Nawashwa sana kwenye makalio, nimetumia SKDERM Cream bila mafanikio

Exactly
 
Ni kweli kunyoa nyele za kwenye matako au zile zinazozunguka tundu la haja kubwa ni hatari mno kwa afya ya binadamu

Ndio maana mambo mengine huwa hayafundishwi darasani. Unaanzaje kunyoa nywele za matako?
Zinasaidia sana kupunguza sauti ya ushuuz hasa pale unapojamba hadharani
 
Pima choo na damu.
Mara nyingi minyoo huweza kuleta hii shida au damu inapochafuka.
Huduma ya kwanza.
Tumia mchunga/ wild lettuce kuchemsha, kunywa kikombe cha nusu lita mara 2/ day. Na mengine uoge au huoshe eneo husika lenye tatizo bila kufuta / acha maji yakaukie.
 
Yaani mwanaume mzima umejifungia mlango uchi chumbani eti unajipaka mafuta? seriously!!
 
Ni minyoo hiyo inatibika ingawa ni hyper infection syndrome
 
Zaidi usiku ndio nawashwa sana wakuu.

Halafu hakuna vipele wala redness.

Nisaidieni dawa maana makebo yanaungua wakuu
Sema ukweli usaidiwe.

Unawashwa kwenye anus.

Na hiyo inasababishwa na parasite anaitwa Enterobius Vermicularis.

Kafanye stool analysis utamkuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…