Nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar

Sasa huo unyonge wazanzibar wanataka ufike mwisho.
 
Watu wamekita mizizi yao huko, wanaondokaje? Utawapokea wewe uwape cha kufanya?
Unakita mizizi kwenye nchi ya watu? Ukijenga nyumba ndani ya meta 60 za barabara, ukibomolewa utasema umeonewa? Huwezi kuweka mizizi kwenye nchi ya watu. Utakuwa hujui kuwa hujui.

Unashindwa kukita mizizi nchini kwako unaenda kuikita nje ya nchi? Si mwehu wewe?
 
Na wanzazibar nao warudishe kwao
 
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Zanzibar
 
Kitu cha msingi huyu maza aneza fanya kwenye huu utawala wake batili ni kuuvunja huu muungano.
 
Sehemu kubwa ya tatizo hili chanzo chake ni Kikwete! Ni tatizo la uongozi!
 
Zanzibar haikuomba Muungano na wala haikuwahi na haijawahi kuwa na shida nao,,, Hizo ndo gharama za Tanganyika kuutaka Muungano,, uvumilivu unahitajika..

Kizuri gharama...
Mkuu ina maana unataka kusema kwamba Tanganyika na Zanzibar zimeungana kama mke na mume---kwamba Tanganyika (mume) ndiye aliyeomba muungano na Zanzibar (mke). Kwa hiyo mume anapaswa kuvumilia tabia za mke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…