SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
Haswaaaaa...Mkuu ina maana unataka kusema kwamba Tanganyika na Zanzibar zimeungana kama mke na mume---kwamba Tanganyika (mume) ndiye aliyeomba muungano na Zanzibar (mke). Kwa hiyo mume anapaswa kuvumilia tabia za mke?
Sasa wewe mwenyewe mbona hutetei rasilimali za Watanganyika kama wanavyotetea wazanzibari hebu onyesha mfano kwa vitendo, kulalamika humu hakusaidii. Kinachotakiwa ni vitendo, Watanganyika ni hodari kuloloma tu lakini kwenye vitendo ni sifuri, hata Malawi wametuzidi tumekuwa kama Waganda!Watanganyika wamegeuka kuwa oombaomba ndani ya nchi ya Zanzibar. Kama wazanzibar hawawataki katika nchi yao si muondoke? Kwanini mnang'ang'ania kukaa katika nchi ya watu kwa lazima? Mnasubiri mpaka wazanzibar waanze kuwaua kama inavyofanyika kule Afrika Kusini ndipo mng'oke kutoka huko? Ondokeni kwa hiyari jamani.
Kwa mujibu wa sheria, Zanzibar ni nchi huru (Jamhuri ya watu wa Zanzibar). Unapoingia nchini Zanzibar lazima ufuate sheria na taratibu za Zanzibar. Vilevile, Zanzibar ni nchi ya kiislamu. Wakati wa mfungo wa mwezi wa ramadhan, watanganyika wanaoishi Zanzibar hucharazwa bakora hadharani pindi wakikutwa wanakula. Vipigo hivi ni kwa mujibu wa sheria za nchi ya Zanzibar na haviepukiki. Kama kuna mtanganyika ataona anaonewa anaruhusiwa kurudi nchini kwao Tanganyika. Ukikaa nchi ya watu sharti uishi kwa adabu na kwa kufuata sheria.
Watanganyika ambao hawana kitambusho cha mzanzibar mkaazi, ni wahamiaji haramu kama walivyo wahamiaji haramu wengine. Hata ukiishi kwa kujifichaficha siku ukikamatwa utafurushwa bila shuruti.
MAONI YANGU
Watanganyika mnaoishi Zanzibar kinyume cha utaratibu na bila kuwa na nyaraka muhimu, nawashauri mrudi nchini kwenu bila kuleta taharuki yoyote katika nchi ya watu. Huwezi kushupaza shingo ukitaka uendelee kukaa nchi ya watu wakati hutakiwi. Napenda kuweka wazi kuwa mimi tpaul nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar warudi nchini kwao Tanganyika. Hawana kosa lolote bali wanatetea rasilimali za nchi yao kwa kuwaondoa wahamiaji haramu ambao wamerundikana katika nchi yao pendwa bila sababu za msingi na kinyume cha sheria. Kama watanganyika hawataki kuondoka kwa hiyari, wapigwe tu, hakuna namna!
Nawasilisha.
Pia soma: Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!
Alijenga mizizi ya majungu na makundi ndani ya CCM, na hivyo kuanzisha fikra za "sisi dhidi yao."Mchango wa Kikwete ni nini mkuu?
Every action has reaction, the mirror image rule!!Kumbe hii sasa ni kama biashara mkuu? You buy for a shilling and sell for two and your profit is made.
Kabla ya huo muungano walikua wanaishi vipi ?Hiyo nchi kuiita nchi ni ukosefu wa uelewa, hao wazenji unakuta Baba anatoka Yemen na Mama kwao Mkuranga au Kilwa Masoko.
Hawana jeuri ya kujitegemea kama wanavyoongea kwani hawana ardhi yenye kuwatosha kufanya wanavyojisikia.
Mengine ni hisia zinazosambazwa mitandaoni, lakini mzenji mwenye akili timamu hawezi hata kufikiria kuhusu Zanzibar kujitegemea.
Hayo mtayazungumza baada kurudi kwenye Tanganyika. Mungu kawajaalia hivyo , ndiyo mkae muelewaneIpo siku mtafikia kusema kila kabila likae/liishi kwenye mkoa wake.
Wewe ni lini ulitetea hizo rasilimali za Tanganyika mkuu?Sasa wewe mwenyewe mbona hutetei rasilimali za Watanganyika kama wanavyotetea wazanzibari hebu onyesha mfano kwa vitendo, kulalamika humu hakusaidii. Kinachotakiwa ni vitendo, Watanganyika ni hodari kuloloma tu lakini kwenye vitendo ni sifuri, hata Malawi wametuzidi tumekuwa kama Waganda!
WapoMpwapwa_Dodoma,Itigi_Singida hao Wazanzibar!Huko juu umeandika vizuri ila hapa kwenye kumalizia umekosea mkuu, sio lazima mpaka watu wapigane ndio wapate suluhisho sisi huku mboni wapo wazanzibari wengi jirani ninapokaa kuna wazanzibari wanaishi vizuri tu na hatujawahi kuwabagua hata kidogo wana nyumba yao nzuri tu sasa tukianza mambo haya itakuaje huku hawaioni hatari hio tukiamua na sisi kujibu unafikiri vilio vitakua kiasi gani?
Km hawana nyaraka si wapewe utaratibu wa jinsi ya kuzipata na sio vinginevyo km wakishindwa ndio hatua ya kuwarudisha ifuate ila sio kuwafanyia fujo
Tanganyika aliinyonga Nyerere. Hivi Sasa ni MarehemuHakuna kuelewana hapo; rudi nchini kwenu Tanganyika.
Sawasawa na wale waliosoma na kugundua huo ulaghai akawafitini kwa Karume kuwa wanataka kumpindua. Kama Othman Sharif, Hanga na wengine wengi . Wakauliwa hata makaburi Yako hayajulijani yako wapiLakini ukiangalia kwa jicho la tatu utaona kuwa Nyerere alimlaghai Karume big time. Alitumia udhaifu wa Karume kutokwenda shule kuigeuza Zanzibar kuwa koloni la Tanganyika.
Hawa wote uliowataja waliuliwa kwa ushauri na msaada wa Nyerere mkuu.Sawasawa na wale waliosoma na kugundua huo ulaghai akawafitini kwa Karume kuwa wanataka kumpindua. Kama Othman Sharif, Hanga na wengine wengi . Wakauliwa hata makaburi Yako hayajulijani yako wapi
SawasawaHawa wote uliowataja waliuliwa kwa ushauri na msaada wa Nyerere mkuu.
Mkuu sina haja ya kutetea sababu nimejifunza kutoka kwa Haraka Haraka, Watanganyika sio wa kuwaamini.Wewe ni lini ulitetea hizo rasilimali za Tanganyika mkuu?
Mkuu hivyo sivyo kabisa. ZanID inatolewa kwa wakaazi. Kuna Wazanzibari wapo Zanzibar hivi sasa na hawajapewa ZanID na wamezaliwa Zanzibar, sikuambii waliopo Bara. Kwahivyo si kweli kwamba kama huna hicho kitambulisho wewe ni mhamiaji haramu. Pia nikukumbushe kuwa swala la uhamiaji ni swala la muungano na lipo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani.Watanganyika ambao hawana kitambusho cha mzanzibar mkaazi, ni wahamiaji haramu kama walivyo wahamiaji haramu wengine. Hata ukiishi kwa kujifichaficha siku ukikamatwa utafurushwa bila shuruti.