Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ndio kwanza limeiva.....hili haliishi haraka hivyoLa bandari liishe mara ngapi?
Cheza na mama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kwanza limeiva.....hili haliishi haraka hivyoLa bandari liishe mara ngapi?
Cheza na mama?
Hamna hoja mwisho tutasema mnamuonea wivu kwa sababu kawa rais.Kauza bandari poor us
Mama anaupiga mwingi.La bandari liishe mara ngapi?
Cheza na mama?
Maneno hayo yanaitaka Serikali kuhuisha (renew) au kuongezewa muda (extend) vibali ambavyo vitakuwa vimekwisha kutolewa kwa mradi wowote. Hii ina maana ya mkataba usio na kikomo.kushindwa kuhuishwa au kuongezwa hii sentence unaielewaje?
Samia ameuza nchi , mwendazake hakuuza nchi kwa ahadi ya tende na haruwaNawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Acha ujinga unamjua jiwe unamsikia kile chuma mzigo lazima ufike kwa wakati hata punda akifa . Magu hajawai kucheza na deadline yule alikuwa machine acheki na kimaNawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Duuu, hili nalo neno... Pamoja na kwamba tunahitaji uwekezaji na pamoja na kwamba panahitajika maboresho ktk makubaliano MOU ya DP world,, ukweli ni kwamba Rais Samia apewe maua yake kwa kuruhusu mjadala wa wazi na pia freedom of speech... KINACHOENDELEA NI UBAGUZI NA MFUMO DUME DHIDI YA MAMLAKA.. NA BILA KUPEPESA MACHO KUNA TATIZO KUBWA SANA KWA MAAFSA HABARI WA SERIKALI HALAFU PIA KUNA UDHAIFU MKUBWA SANA PALE BUNGENI. RAIS SAMIA HANA KOSA MAANA ALIFANYA UWAZI NA KUPELEKA AZIMIO BUNGENI, KILICHOFANYIKA BUNGENI NI UCHAWA WA HALI YA JUU BADALA YA KUSHAURI NA KUTOA MAONI KWA NIABA YA WANANCHI.Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Tayari anayo blind perception, already amygdala hijacked her logic brain thus now she's operating in our ancestors caveman brain era aka emotionally. She can't see where she's wrongHv hamuoni tofauti Kati ya hiyo mikataba uliyotaja na mkataba wa bandari
Kifungu cha 23(4)Safi sana, Mkataba una shida gani? Nahamisha hili swali langu kwenye uzi wenye mkataba ili unioneshe vifungu vyenye matatizo.
Hamna hoja mwisho tutasema mnamuonea wivu kwa sababu kawa rais.
Bibi nenda kajibu hoja za dr shivji acha kujitoa ufahamuMkataba upi unaoupinga?
Si mlimuua kabla hajafikia lengoNawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Mbona unachanganya machungwa na mananasi? Bi Kinyogoli Mkwere!
Zile ni tenda tunamchagua nani afanye kazi.
Bandari - Ni Funguo ya lango la nchi
wala hatukatai DPW wakabidhiwe, tusahihishe zile terms. Full stop
Katiba inaruhusu hata wa kuchaguliwa usimuonee wivu aliyepewa kapewa.Urais wa kurithi hauonewi wivu mkuu
Hayo maneno mkataba usio na kikomo umeyatoa wapi hapo.?Maneno hayo yanaitaka Serikali kuhuisha (renew) au kuongezewa muda (extend) vibali ambavyo vitakuwa vimekwisha kutolewa kwa mradi wowote. Hii ina maana ya mkataba usio na kikomo.
Ni tafsiri yangu. Wewe unaelewaje Serikali kutakiwa kutokukwamisha kuhuisha au kuongeza muda wa hati/vibali, ili hali shughuli ni endelevu?Hayo maneno mkataba usio na kikomo umeyatoa wapi hapo.?
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Ni Utaifa wala sio Udini.Nauliza, kinachopingwa bandarini ni nini kama siyo dini?
Jifundishe kupunguza maandiko, unafikiri nani ana muda wa kukusoma jiandiko refu namna hiyo wakati hauna utam wa kuandika. Kwani unaandika historia hapa? Nenda kwa Mohamed Said ukajifundishe kuandika historia.Ni Utaifa wala sio Udini.
Wakati hayati Magufuli akipingwa kuhusu Miradi yake mikubwa, tulikuwa tukisikia matamshi kama...'Uafrika wake' "Ushamba wake au 'Uburundi wake" yote yakiashiria Uafrika wake. Leo hii Mradi huu/Mkataba huu unapingwa hamtaki kusema Uzanzibari wake au Uarabu wake mnasingizia Dini yake!
Mkataba huu umefungua kidonda cha Karne nyingi za Ubaguzi, Unyanyasaji, Ubakaji na Ukandamizaji ulioletwa na kutumiwa na Mwarabu kwa mwamvuli wa Kuwasilimisha Waafrika. Kiufupi Udini na Udhalilishaji.
Bila kushahau, nguvu zilezile zinazotumiwa katika kupinga Uwekezaji au upendeleo wa watu wenye asili ya Ulaya na utumiaji wao wa Dini kama mwamvuli na uhalalishaji wa Ubaguzi, Unyanyasaji, Ubakaji na Ukandamizaji isitoshe Udhalilishaji!
A spade is a spade.
Utaifa uliotukumba Watanzania ni wa kupongezwa.
niache na yale ya Mwalimu Nyerere.....
"The forces of Nationalism cannot be defeated in the long run, and men will never willingly accept deliberate and organized humiliation as the price of existence"
Kwa tafsiri ya kiswahili...
"Nguvu za Utaifa haziwezi kushindwa kwa muda mrefu, na wanadamu/watanzania hawatakubali kwa hiari aibu ya makusudi na iliyopangwa kama bei ya kuwepo/uwepo wao."
Kilichotokea ni mpango unaonekana ni wa makusudi a deliberate, organized and a humiliation of the Tanzanian peoples.
....kupangwa na kudhalilishwa kwa watu wa Tanzania
Shame shame shame on you. Mliotumika.
Utaifa mbele. Udini ziiiii!
Maskhara ya ukwel si mazur WallahNawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?