Nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar

Kila mtu kwao , watu wanapenda sana shobo na sehemu za watu .
 
SASA kama ndivyo,ni kwanini ziwepo hizo ZanID?kwanin tusitumie NIDA pekee?
 
Ukisoma katiba ya JMT, Act of the Union na Articles of the Union utaelewa ni kwanini. Jiongeze

Ingekuwa vyema ungeiweka hiyo article!!!mi mkulima wa korosho Masasi huku achilia mbali kuisoma hiyo katiba hata rangi yake tu siijui!

Vip hilo likatiba ndiyo linawapa uhalali wazanzibar kuwa na kitambulisho Chao Cha Taifa mbali na NIDA?Je pia likatiba linasemaje kuhusu nasi WATANGANYIKA kuwa na id yetu?

Naomba unisaidie kuattach PDF ya katiba ya TANZANIA niipitie kidogo,maana nmekuwa nikiitafuta bila mafanikio,Asante.
 
Vip hilo likatiba ndiyo linawapa uhalali wazanzibar kuwa na kitambulisho Chao Cha Taifa mbali na NIDA?Je pia likatiba linasemaje kuhusu nasi WATANGANYIKA kuwa na id yetu?
Inatambua kuwepo kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye Rais na chombo cha kutunga Sheria (BLW) na mahakama. Ikiwa inatambua hilo kama inavyotambua JMT ambayo imetoa NIDA na Zanzibar inayo mamlaka ya kutos ZanID.
Naomba unisaidie kuattach PDF ya katiba ya TANZANIA niipitie kidogo,maana nmekuwa nikiitafuta bila mafanikio,Asante.
Sifanyo kazi hiyo. Ingia mtandaoni, tafuta katiba ya Tanzania ya 1977.
 
Mkuu sina haja ya kutetea sababu nimejifunza kutoka kwa Haraka Haraka, Watanganyika sio wa kuwaamini.
Kwa hiyo umeamua kujitoa sadaka kwa wazanzibar at the expense ya watanganyika mkuu?
 
Inatambua kuwepo kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye Rais na chombo cha kutunga Sheria (BLW) na mahakama. Ikiwa inatambua hilo kama inavyotambua JMT ambayo imetoa NIDA na Zanzibar inayo mamlaka ya kutos ZanID.
Mkuu unataka kuniambia kwamba wazanzibar wote wana uraia pacha (dual citizenship)?
 
Mkuu unataka kuniambia kwamba wazanzibar wote wana uraia pacha (dual citizenship)?
Haiko hivyo. Tanzania ni uraia mmoja na ni katika mambo ya muungano tokea awali. ZanID si kitambulisho/kadi cha uraia. Kinaitwa kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi. Hivyo hakuna swala la uraia pacha. Hapa Tanzania hakuna dual citizenship.
 
Hakuna raia wa Zanzibar mkuu? Zanzibar ni nchi au sio nchi?
 
Kwa hiyo umeamua kujitoa sadaka kwa wazanzibar at the expense ya watanganyika mkuu?
Hapana sijajitoa sadaka ni akina Madelu na timu yake ndio wamejitoa sadaka, ila kumbuka tu kuwa hakuna kisicho na mwisho na kwa muovu ambaye amewasaliti ndugu zake mwisho wake ni mbaya atakuwa hana pa kuchutuma.
 
Tanganyika kuna idadi kubwa ya wazanzibar wanaoishi na kufanya biashara kuliko hata waliopo Zanzibar,
huu ujinga wa kuwaona watanganyika kuwa ni mzigo Zanzibar yafaa ukemewe haraka kwani siku watanganyika wakianza kuwaiga upumbavu wenu ujue itakuwa majanga kwani wazanzibar waliopo Tanganyika ni wengi kuliko hata waliopo Zanzibar
 
Wafukuzwe tu, sisi ni nchi mbili tofauti(japo Watanganyika baadhi tunaukataa Utanganyika wetu) na kama hawatutaki kwao solution ni kuondoka tu, mtu kwao.
Sasa wazanzibar waliopo bara Tanganyika nao wafukuzwe?
 
Watanganyika wakiamua kuiga Upumbavu wa wazanzibar wawafukuze wazanzibar waliopo Tanganyika watakosa pa kwenda kwani kwa idadi ni wengi sana hata wakirejea Zanzibar hapatoshi kisiwa ni kidogo
 
Nipo na Wazanzibar kwenye hilo,,,, fukuza hizo nyumbu ,, fukuza kabisa..
Upumbavu wako hauna kiwango ni upumbavu wa kutisha sana, sasa watanganyika nao wakiiga upumbavu wako waanze kuwafukuza wazanzibar toka Tanganyika Nchi itakuwa na Amani?
 
Tanganyika kuna idadi kubwa ya wazanzibar kuliko watanganyika waliopo Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…