakala wa shetani
Acha upotoshaj mkuu hiyo sio sababu, zinatakiwa zinyoleweNywele Mungu ameziweka kwa kazi maalumu,kinachotakiwa ni usafi tu