Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

Wazungu wakivuna Wanyama husikii cha Mzalendo hata mmoja akiumia kwa uchungu.



Ila Mwarabu wa Loliondo anamwagiwa mapovu kama yote.
 
Pangechimbika hapa!
 
Taja vipengele vyenye mapungufu mkataba wa SGR na JNHPP ili tuanzie hapo. Nje ya hapo ni kutafuta kubalance story kwa mgongo wa dini
 
Hao uliowataja wanajenga wanaondoka.

Hatutaki watu waje watie nanga bandarini milele, hiyo bandari ni yetu siyo ya waarabu
 
Unauliza au unajipa majibu,yaani unatuuliza kuhusu kuanza kwa SGR morogoro ?

hilo swali lilitakiwa liwe hivi

Mpaka sasa SGR (moro dar moro) imekwama kuanza tangu mwendazake alivoiacha.
 
Akhsante baba hii mijitu inashabikia Kama inakufa kesho na shine zao.Inajisahau Ina watoto na vitukuu ambao ndiyo watateseka
 
Huna akili!
 
kushindwa kuhuishwa au kuongezwa hii sentence unaielewaje?
 
Acha kulinganisha mapera na mananasi
 
Hivi unajijua wee Ni Kilaza ? Yaan Haina usmart wowote kichwan.

Bichwa lako umelijaza uislam.

Kibaya zaidi ndio unazeeka, Haina nafasi ya kurekebisha,

Wenye Akili Huwa wakizeeka, akili inazidi kuimarika.


Vilaza wakizeeka ndo wanazidi kua Wajinga kweli kweli.



Ona kama wee, Hauna tofauti na jamaa anajiita Lucas , kwann?.

Vichwa vyenu ni aina ya vichwa vya Akina Nape, Makamba, Kibajaji ,, ni wale watu waongeaji lakini watupu kichwan ,weupeee, huwa hawawezi kuongea Kwa facts na logic , Bali wao wanaongea mambo mepesi kiujumla.


Ndio Sababu vichwa vya habari bya nyuzi zenu humu vinafanana 100%..

Utasikia..."Rais Samia aendelea kuwafurahisha Watanzania....... Lkn humo ndan huelezi ni Kwa namna gan kawafurahisha.


Rais Samia ni Kipenzi Cha Watanzania...

Rais Saini aipaishaaa Nchi !!.



Nchi hii, iliwahi pata Marais Watatu tu, Nyerere, Mkapa, Magufuli.



Sijui kwann ,Marais Waislam huwa wanalitumbukiza Taifa kwenye mambo ya hovyo hovyo !!.

Ndio maana Mimi hata Urafiki, Siamin katika urafiki na Muislam.


SSS huyu Suala la Uwezo wake Mdogo wa Akili liko wazi na linajidhihirisha kwenye Safari yake ya Elimu, kuunga unga Sanaa, na aliunga Kwa sababu tu alikua anafeli feli na alifeli sababu ya Udogo wa akili... Huo ndio ukweli!!.

Ni vile kaokota Embe kwenye mnazi, matokeo yake, Uongozi umekua mkuuuubwa kumshinda, kajikuta anaogelea ogelea....la DP world, Mikumi, Ufisadi na yanayoendeleaa nchinj, yanathibitisha tuna mtu wa aina gani.


Hata Ivo 2025, hayupo.
 
Hiki nacho mojawapo ya kioja kututoa kwenye hoja ya kubadili vpengele vichache
 

Njooo hapa acha kupotosha watu bila hivyo pepo utaisikia tu hakika mbinguni hufiki
 
Safi sana, Mkataba una shida gani? Nahamisha hili swali langu kwenye uzi wenye mkataba ili unioneshe vifungu vyenye matatizo.
Basi wewe utakuwa ama kipofu, ama hufundishiki.

Vifungu vyenye matatizo watu wamevitaja tangu siku ya kwanza. TLS wameorodhesha vyote, wakaweka na ushauri, wakakueleza na madhara ya kila kimoja. Kama hujaelewa mpaka sasa, basi wewe huwezi kuelewa chochote milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…